Search results

  1. JamboJema

    Uchambuzi wa habari: CUF sio tu imefanya kosa, imefanya kosa kubwa kisiasa

    Denis denny na ndo sababu ameileta humu kwani ni kwamba simu ilikatwa. Ingekuwa aliikata hamu ya mwandishi humu usingemuona
  2. JamboJema

    Maswali magumu kuhusu kifo cha polisi

    Pasco kanena vyema. Matukio mengine taarifa inatoka ndani ya saa, hii ni siku kadhaa, kujipanga?!!
  3. JamboJema

    Naomba Ufafanuzi Mwigulu Nchemba kuvaa sare za jeshi la Polisi

    ....kina Masanja walihojiwa kwa hili
  4. JamboJema

    Lowassa amezuiwa na Jeshi la Polisi kufanya kikao Rujewa

    Sijui hata nimesoma kitu gani kwenye post hii. Naomba nisi- comment
  5. JamboJema

    Nimemisi ziara za kushitukiza za Rais; zimeishia wapi?

    Tunashtukizia kwenye UKUTA
  6. JamboJema

    Taarifa kutoka ubalozi wa Marekani nchini Tanzania kuhusu operesheni UKUTA

    Una maneno yenye kuudhi wengine huku yakituchekesha watazamaji. Kula 'like' sio kwa kuunga mkono ila kwa kuniongezea siku za kuishi naturally.
  7. JamboJema

    Chato kuna Trafic lights, kwanini miji mingine isiwekwe?

    Nani kasema hakuna taa? Zipo ila alopost anataka ku portray kuwa zimewekwa kwenye barabara ya vumbi. Huu ni uongo ambao kama kweli umepita na ukawa makini picha hii imechezewa. Nipo Chato kwa zaidi ya miezi mitatu sasa. Nipo, sijapita
  8. JamboJema

    Mzee Jumbe ausia asizikwe Kiserikali

    Kwahiyo hakuna mapumziko?
  9. JamboJema

    Hongera Yericko: Ikulu ihamishwe ndani ya miezi 18

    Ulizisikia sababu alizozitoa au unabishana tu?
  10. JamboJema

    Kigoma: Waliosimamishwa na Waziri mkuu walirudishwa kazini

    Aliyewasamehe ni Zito au kamati ya madiwani? Mbona maamuzi ya wengi tunayafanya yaonekane ni ya mtu mmoja? Kama Zito aliwaburuza madiwani wote basi mliokota magalasa
  11. JamboJema

    Namtabiria mkuu Mwigulu kuandaliwa kumrithi mtukufu wetu

    Msituchafulie mawe na barabara zetu tena...
  12. JamboJema

    Mh Rais, achia pesa tunakufa njaa mitaani huku

    Kuna mwanamziki(?!) mmoja aliimba 'Magu waoneshe maujuzi, si walikuchagua wenyewe..... Vunja hata ikulu...
  13. JamboJema

    TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!

    Umejibu pasipo kujibu hoja yangu. Walete wapi, NEC? Nafasi unayo sasa to prove them wrong on their face.
  14. JamboJema

    Yeriko Nyerere na falsafa ya ulinzi na usalama wa Ikulu

    Kwahiyo technolojia ikikua kwamba ni ngumu kumzuia mwizi hata uweke nondo, sasa ndio ulale milango wazi? Turudi shule
  15. JamboJema

    TV Program Alert: Msidanywe na Wanasiasa Kuhusu Uchaguzi Mkuu: Ulikuwa Huru na wa Haki!. Shuhudia!

    Kubalance story ungewatafuta na wanaosema waiibiwa kura ili kujua waliibiwa vipi
  16. JamboJema

    MwanaKJJ Ijumaa: Kutoka UKAWA kuelekea UKUTIUKUTI?

    Ila MJJ umepotea mbaya, duh
  17. JamboJema

    Bima ya Afya kwa kila mwananchi, maswali mengi kuliko majibu!

    Naibu Waziri wa Afrika! Rejea ndugu
Back
Top Bottom