Search results

  1. M

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Wewe unafikra mgando sana,huyo kigogo baba yako aliyepo CCM asikupe kiburi hayo maisha mazuri uliyo nayo kwa kuiba mali za watanzania zisiwape kiburi nyie watoto wa CCM na hawo baba zetu wanadhurumu maliasili za watanzania. Kikubwa ambacho mmeanza kulaaniwa na MUNGU kwa dhurma mnayoifanya kwa...
  2. M

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Mbowe na dr Slaa na Tindu Lussu wamekamatwa kituoni,ila watu wamegoma kufanya kazi leo na hakuna usafiri na watu wameanza kujikusanya tena uwanjani,Mungu tubariki CHADEMA,wao CCM wana pesa na polisi na mafisadi,sisi CHADEMA tuna MUNGU anayetulinda.
  3. M

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Hawa CCM wamechokwa na watu na huku Arusha ndiyo hawakubariki kabisa wanajaribu kulazimisha tu,hao polisi wanaowatumia na mafisadi kuzuia nguvu ya uma hawatafanikiwa. VIVA CHDEMA, FREEDOM IS COMING
  4. M

    Viwanja vya NMC Arusha: Dr. Slaa akamatwa, Polisi yajaribu kuwaondoa kwa nguvu CHADEMA

    Wanaarusha tupo pamoja na nyie sisi tuliopo mikoani,dhuruma ya CCM inatosha,wao na watoto wao wanaishi maisha mazuri sisi tunaishi vibaya,tuendelee na mapambano muda wote kupinga dhuruma hii ya mkoloni mweusi CCM.
  5. M

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Tupo pamoja wana Arusha ktk ukombozi wa kumtoa mkoloni mweusi CCM madarakani,hawa watoto wa vigogo wa CCM waliotumwa Jf kuja kuandika ujinga mwisho wao umefika.
  6. M

    Picha na Matukio: Mkutano wa CHADEMA Dodoma

    Viva Chadema hakuna kulala mpaka kieleweke.
  7. M

    public anouncement:RC arusha anena!

    Huyu RPC Kilaza kweli we mwache atumike na hao magamba wao CCM,kamwe hawawezi kuishinda nguvu ya uma,wao wanapesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.
  8. M

    CHADEMA Hebu Jaribuni na Approach Hii

    Mungu mkubwa vita hii CHADEMA tutashinda dhidi ya mkoloni mweusi CCM! Freedom is coming.
  9. M

    Kilichotokea Arusha katika picha

    Tupo pamoja Wana Arusha,wao CCM na watoto wao wana pesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu.Freedom is Coming! Viva chadema.
  10. M

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Wewe unafikra mgando kweli,unawaza kwa kutumia makamasi badala ya ubongo akili umefungia kabatini,hua tena uwezo wa kufikiri hivi huoni dhuruma inayofanywa na serikali yako ya mkoloni mweusi CCM dhidi ya wabunge wa CHADEMA na wananchi kwa ujumla,maisha magumu,kazi hakuna,vyakula vimepanda dola...
  11. M

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Hakika ukombozi umefika Tanzania,dhuruma inayofanywa na serikali ya CCM isiyokuwa na nyuma wala mbele dhidi ya wananchi haikubaliki,ajira hakuna,dola imepanda huku dhamani ya hela yetu imeshuka,mafuta yamepanda,vyakula vimepanda,CCM inatuangamiza kisa wao wanamafisadi,pesa,polisi,ila Mungu...
  12. M

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Wewe ni zao la CCM na nikijana wa Nape ukiwa kazini haya nenda kachukue posho baada ya kuwa umemaliza kazi uliyotumwa,mbona Chadema walifanya mandamano kupinga kupanda kwa vitu mbona hukusifia hilo na wala hukuwaunga mkono kwa njia yoyote ile.Shame of you.
  13. M

    CHADEMA waamua ku-'OCCUPY ARUSHA'; Kushinikiza LEMA aachiwe!

    Mungu mkubwa yupo na sisi wanachadema wote,wao CCM wanapesa na polisi,sisi Chadema tunamungu anayetulinda! Viva Chadema.
  14. M

    Wana arusha na wanachadema wote hasa Arusha:dont lose this chance

    Mungu mkubwa ukombozi wa dhati umefika Tanzania,tupo pamoja wana Arusha,wao CCM wanapesa na polisi,sisi Chadema tuna Mungu anayeturinda.
  15. M

    Kilichotokea Arusha katika picha

    Serikali legelege ya CCM dhuruma wanayoifanya inamwisho wake wao na watoto wao,saa ya ukombozi si mda mrefu inafika.
  16. M

    Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

    Aisee kweli CHADEMA funiko mbovu Arusha,huku magamba hawana chao kabisa nguvu ya uma leo nimeiona,ANGUKO LA MKOLONI MWEUSI CCM LIMETIMIA.
  17. M

    Kilichotokea Arusha katika picha

    Mungu mkubwa hakika CHADEMA tunaye MUNGU anayetupigania wakati CCM wanao mafisadi na polisi wanaowapigania,VIVA CHDEMA
  18. M

    Hakimu amchomolea Lema kutoka, asema mpaka Jumatatu

    Pamoja wana Arusha katika harakati za kumng'oa mkoloni mweusi CCM madaraka! Lema we apriciate you.Go,Go,Go Chadema! Freedom is coming
  19. M

    Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

    Hapa mjini Arusha pikipiki magari,hiace zimejaa bendera za chadema kweli zama za mkoloni mweusi CCM zimekwisha.
  20. M

    Godbless Lema aunguruma uwanja wa NMC Arusha

    Tupo pamoja wazee katika ukombozi wa dhati wa Mtanzania,ni heri sisi tukose kabisa ila CCM na watoto wao wapungukiwe.
Back
Top Bottom