Search results

  1. T

    For JamiiForums Mobile users

    Ni inbox kwa kupitia hii E-mail
  2. T

    For JamiiForums Mobile users

    Usiku mwema vijana, Mungu awalinde. :amen:
  3. T

    Kwa CV hii kuna pointi kweli huko Arumeru

    You can avoid the reality, but you cant avoid the consequences of avoiding the reality. Mkuu, asante sana kwa uchambuzi wako yakinifu. Sasa watu wanaweza kuanza kuelewa kuwa kuelimika si kwa kupata tu elimu ile itolewayo madarasani{FORMAL}.
  4. T

    Mbunge wa Ilemela ashinda kesi ya kupinga matokeo

    Gr8, PEOPLES POWER. Big up kamanda Tundu Lissu.
  5. T

    Nahitaji msaada wako kuhusiana na ''free internet''!

    Mkuu naomba uni-PM ya Airtel. Pls dont forget
  6. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Dogo anataka kwenda tourism Mweka.
  7. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mkuu Sizinga narudi tena kwasababu kuna dogo wajirani kaniomba ushauri baada ya kusikia nikisema haya mlo andika humu. Matokeo yake yako hivi:- Civ D Hist D Geo D Kisw F Engl F Phy F Chem D Bio D Agri D B/Math F yaani Division IV ya 29. Sasa Mkuu...
  8. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Extension ya morogoro ni ipi hiyo mkuu au ndo 022?
  9. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mwenye mawasiliano ya simu ya chuo hiki hapa chini naomba anisaidie. CLINICAL OFFICER'S TRAINING CENTRE, P.O.BOX 30, IFAKARA, MOROGORO. Tafadhali sana ndugu zangu, naomba mnisaidie.
  10. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Mkuu naomba uniorodheshee baadhi ya vyu vinavyo toa Diploma ya Clinical officers vilivyopo ktk mikoa ya Arusha na Kilimanjaro pamoja na addresses za vyuo hivyo. TAFADHALI NAOMBA MNISAIDIE!
  11. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Hivyo kwa ushauri wako mkuu ni bora dogo arudie hesabu ili aondoe hiyo F ili aweze kupata option nyingi university!
  12. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Taarifa ambazo tumekuwa tukizipata huku mtaani wanasema ni lazima awe na D ya hesabu ili aweze kufanya mtihani wa kidato cha VI sasa sijui kama ni kweli?
  13. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Kwa upande wa pili kuna mtoto wa baba yangu mdogo, yeye alikuwa private candidate na ktk masomo yake alipata Div III ya 19; Civ - C Hist - A Geo - B Kisw - D Engl - B Lit Eng - B B/Math - F Je! Mkuu huyu dogo anaweza kusoma HGE? Maana anapenda sana kusoma...
  14. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Asante sana mkuu kwa ushauri wako, sasa naanza kuona mwanga wa namna ya kumsaidia. May Jah prosper you!
  15. T

    Form 4 na wengine, angalieni hapa!

    Kwa kweli nimefarijika sana kuona kwamba wapo baadhi ya Watanzania wenye mioyo ya uzalendo na huruma ya kusaidia wengine. Mkuu Sizinga nina mdogo wangu wa kike ambaye amepata div IV ya 26 Civics D Hist D Geo D Kisw C Engl D Lit Eng C Phy D Chem D Bio D...
  16. T

    Ni wakati muafaka wa kurudisha "BAKORA" mashuleni

    Mkuu kuvunja ungo sio tija mimi mwenyewe niliadhibiwa Bakora nyingi nikiwa na ndevu nyingi kidato cha 6. Wanafunzi WAADHIBIWE TUOKOE TAIFA.
Back
Top Bottom