Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing.
Nitafute inbox kama uko interested. Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing.
Nitafute inbox kama uko...
Natafuta professional photographer kwa kazi ya mara moja. Kazi yenyewe ni kupiga picha bidhaa kwa online marketing.
Nitafute inbox kama uko interested.
Poa Mkuu.. However, you can read between my lines. You need to be there i.e. in North Korea. It is a very secretive country + people are so intelligent labda kuliko unavyoambiwa na hao "investigative journalists"
Kiongozi..
Kuna vitu hapo kwenye list yako ni vya kweli (vichache) na kuna vitu ni propaganda za Marekani na vibaraka wake.
Fact: Kujua what is going on in North Korea unatakiwa uwe umeishi kule. Yaani umeishi kule kama resident na sio kutembelea siku, wiki au kusoma news kupitia vyombo vya...
Mkuu umeandika vizuri .. asante sana..
Ila ningependa kuongezea kitu kimoja. Sio mara zote unatakiwa uendeshe pole pole ukiwa katika barabara kuu. Kuendesha pole pole kunaweza kukusababishia ajali mbaya sana.
Fuata alama za bara bara barani na unatakiwa kukimbia kwa kasi ambayo unaweza...
Kama nimeelewa vizuri ramani hilo shamba litakuwa la kwake kutokana na Id yake. Mzee wao alikuwa mmoja wa wazee wa zamani sana eneo hiyo. Nadhani aliitwa Mzee moja moja kutokana na kumiliki gari lenye namba TZ 11. Wadau wenye hela changamkia ofa hiyooo..!
Ukitaka jibu la mtihani .. Bila woga na kama chizi mpigie simu yule shemeji yako wa uongo na umwambie huyo bint amelalamika kwako kuwa wamegombana na pia kwa sasa yuko free..hana boyfriend etc... Then angalia reaction ya bint... akifurahia hatua hiyo unaweza songa mbele.. akikasirika basi huna...
Watu wengi wanashambulia kama wao ni malaika.
Anyway, balima hiyo issue ishakuwa historia. Ukirudia tena unataka mwenyewe au umependa. ila kumbuka Uchumi ni mtego mzuri unaotumiwa na wanaume waroho na malaya. Mtego wa uchumi wanaingia wengi hata wasio na hatia..
Dawa ya yote ni JITEGEMEE...
Hizi zoo ni ukatili wa wanyama.. hakuna nyasi hapo..hakuna purukushani za simba na michezo yao ya kukimbizana...
Ni sawa na kumtoa Mmasai Loliondo kwenye ng'ombe zake na maziwa ya mtindi ..na kumpeleka Las Vegas akale Burger..
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.