MATUMIZI YA RUZUKU YA UENDESHAJI(CAPITATION GRANTS)
Serikali itaendelea kutuma 50% ya ruzuku mashuleni kwa ajili ya ununuzi wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia. Utaratibu huu wa kupeleka sehemu ya fedha ya ruzuku ya uendeshaji moja kwa moja kutoka hazina kwenda shuleni unalenga kuondoa...
Naomba msaada juu ya matumizi ya ruzuku(captation grants) 50% kutumika katika ununuzi wa vitabu vya kujifunzia na kufundishia, maana mkuu wa shule yetu anadai 50% ya ruzuku bado serikali haijatuma na hatujui ni lini pesa hiyo itatumwa. Je shuleni kwenu mnafanyaje maana tunaogopa matumizi mabaya...
Naomba msaada juu ya matumizi ya pesa ya ruzuku mashuleni, tunabishana juu ya ununuzi wa vitabu vya kufundishia na kujifunzia katika shule za sekondari, je hizi 50% za vitabu zimetumwa au tusubiri?
Naomba msaada wenu
Kweli ndugu zangu ifikie wakati tuseme CWT basi maana bado inamnyonya mwalimu na hakuna faida kwasababu hatunufaiki nayo. Kama wangekuwa wanarejesha makato yetu pindi tunapostaafu basi cwt ingekuwa na maana
Naitwa mwalimu Masebo, nipo Kigoma-Buhigwe, natafuta mtu wa kubadilishana nae atokee MBEYA, IRINGA, NJOMBE au mkoa Wa SONGWE.
Kama upo tayari nitafute
0713189746
0755189746
Matatizo mbalimbali yanachokikumba chuo kikuu kishiriki, MKWAWA(MUCE),
JAMANI HAYA MATATIZO YATAISHA LINI?
Ndugu wanajamii forum, tatizo la elimu bora kwa kila mtanzania ni Tatizo, kumbe hata vyuoni elimu bora haitolewi, hii ni kukosa sehemu za mihadhara kwa ajili ya wanachuo kusomea au...
Wanachuo wa mkwawa waandamana kushinikiza kupewa pesa zao za kujikimu(boom) baada ya kuchoka kusubiri takribani wiki moja. Wamevumilia wamechoka hivyo wameamua kwenda kusikilizwa kwa mkuu wa mkoa wa iringa ili kupata haki zao na kujua hatima yao. Maisha yamekuwa magumu hapa chuoni.MPAKA SASA...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.