Utamaduni huwa nao unabadieika kidogo siku zinapoenda hasa mabadiliko mengine ya taasisi yoyote. katika hili naona mwaka huu hakuna msalie mtume. watu wataondoka .
Mimi sina shida na Ulokole wala kuokoka, shida yangu kubwa hapa ni attitude ya huyo bint baada ya kuokoka, kinachotegemewa mtu akiokoka ni kwamba anakuwa anamjua Mungu vizuri pia anapata hekima (kwa neema ya Kristo) ya namna ya kuweka mambo sawa ikiwa pamoja na maamuzi na kuwaelimisha...
Tafadhari ninaomba nijulishwe kama hilo swali limetoka katika course ipi hasa ya marketing na ni katika tawi lipi hasa maana kuna matawi mengi yakitofautiana katika mitazamo ya kujibu maswali yake, mfano (MBA- matawi kama strategic marketing, marketing management, mktg reaseach, international...
Sitanii wala sifanyi mzaha. Nina uhakika hata wewe unajua kuwa kwa Mungu hakuna tatizo dogo wala kubwa. Yeye ni daktari/ mganga mkuu na yupo karibu sana nasi. Upendo wake wa kutufia ndio dawa yake njema. nakushauri tu hebu mwambie Mungu unataka nini. Nina uhakika utapona kabisa
Ukiona mume wako hana chembe ya kajiwiivu na wewe (ujue kuna mahari kashapata anapumzika huko) na hivyo hata ukimuaga unaondoka nyumbani hatakuuliza muda unaorudi wala unakokwenda. pia ukichelewa kurudi atakuwa kimya. Akifanya hivyo kwa zaidi ya mara mbili ujue hana shida sana na wewe, na wala...
It has been tested and worked out for several people, Lakini mwanamke inabidi uwe mjanja sana maana vinginevyo mzee anaweza akakugeuzia kibao ukaonekana unabanjua pembeni pia.
Ama kweli sarakasi.
Binafsi najisikia kichefuchefu, watu wazima wanapoona wanaingia msikitini halafu wanangoja hadi waambiwe na shehe kuvua viatu, ukifikiri vizuri utajua tu jamaa hata udhu atakuwa nao kweli?? Bunduki na ndoa ni kama ukiweka bangi na serikali pamoja. ukizungumzia kuweka chini...
Kwa zama hizi nina hofu sana na BEDROOM FACTOR NA FINANCIAL FACTOR,
Unless mtu ushaanza kuishi naye then unaweza ukajaji uwezo wake wa kitndani (bed) kwenye zama hizi za ukimwi ni shida kidogo kwenda ukijaribujaribu hata kama ndomu haitoki kwa wallet au pochi.
Financial factor, sijajua...
Kwa kifupi, Mwanamume mzuri ni yule MWENYE AKILI, Yaani yule awezaye kuishi na mkewe kwa akili. Mtamjua kwa matendo yake na katika mafanikio ya ndoa na familia yake
It is either me or you...... or none may be right! You can read it over and over.
However I would love to know the very low attitude I have, may be you can help me,
Asante kwa kunipa pole.
I think a man has to be a husband material himself before searching for a wife material. This will make him understand well if at all the wife material women exists or not.
Never expect to find a sheep and be ok, while you are looking for your lost goat!!
Good lucky
Shy you are a man, you have good points. Lakini ninawasiwasi kama kweli hii mbegu aina yako inastahimili hali ya hewa ya africa. Are you in TZA?
Hali ya hewa(mazingira ya Africa-Tanzania) imeathirika na yafuatayo;-
1. Umasikini
2. Ukosefu wa uelwa / sijui niite ujinga ?
3. Extended family
4...
Siku ya kukutana na binti aliyeachwa na mama akalelewa na baba tu hadi anakuwa ndani ya familia ni mi-men tu sijui itakuwaje. Ninamaana atakuwa kinyume cha hayo. Hapo jamaa ndio umeshakariri point za JF, lazima pawe hapatoshi.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.