Search results

  1. T

    CEO wa FastJet afukuzwa kazi, kampuni hatarini kuishiwa fedha

    Baada ya kusoma comments za watu humu jukwaani naamini kuna tatizo kubwa la watanzania la ubinafsi, uvivu wa kufikiri, kutafiti, kujifunza na zaidi tunajifanya tunajua sana. Mashirika mnayoyasifia kama RwandaAir ni gharama sana. ATC ikirudi nayo ili ijiendeshe kwa faida itakuwa gharama sana hasa...
  2. T

    Kwanini Dr. Tulia asijiuzulu kupisha uchunguzi?

    Bodi nyingi za taasisi za serikali ni maigizo na magenge ya ulaji. Ndio maana sishangai wajumbe wa bodi wakishateuliwa hupewa na Menejimenti visafari visivyo na mbele wala nyuma vya mafunzo na uzoefu nje ya nchi baadhi wakipewa tiketi za ndege za business class. Wajumbe ambao wateuliwa kutokana...
  3. T

    Vurugu ndani ya UKAWA zasambaa mikoa 4 - Mtwara, Tabora, Kilimanjaro na Morogoro...

    Mi nafikiri kuna madubwasha mawili. Hili dubwasha kuu kuu na lilijichokea na hili lingine jipya ambalo halijajipanga vizuri. Maamuzi ni wachinjaji. Kama simba afanyavyo kwa windo lake, mimi mchinjaji kisu nilichokiandaa kumchinja mnyama huyo hakirudi nyuma. Hakiendi kwa mwingine tena, ni kwa...
  4. T

    Mdahalo ni lazima sio hiari

    Asante kwa kuchagua mdahalo tu kati ya kijifunza kutoka Marekani na nchi zilizoendelea kidemokrasia na kuacha mambo kama tume huru ya uchaguzi, polisi wasoegemea upande wowote, vyombo huru vya habari nk
  5. T

    Pendekezo la Maridhiano Juu ya Lowassa (A Proposal on Compromise): Kutoka Hapa Kwenda Kule...(2015)*

    Madhanio Yangu Nilidhani Chadema walikuwa wamepiga hatua kubwa kuelekea kujiendesha kama taasisi ya kidemokrasia Nilidhani Chadema wamefanikiwa kwa kiasi kikubwa kuondokana na "zidumu fikra shahihi za mwenyekiti wa chama" Nilidhani Chadema wameweza kujiongoza kimkakati zaidi Nilidhani...
  6. T

    Dr. Slaa: Anna Tibaijuka hahusiki na wizi wa ESCROW

    Kama waziri wa Fedha, Muhongo, Governor wa benki kuu na Maswi hawahusiki. Profesa anahusika kwa lipi kwenye Escrow?
  7. T

    Rais Kikwete amteua Balozi Mulamula kuwa Katibu Mkuu

    Sielewi lengo na mantiki ya mleta mada. Kwanza kwanini unamuita mau mau badala ya Mulamula? Je, ni chuki au hasira au bahati mbaya? Pili, hujaainisha ni kipi alistahili kukifanya kwa nafasi yake ya ubalozi na kipi alishindwa? Je, mna mgawanyiko wa Watanganyika ambao mwanzo mlikuwa wamoja na vipi...
  8. T

    DAY 2: Updates za mgomo wa madereva wa magari Tanzania - Mei 5, 2015

    Watu wakisema kuna tatizo kubwa la ajira hasa kwa vijana. Inaonekana kama ni muziki uliozoeleka. Wanaoratibu na kuuendesha mgomo huu wengi wao ni madereva wasio na ajira au magari ya kuyaendesha. Wanaishi kwa udeiwaka (day worker). Naambiwa serikali itakoma kuajiri walimu kwa mkupuo. Lakini ni...
  9. T

    Leo ndio nimejua nyumba na gari bora kipi?

    Bora boda boda mkuu. Waulize wenzio wametoka posta saa 10 saa hizi hawafika Mwenge! Ukiwa na nyumba posta, we unatembea tu!
  10. T

    Ujumbe toka Kanda ya Ziwa kwa wanaume wa Dar es salaam

    Sitaki kuingia kwa undani kuhusu ubora wa jeshi letu. Lakini kilicho sahihi kwenye hoja yako ni kuhusu vita. Vita vipo vya aina mablimbali kuna vita baina ya taifa moja na jingine, na kuna vita vya ndani (wenyewe kwa wenyewe). Boko haram, watutsi na wahutu, car civil war nk hawahitaji...
  11. T

    Jina la mchezaji labadilishwa kukidhi tamaduni za kitanzania

    Umenikumbusha mchezaji mmoja wa soka wa taifa la Ubeligiji akiitwa Mbo Mpenza aliitwa kushiriki kombe la dunia lililofanyika japani wakapangiwa mji wa Kumamoto. Sasa Gazeti la mfanyakazi lilitoa picha yake kwenye ukurasa wa michezo likiwa na kichwa cha ''Mbo ndani ya Kumamoto''. Nilikuwa...
  12. T

    CUF: Tunalaani fitina za kuigawa UKAWA zinazofanywa na wana UKAWA

    Kuna mambo siyaelewi hapa. Je katika makubaliano yao waliweka zuio la mijadala ya viongozi tarajiwa? Vipi iwapo miongoni mwa wanachma wao angetajwa, je angekuja kupinga na kulalamika? Je, huu ni msimamo wa chama, ofisi au mtu binafsi?
  13. T

    Lissu awalipua mawaziri, wabunge kwa unafiki wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii

    Najiuliza bungeni pangekuwa na Lissu 10. Yule mama Makinda sijui angeponea wapi? na vipi kuhusu wabunge maslahi binafsi na mawaziri wazembe na mafisadi? Lakini kuna mkakati wa nguvu wa kuhakikisha Mnyika, Lissu, na Mbunge wa CCM wa Mwibara hawarudi tena bungeni
  14. T

    Lissu awalipua mawaziri, wabunge kwa unafiki wao kwenye mifuko ya hifadhi ya jamii

    Mbunge anayemsifu Dau wa NSSF hajawawahi kuajiriwa, na akalazimika kuwa kwenye mfuko wa NSSF, akastaafu na kulipwa kiduchu kutokana na formula ya kinyonyaji. Sishangai kwa sasa kila mfanyakazi mpya hataki kujiunga NSSF. Dau ni adui wa wafanyakazi. Wabunge wetu Tanzania majanga. Wanatumikia...
  15. T

    Dr. Slaa hawezi kuwa Rais-Tufikie hatua tuwe wakweli na wenye kuwaza kwa kina

    Mleta mada angalau umeweza kutoa hoja zako. Udhaifu au uzuri wa hoja zako zitapimwa na mtu binafsi. Lakini hebu tutendee haki ni nini sifa za rais ajaye na nani unadhani anastahili akiwa na sifa zipi?
  16. T

    Picha: Vurugu zatokea kampeni za udiwani kata ya nduli ,kada wa CCM ajeruhiwa , msigwa akamatwa...

    Kuna jambo linakera kwa waandishi wa habari Tanzania. Nduli ni kilomita zisizozidi 25 toka Iringa mjini, kwa nini hakuna picha za tukio la uvamizi na vurugu bali tunaoneshwa picha za polisi na watuhumiwa wakiwa mjini Iringa? Huu uvivu wa kushindwa kusogea Nduli hapo tu unatoka wapi?
  17. T

    Mbeya: Wafanyabiashara Watoa Ushuhuda kuwa Mwigulu Ndiye Rais Ajaye, Kiongozi Genius

    Khee! Hii vita ya kuelekea ikulu ya wengi. Na Mwigulu naye?
  18. T

    Ajali Relini Mwananchi

    Jamani mwacheni 'afande'. Jeshi laendeshwa kwa nidhamu na amri. Unataka liwe kama la kongo lina ma'general' lakini la ovyo kupindukia. Linapigwa na waasi wasiozidi elfu.
  19. T

    Ajali Relini Mwananchi

    Kwa kiashiria mkuu. Ukiona mwili umefunikwa khanga ujue 'Binadamu tulimpenda lakini Mungu kampenda zaidi'
  20. T

    Being in Njombe, ushawahi ishi, soma, fanyia kazi au hata kupita maeneo haya?

    Njombe secondary school (Njoss) ni shule nzuri iliyotaifishwa na Nyerere kutoka kwa Walutheri ili watoto wote wa kitanzania wasome. Ilianza kama shule ya bweni pekee kabla ya kuruhusu wanafunzi wachache kutoka Njombe mjini wa kutwa kujiunga nayo. Njoss ilipokea wanafunzi toka pande zote za...
Back
Top Bottom