Search results

  1. Laurence

    Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Job Ndugai ni mgonjwa anatibiwa India! Tumuombee

    Gharama za kumtibia Spika zipo ila kwa Lissu,double standard hii kuna siku itaisha
  2. Laurence

    Tundu Lissu kupelekwa Ubelgiji (makao makuu ya Jumuiya ya Ulaya) ni mkakati, ataongea na wafadhili wetu

    Inaweza kuwa fursa nzuri kwa hao wakuu kuweza kuimulika zaidi Tanzania ili kuona dhana ya Democrasia inarudi mahala pake
  3. Laurence

    Yaliyojiri: Uhesabuji Kura na Utangazaji Matokeo katika Chaguzi Ndogo kwenye Kata 43 - Novemba 26, 2017

    Ushauri wangu kwa figganigga au @Moderators kwamba hizo kata 43 ijulikane awali kwamba CDM AU CCM na vyama vingine nani alikuwa na kata ngapi ili kujua kwamba nani amepanda kwenye kunyakua viti vya udiwani au nani kashuka,ni muhimu sana
  4. Laurence

    Wahariri leo mmeonyesha uzalendo wa hali ya juu sana

    Watu..wameshamchoka..na..Bashite..wake
  5. Laurence

    Jukwaa la Wahariri wampiga BAN Mkuu wa Mkoa wa Dar kwenye Media zote nchini

    Hapa nawapongeza sana kwa kumpa Ban huyu mjamaa maana amekuwa mkaidi sana
  6. Laurence

    Katika wafungwa wa kisiasa duniani anaye huzunisha zaidi ni Bi Victoire Ingabire

    Siasa za Africa zina mambo ya ajabu sana, hasa kwa hawa viongozi wanaoongoza hizi nchi
  7. Laurence

    Tundu Lissu abaini mbinu chafu kwa chama fulani kuweka mgombea urais TLS

    Namtakia kila la kheri HON. Tundu Lissu
  8. Laurence

    Mbowe lazima aende akajibu shutuma inayomkabili

    Swala sio kuitikia wito tu je mwenye utaratibu wa kumuita mtu na kumhoji na Mkuu wa Mkoa? tatizo lipo hapo tuu nyie watu wa Ccm
  9. Laurence

    MUHIMU: Majina ya waliopitishwa kugombea Urais TLS

    Nguli wa Sheria hapa nchini Tundu Lissu atashinda
  10. Laurence

    Yaliyojiri katika Chaguzi Ndogo: Uchaguzi wa ubunge jimbo la Dimani na madiwani Tanzania Bara

    Kuna haja kuwa na tume huru ya Uchaguzi ili kuwatendea watanzania haki kwa sababu hali inavyoendelea 2020 kuna kazi sana
  11. Laurence

    Kwa Mchezo mchafu unaosukwa, UKAWA wasishangae 2020 wakabakia na wabunge watatu (3)

    Vijana wa Lumumba kwa kujiridhisha hamjambo,unadhani hayo yatakapokuwa yanafanyika Raia watakaa kushangaa shangaa wakati huo wawakilishi wa vyama wana matokeo yaliyokwishajumlisha kwa pamoja? Endeleeni kujidanganya
  12. Laurence

    Kweli Max Ndiye Yeye: Kwanini Sina Hofu

    MMM tulipoikataa CCM na mambo yake yote uliendelea kuishabikianCcm kwa kiwango cha juu sasa haya malalamiko yako hayana tija tena,zaidi tunamuombea Maxence Mello atoke salama na awashinde hawa wadharimu
  13. Laurence

    Mpogolo Naibu Katibu Mkuu CCM Bara

    Ccm ni ile ile hawanaga jipya kwenye teuzi zao
  14. Laurence

    Lipumba kwenda na kundi la wafuasi Mahakamani ni Sawa? Upande wa pili ukifanya nini kitatokea?

    Mpango wake unaratibiwa vema na hao hao wanaomtuma
  15. Laurence

    Maalim Seif: Jeshi la Polisi na Prof. Lipumba wanashirikiana kuihujumu CUF

    umekula Ugolo wewe? anagomea uchaguzi upi? na Uchaguzi ule alofuta Jecha nani alishinda? kaa kimya sio lazima kukomenti kama hauna hoja
  16. Laurence

    Maalim Seif: Jeshi la Polisi na Prof. Lipumba wanashirikiana kuihujumu CUF

    Bwana Yule kama anajiamini vya kutosha akubali kufanya mdahalo na Maalimu Seif ili tuone anachowadanganyia watanzania
  17. Laurence

    Hivi kama siyo siasa za kijinga, huyu mama alikuwa na kosa gani la kuwekwa ndani?

    HAMY-D amebadilika kweli kweli mkuu swissme
  18. Laurence

    Hivi kama siyo siasa za kijinga, huyu mama alikuwa na kosa gani la kuwekwa ndani?

    Kwa mwendo wako huu huyu RC yatamshinda kabisa maana mama alisema hata ukitaka ushahidi nipo tayari kukupeleka eneo ambako tumeanza ujenzi wa shule na maelezo ya gharama za matumizi yote yapo,heee ghafla OCD kamata weka ndani huyu mama
  19. Laurence

    Wapinzani safari hii wameamua kubadili mbinu au huu ni mkakati tu wa kisiasa kuelekea 2020?

    Hii ndio style sahihi kwa Serikali kwa sababu hata akishauliwa hachukui hatua zozote vema aachwe hvhv ili nasi tuitafutie kiki kuanzia hapo
Back
Top Bottom