Search results

  1. M

    Lugha ya Kiingereza: Kama kuna ukweli hapa, hii ni hatari

    Kwani wewe ni miongoni mwa hao 4%?
  2. M

    Lema ashinda rufaa dhidi ya ubunge wake!

    Lete ripoti mkuu!
  3. M

    Utajiri wa Freeman Mbowe

    Nawewe katafute lakwako uliite Danguro,acha ushamba wa kimaendeleo.
  4. M

    Mbinu chafu za serikali kuficha ukweli juu ya Dr. Ulimboka

    Wazimu si wazimu,kituko si kituko! Wanaongeza ovu juu ya ovu,wanayafanya gizani wataumbuliwa mchana kweupe, MAKAFIRI WA KUBWA NA SERIKALI YAO.
  5. M

    Mawaziri wanane watakiwa kung'oka...!

    Wanachezea Tanzania! Ya leo siyo ya jana,watu wameamka hivi sasa; Ningemshauri Bwana mdogo Jakaya Kikwete,avunje baraza lote la mawaziri na kuunda baraza dogo la kumalizia kipindi cha MPITO cha uongozi wa C C M madarakani.
  6. M

    Mbunge wa Chadema kumbe makazi yake ni Marekani anakuja Tanzania bungeni

    Kweli TANZANIA KUNANUKAAAAAAA!zanyumbani kikwete a.k.a baba rizimoja anakula sappa kwa malkia,breakfast kwa "morroco"sory!i mean kwa cammeron,miguu anatawadhia kwa angela mekhel,kwani kuishi marekani kunawakera nin?DUNIA NI Kijiji!anawatumikia watz kiukamilifu,tofauti na ivyo asingepata...
  7. M

    Moto ubungo

    Duuh! Hii ni hatari,nini kinaendelea hapo mkuu?kuna msaada wowote?
  8. M

    Mwanamke mbaya kuliko wote baada ya eva,yezebeli, duniani ni spika wenu ""anna makinda""

    Anapenda sana harufu ya maiti,siyo bure mwenye akili timamu kufanya hayo.
  9. M

    Singida yauzwa rasmi kwa mafisadi

    Tumekwisha jamani
  10. M

    Hivi ni kweli? Cal. Gaddafi anaongea lugha ya KISWAHILI nzuri isiyo na mawimbiii???

    Toeni hoja zenye nguvu,vile vile tusiwe wakosoaji kwa mtu aliye omba kufahamu kitu au jambo fulani, tuelimshane,na kama haufahamu kuhusu hoja ama swala alilo ongelea mwingine,sidhani kama ni busara kuvuruga lengo la mhusika. Kuhusiana na gadaf kuongea lugha ya kiswahili!hakuna ukweli ndani yake.
  11. M

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    HUYU KIGAMBA NAPE AMEKUA TUME YA TAIFA YA UCHAGUZI?Ona sasa hata TANZAGIZA amecop na kupest,sasa yakija matokeo tofauti utaliweka wapi sura lako wewe KIGAMBA CHA MNAUYE!
  12. M

    Elections 2010 CHADEMA inaongoza Igunga

    Wasichakachue jaman,tumahitaji haki igunga
  13. M

    Kwa wale watumiaji wa facebook

    Huo ndio utandawazi.
  14. M

    Atumia Dola 10,000 Kufanya Upasuaji wa Kujigeuza Shetani

    Wana angalia michoro mbali mbali au wengi waliokua wafuasi wa hayati YAHAYA HUSEN, Aikua anatoa picha akisema ndivyo alivyo LUSIFA. Hivyo basi anaye kwambia jambo akiwa na uhakika nalo analifaham Huyo anaye jigeuza pamoja na wamao fuatilia masuala ya nyota,kama alivyokua hayati YAHAYA!Ni...
  15. M

    Mwana mpumbavu ni mzigo kwa mamaye!

    Unapo zungumzia nchi zilizokua mstari wa mbele kutaka uhuru wa nchi za kiafrika,hautakosea ukitaja TANZANIA. Katika nchi za kusini,mashariki na kati mwa AFRIKA,Ilipasa nchi kama tanzania iwe mstari wa mbele katika maswala kama ifuatavyo; 1)kiuchumi,kwasababu tunarasilimali za kila aina...
  16. M

    Bungeni: Magufuli azichambua barabara Tanzania kama karanga

    Akanichekesha aliposema CHADEMA watengeneze libarabara lao waliite chadema,hata ccm wakitaka kuandamana waandamane huko!nimecheka lakini kwa hasira kwasababu MAKUFULI ameongea kinafiki.
  17. M

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Angetangaza kujinyonga pindi jimbo la IGUNGA litakapo chukuliwa na CHADEMA,kwani si wakati mrefu sana. Lakini naamini huyo ZOMBIE kwa mabaya na dhuluma ya roho za watu,mwenyezi mungu hata mwacha mpaka aione CHADEMA ikichukua DOLA! Hukumu ya wadhalimu hudhihirika mara,na majibu ni hapahapa chini...
  18. M

    Abdalah Zombe: CHADEMA wakiongoza nchi nitajinyonga, adai Lema alikuwa mwizi wa magari!

    Angetangaza kujinyonga pindi jimbo la IGUNGA litakapo chukuliwa na CHADEMA,kwani si wakati mrefu sana. Lakini naamini huyo ZOMBIE kwa mabaya na dhuluma ya roho za watu,mwenyezi mungu hata mwacha mpaka aione CHADEMA ikichukua DOLA! Hukumu ya wadhalimu hudhihirika mara,na majibu ni hapahapa chini...
  19. M

    Polisi kuuwa raia wasiyo na hatia ruksa!

    Siku zinakuja,nyakati zimekaribia!naam zimekwishafika,kilichobaki nikuchukua hatua nzito kwa hawa WAPUMBAFU wachache ili kusudi tuishi kwakuheshimiana.
  20. M

    Polisi kuuwa raia wasiyo na hatia ruksa!

    PUMBAFU zao wote wanaotoa maamuzi kwaajili ya manufaa yao,hongera na kazeni buti mnaopigania maslahi ya wananchi,hususani sisi wa hali ya chini.
Back
Top Bottom