Search results

  1. F

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Huko Ulaya, America na Asia kuna madaraja mengi na mazuri sana na huwa hawa watu hawaji kuvutiwa na miundombinu bali mambo ya asili.
  2. F

    Kama Makonda RC wa Arusha mnadhani ana tatizo basi hilo tatizo analo aliyemteua

    Mama yake aitwe kwenye kamati ya maadili.
  3. F

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Mimi naona sio kipaumbele kabisa, kwani kuna nini cha kutugharimu kiasi hicho, Zanzibar ya watu milioni moja! Kuna mikoa ina watu 3m lakini haijaunganishwa kwa barabara za lami na mikoa mingine.
  4. F

    Waziri Hamza: Serikali Ijenge Daraja Kuunganisha Dar-Zanzibar

    Watu wa Zanzibar hawana maji ya kunywa, huyo kiongozi aache ujinga!
  5. F

    Paul Makonda aitwa kwenye Kamati ya Maadili ya CCM

    Akaangwe!
  6. F

    Kinana nyoosha maneno Hayati Magufuli hakupora fedha halali za wananchi wema, bali aliwanyanganya mafisadi pesa za umma walizopora

    Ukweli ni kwamba Magu alipora fedha hazina, na kwa matajiri na alizitumia katika siasa zake na katika miradi mingi nyumbani kwake au kufidia upotevu mkubwa uliojitokeza kwasababu ya matumizi mabovu ya fedha za umma!
  7. F

    Mpina ataka viongozi wa wizara, mashirika, mikoa na wilaya kupatikana kwa usahili!

    Kabisa wakifanya hivyo sikosi kuwa hata waziri!
  8. F

    Dtk. Biteko: Tumetekeleza agizo la Rais. Mgao wa Umeme imemalizika rasmi

    Hivi wewe unaishabikia CCM kwa sababu zipi unafaidika nayo kibinafsi na sio vinginevyo. Mitambo mitatu imewashwa lini?
  9. F

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Na huyo boss wake naye hamnazo.
  10. F

    Bwawa la kufua umeme la Nyerere ni dogo mno kulinganisha na uwezo wa maji katika bonde la mto Kilombero na Rufiji. Tulipaswa kutengeneza walau 6000MW!

    Inauma sana mambo mengi nchi yanaamuliwa na wanasiasa wasiojua ukweli wa mambo na wageni kutoka nje wanapenda mno hali hii manake wanapiga hela hadi wanafurahi. Unaona Mwendokasi Dar, tuna miundombinu lakini usafiri Dar bado ni wa shida kubwa inabidi uwe na uwezo mkubwa wa kusukumana na watu ili...
  11. F

    Yanayoendelea ndani ya uongozi wa CCM na serikali yanatafakarisha

    Ni vizuri sana anavyofanya Nchimbi kumpinga Makonda kwani huyu bwana akili zake ni mbovu kabisa na wote wananwona anafaa akili zao pia ni mbovu kabisa.
  12. F

    Mlango wa kuzimu uliopo nyumbani

    Ni kweli chooni kuna viumbe hivyo ila uwe na Yesu Kristo hutapatwa na chochote kibaya.
  13. F

    Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Out of many, one ni literal translation. Tafsiri nzuri ni in diversity there’s unity/oness.
  14. F

    Mwaka wa nne huu naishi Mbeya, Wanyakyusa nawapa maua yenu japo mna mapungufu machache

    Hawa ndio washirikina wakatili na wakabila. Wauza ngozi za binadamu wenzao, watu wenye wivu mkubwa. Kila familia ina kanisa lake, hawezi kukaa pamoja hawa ni akina Mwamposa manabii wa uongo. Ulienda mbeya gani?
  15. F

    Inawezekana vipi mtu kuweka roho yake kwenye mti?

    Huo uchawi wa kuoza polepole hadi kufa upo na mzee mwenyewe anahusika. Kuweni makini kuna mtu kati yenu anapaswa kurithi huo ushenzi. Wewe kama unanielewa usikubali kamwe kushiriki hizo mila au matambiko mizimu itakuandama. Lakini hata hivyo ukoo wenu ni wachawi sana.
  16. F

    Pluribus Anum, coin ya dollar ya Marekani yenye vituko vingi, je nini sababu yake kuweka emage hizi?

    Bado na wewe huelewi dunia hii kilichoandikwa ni In pluribus unum ikimaanisha in diversity there’s unity. Unajua kwanini unavaa raba wewe?
  17. F

    Nchimbi: Kiongozi wa kweli habagui anaowangoza. Huwezi kuwa na vikosi vya upelelezi muda wote unatafuta wenzako wanasema nini

    Samia anavutia kwa Makonda, Nchimbi anatupilia mbali, kwa vigezo vya ccm Nchimbi hatadumu na atatifuata na Mama kabla ya 2025.
  18. F

    Tanga: Polisi wapiga Stop mkutano wa Hadhara wa CHADEMA

    Mama anaendeleza unduli, amwangalie mtangulizi wake alipo!
Back
Top Bottom