Search results

  1. Majoja

    Benard Membe: Tanzania hatuungi mkono Kenya kuwavamia Al-shabaab

    Katika hili NATOFAUTIANA NA MEMBE. Ni sawa na sisi wakati ule kushambuliwa na Idi Amin halafu kuishia mpakanni Kyaka. Kung'oa mzizi wa fitna piga hao Al Shabab mpaka Mogadishu ili wasirudi tena kiurahisi. Tunashindwa kuelewa mantiki ya msimamo huu kwa sababu hawa wasomali wanakuja kuteka nyara...
  2. Majoja

    Tanzania govt on Homosexuality: We can do without UK aid

    Jumuiya ya Madola inakosa relevance kwa siku za karibuni. Kama kinachotuunganisha katika hiyi jumuiya ni Uingereza , na Uingereza ni mashoga na inelekea ni utamaduni wao. Sisi tuliokuwa makoloni ya Uingereza SI mashoga wala hatuelekei kukubaliana na hilo kwa vile kimsingi ni tabia ya kishenzi...
  3. Majoja

    Kero:Magari makubwa barabara ndogo

    We Uporoto01 kwani wewe ni risemaji ra Arufonsi. Mimi niriribipu rikaniambia rina simamia musafara wa riongozi kuelee mujini!!!
  4. Majoja

    Toyota Prado T*** BML kitenda ulichofanya si cha kiungwana!

    Leo asubuhi nimeshuhudia kitenda kisicho cha kiungwana kabisa kilchofanywa na dereva wa gari aina ya Toyota Prado (old model mayai) Rangi dark blue au nyeusi , yenye maadishi PRADO ubavuni. Gari hili lilikuwa linatanua kwa kuovateki foleni ndefu sana sehemu za Kawe karibu na roundabout. Polisi...
  5. Majoja

    Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

    Ha ha ha Inaelekea alipokuwa kijana aliba....wa. Lakini kwa ile suggestion tu kwamba kwa vile ana mkoba basi watu woote wawe kama yeye huo ni usen..e
  6. Majoja

    Bravo JK kuwatolea nje Balozi shoga wa Uingereza!

    Lazima tumuunge mkono JK kwa hili, washenzi hawa wanatudhalilisha. Mtu mshenzi ni yule asiye na utamaduni unaokubalika katika jamii, hili la waingereza linazidi hapo.
  7. Majoja

    Mwenyekiti BAVICHA mkoa wa Arusha, Nanyaro anasakwa na polisi

    Mbona unashuhudia kwa mbali? Waombee msaada toka Al Shabab na Al Kaeda
  8. Majoja

    Kamati ya bunge yaitimua TCRA

    Vituo vya redio vinakamuliwa $2000 kila mwaka,kwa kila kituo. Haya ndiyo matumizi yake? Kuliwa na wajumbe wa Bodi? Hizi regulatory authorities zimeshakuwa kero, zina wakamua "cuatomers" wake ili waweze kutumbua. Zis iz too much
  9. Majoja

    Muandishi anapokosa i Bashashsa

    Mwandishi kakosaje bahasha hapa Sana sana naona ka concentrate na ana sura ya kazi
  10. Majoja

    Siasa, ahadi hewa, rushwa zimeua miundombinu?

    Mkuu hewa ni pamoja na miradi ambayo ipo ipo tu.Haina bajeti wala fedha za kuilipia.
  11. Majoja

    Way out for JK: National Infrastructure projects

    Mkuu hebu cheki magazeti ya leo utapata majibu yako. Huko miundombinu hakuna uafadhali
  12. Majoja

    Siasa, ahadi hewa, rushwa zimeua miundombinu?

    Katika magazeti karibu yote leo 2/11/2011 yana habari nzito za serikali kudaiwa na makandarasi kiasi cha Tshs 425billion kwa miradi ambayo kimsingi ni "hewa". "Hewa" hii imetokana vipi? Hii hewa ni ahadi lukuki zizotolewa kabla tu ya uchguzi wa mwaka 2010.Miradi hiyo ilibuniwa na aliyekuwa bosi...
  13. Majoja

    Set Lema free

    Lema chose to be there, kupanga ni kuchagua
  14. Majoja

    Kero:Magari makubwa barabara ndogo

    Sasa wancheka au unachekelea?
  15. Majoja

    Kero:Magari makubwa barabara ndogo

    Ee bana ee ajali kazini!
  16. Majoja

    Kero:Magari makubwa barabara ndogo

    Nimeikuta hii mitaa ya Mikocheni, Mtaa wa Sam Nujaoma(karibu na kiwanda cha Coca cola). Gari kubwa lilosheheni zigo la kutosha, badala ya kuongoza zake Morogoro rodi aende zake Zambia au Malawi , dereva kaamua kukata mitaa. Matokeo gari limeshindwa kukata kona na kuzimika, hatimaye kuziba...
  17. Majoja

    Hii picha imeniponza!

    Ha ha ha! Arafu ririkuwa na sura kama buti rake
  18. Majoja

    Hongera Dr.Marina Njelekela

    Kuna kazi ambazo only seniority warrants merit. Sina uhakika na umri wa mama huyu lakini she is too young, much too young to head this institution yenye matatizo mengi. Kazi kama za udaktari, uhandisi na zenye proffessional touch kuna mabomu yanayojitokeza kutokana na experience ambayo huyu mama...
  19. Majoja

    Mbunge wa Arusha mjini Godbless Lema apelekwa mahabusu

    Kwa miaka hii siasa za kunyea debe noma!
Back
Top Bottom