Search results

  1. S

    Makamu mkuu wa SAUT na Wassira ndani ya Star tv wakijadili muswada wa sheria ya Katiba

    Hofa yangu ni kwamba hilo jamaa linaweza likauchapa usingizi studioni likasahau kwamba linahojiwa.
  2. S

    Rais Kikwete kuzungumza na Wazee wa Dar jioni ya leo (Nov 18, 2011)

    Mwambia hatutaki utawala wa kifalme lasivyo kitanuka.
  3. S

    Safari ya Pinda, ratiba ya zua hofu bungeni

    Heri MIMI Mbunge wangu hakuchangia hoja kwenye huu muswada legelege, Hongera sana kamanda wangu kura yangu haikupotea bure. Tutahakikisha 2015 unarudi Bungeni kumbe unatufaa.
  4. S

    Waziri mkuu akimbia maswali leo bungeni

    Anakwenda kuweka sawa Uchunguzi wa JAIRO.
  5. S

    CHADEMA watoka tena bungeni, Mrema naye atoka!

    Unachekesha sana, nenda kamuulize Mbunge wako.
  6. S

    Jamani UDOM mambo si shwari wanataka kuchoma ofisi ya mkuu wa chuo

    Wasichome CHUO ila waungane na wenzao wa UDSM kudai HAKI yao.
  7. S

    Maandamano Makubwa Kupinga Muungano - Baada ya Swala ya Ijumaa, Zanzibar!

    Ha ha ha ha ha............ Maandamano ya kuvunja Muungano yanaanzia msikitini, hii kali teh teh teh teh teh teh.......... kwa maana hiyo wanataka kuitupia lawama CDM kwamba wao ndiyo chanzo. Yetu macho na masikio. Wameona wamekosa misaada ya Gaddaffi sasa wameamua kulianzisha. Poleni sana...
  8. S

    Rostam hayupo, mbona shida ziko pale pale?

    Ha ha ha ha ha ha ha ha ...... Mkuu hapo kwenye Red umeniacha hoi sana, yaani nimecheka sinambavu. Timu yenyewe inaongozwa na Mbunge wa Magamba tena alisaidiwa na JK kuupata huo ubunge baada ya kumtoa kifungoni. Lazima atoe shukrani kwa mfadhili wake. Simba ni wajinga sana, wataendelea kufungwa...
  9. S

    Muswada wa Katiba waongezewa muda...

    HERI MIMI MBUNGE WANGU HAJACHANGIA HUU MSWADA LEGELEGE. Big up Kamanda, kura yangu haikupotea bure, imefanyakazi.
  10. S

    Eng. Stella Manyanya atangaza vita

    Atangaze vita na mume wake ili asije akawa SHOGA. Lakini vita na wananchi haiwezi, ataishia kujikuta amelala makaburini baada ya kucamerouniwa.
  11. S

    Wabunge wa chadema kutoka bungeni si sawa

    Heri mimi Mbunge wangu hajachangia huu mswada legelege wa Katiba. Yeye mwenyewe anajua kabisa jinsi wapigakura wake tusivyolea ujinga, ilikuwa tunamwita kisha kinaota palepale, akikaidi tunamfanya kama yule wa Arumeru, mwaka mzima hakanyagi bungeni na akifanya mchezo Ibilisi anavuna wajawake! te...
  12. S

    Gosbert Blandes acha kutudhalilisha Karagwe

    Fanyeni jambo moja la msingi. Kama kweli ameyasema haya, mwandikieni barua ya kumuita aje jimboni kuwepo na mkutano wa hadhara kisha muulizeni ni lini alikusanya hayo maoni kwa wanakaragwe. Yawezekana alitumia wenyeviti kwa siri bila watu kujua.
  13. S

    IGP Said Mwema na hadaa ya uwepo wa amani nchini

    Awape polisi kila mmoja awe na nakala yake mimi sihitaji, mbona haongelei ukatili na mauaji ya raia unaofanywa na jeshi la polisi, mfano polisi kuiba maiti motuary na kuzitupa barabarani.
  14. S

    Nape kupanda kizimbani Arusha kwa kutoa hukumu kabla ya jaji

    Tunaomba muendelee kutujuza kinachoendelea huko mahakamani. Yawezekana nayeye leo akatoa maamuzi magumu kama ya LEMA!!! te te te .....
  15. S

    Kombani na Lissu Live on Star TV

    Hebu tueleze kama Kombani alikuwa anatabasamu, kwa maana ninamfahamu hajui kutofautisha KUCHEKA na KUTABASAMU. hupenda kuonyesha mwanya alionao wakati hajuikuwa hilo ni pengo.
  16. S

    DHAMIRA HURU: CCM wanaweza kulazimisha sheria; Hawawezi kulazimisha Katiba bila kupingwa!

    CCM na CUF kwa kweli hawana jipya, nilimsikia mchangiaji wa CUF aliyehongwa helcopter wakati wa uchaguzi Igunga, jinsi alivyokuwa na mapenzi na CCM mwanzo hadi Mwisho ni kukashifu CDM tu. Wabunge wote kwa sasa hivi hawajadili mapungufu ya mswada huo isipokuwa ni kuwashambulia Waheshimiwa...
  17. S

    Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

    Mkuu pole na kitabu, umekosa uhondo wa Mh. Machali, kawafunika Wabunge wote wa CCM walichangia mswada huo leo. Ila usihofu Darasa ni muhimu ili usijeukawa Dent wa KUDESA na paper.
  18. S

    Machali awaendesha puta wabunge wa CCM Bungeni!

    Mosses Machali amewakilisha maoni ya Watanzania wengi, tukopamoja, ingekuwa busara baada ya kumaliza kuchangia angetoka nje.
  19. S

    CCM/CUF washambulia Wanaharakati- CDM wapinga kupitisha Mswada wa Mapitio ya Katiba

    Sina uhakika kama huyu ni Mtanzania. Kwajinsi hii wakazi wa Tabora Mjini inabidi wajitafakari, hivi walifurahishwa na nini mpaka wakamchagua huyu Msomali anayetukana Watanzania. Kwa kweli sina uhakika kama huyu jamaa ATARUDI TENA BUNGENI 2015 sina uhakika. Wakazi wa Tabora kazi mnayo.
Back
Top Bottom