Search results

  1. M

    Wilfred Rwakatare augua ghafla

    ni tuhuma au una uhakika na unachosema
  2. M

    Mpinzani wa JK apeta TUCTA

    kwa mapenzi ya mhe. J.K kwani anagawa madaraka kama pipi hajali una uwezo ngani, unakubalika au laa, ni moja ya dhalili ya vongozi wavivu kufikiri na kufanya maamuzi sahihi!
  3. M

    Viwanja vilivyopimwa na serikali vinauzwa bei tsh 500per sqr mita

    nmevutiwa na hii taarifa! naomba nipe inform za kutosha kuna barabara?,maji , umeme umeshafika? kuna umbali ngani kutoka Tanga mjini. pls im serious nitumie kwenye e-mail yangu j.maruma@hotmail.com. Fanya hima ndungu
  4. M

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    "Chadema kwa kuendelea kudhihirisha ni watu wa fujo, makada wao wanaonekana kutumwa na mtandao wa mamlaka ya chama, walimvamia na kumpiga kisha kumwagia tindikali kada wa CCM" Uhuru.wanaweza kuthibitisha hii kauli ! jamani vyanzo vingine vya habari viko mikononi mwa mbumbumbu kwani hili...
  5. M

    Umaarufu wa wabunge wa CHADEMA wapaa maradufu mitaani

    kweli! haya mafisadi waliamua kueka mnyonge watakaye mpilekesha na kulinda maslahi yao na ccm yao
  6. M

    Serikali yasalimu amri kwa Lema, waziri kivuli

    kama Serikali inalegalega kwenye usama wa wananchi wake , je inamtumikia nan? natamani watz tungeungana tukaondoa haya mabepari,mabeberu madarakani
  7. M

    Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

    ukiona sura ya unaye mfahamu mwambie sio vizuri hivyo! mbambie arudi tukomboe nchi kwani imetekwa na maharamia
  8. M

    Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

    inawezekana kwani hata rais wa serikali ya wanafunzi alikuwa mmoja wao ! ambaye anatuhumiwa kwa wizi wa sh. milioni 3 za wanachuo
  9. M

    Mh Nape alipowasili tu Moshi Mjini alikutana na mabango, yakachanwa hadharani

    mkuu nakubali its a mistake hawezi kuwa mhe. 4 us labda ndani ya CCM
  10. M

    Mh Nape alipowasili tu Moshi Mjini alikutana na mabango, yakachanwa hadharani

    Baada ya kuona kundi la watu wapatao 10 wakiwa wamebeba mabango yenye jumbe mbalimbali nyingi zikewa ni kejeli kwa ccm vijana wanaitwa green brigade waliwavamia watu na kuwanyanganya mabango yao na mengine kuchanwa kama inavyoonekana kwenye picha. Sasa swali ni je ccm inajua misingi ya...
  11. M

    Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

    ni kweli siasa ndani ya chuo hairuhusiwi ndio maana mkutano wao walifanyia nje ya chuo. kwenye ukumbi wa kada wa CCM (KING SIZE)
  12. M

    Mbinu wakuu changamkeeni!

    Top 100 things that attract women to men 1. Clear, beautiful and healthy looking eyes. Eyes provide an insight on the level of health of the individual, and healthy eyes indicate a healthy mate. It was also surveyed as the most attractive feature according to various women’s magazines...
  13. M

    Raisi Malawi On the Way Out; Kikwete is also On Way out!

    sio dicteta ila hajitambui na hajui anachofanya zaidi ya kujichekesha na kusafirisafiri sasa ana maana kweli! mbona hajaorodhesha faida tulizopata kutokana na safari zake na sh. ngapi ametumia hata ziara za kawaida za mawaziri lazima naye yupo na watu kibao
  14. M

    Raisi Malawi On the Way Out; Kikwete is also On Way out!

    watz tunadanganywa na kile wanachokiita amani japo kwangu mimi hakuna amani kwa maskini kwani anawindwa na maradhi, njaa, tabu na frustration za kila siku. Ndugu zangu watz tuamke sasa tumuondoe huyu Vasco Da Gama wetu tuweke rais anayejua umuhimu wa kutulia na kutatua kwa busara matatizo...
  15. M

    Hawa ndio wasomi wa CCM Kilimanjaro! Tazama picha

    inakadiriwa walikuwa watu 108 kutoka Tumaini university smmuco waliopewakadi na mhe. Nape . Ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi. Sasa wanaJF kazi kwenu angalieni ndugu zenu wanachofanya. Tunafangia wenyewe wanachafua
  16. M

    Ludewa kumekucha; wamkataa diwani wa CCM

    pole sana kwa yaliyomkuta bwana mkubwa ila mbona kwenye picha wanaonekana watoto wengi haoni anajidhalilisha?
  17. M

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Nape alipokuwa Himo aliwapa kadi wanafunzi wa chuo kikuu cha Tumaini wapatao 108 lakini cha ajabu hakuna hata mmoja aliyerudisha kadi, japo wengine kama 40 wanatambulika ni wanaCHADEMA damu! Sasa cjui ni maigizo anafanya huyu bwana mkubwa au ndio upepo wa siasa. Machine inasumbua kidogo ila...
  18. M

    Nape kutikisa Arusha/Moshi Jumamosi wiki hii

    Mh. wa propaganda leo kwa kutana na kimbembe baada ya wakazi wa Moshi kumpokea na mabango ya kejeli juu ya CCM kwa mfano bango moja lliandikwa "CCM NI YA NYERERE IMEZEEKA""HATUTAKI KUVUA GAMBA TUNATAKA UMEME"
Back
Top Bottom