Search results

  1. K

    Wanawake na hofu ya kusaidiwa na nyumba ndogo

    Naona nimeparamia post ya watu si unajua ugeni tena. Ila na sisi vimada tunafua Paulina . Ndicho nilichotaka kukwambia sasa sijujajua kutumia JF vizuri.
  2. K

    Natamani kujiua

    Asanteni kwa ushauri. Nitaufanyia kazi. Ila kumbukeni kuwa huyu mwanaume ni muislamu kwa hiyo nilijua fika kuwa atanioa. Na mara kwa mara alikuwa anaamia kwangu na kukaa hata siku mbili hivyo niliona kama hamna jinsi ya yeye kunitema. Nitajitahidi kumsahau.
  3. K

    Wanawake na hofu ya kusaidiwa na nyumba ndogo

    Mimi sioni ubaya kufanya hivo kwa kuwa na yeye kuna mengi ananifanyi ingawa si mume wangu
  4. K

    Natamani kujiua

    Habari zenu wana Jamii Forum. Mimi ni mgeni humu. Ila si mgeni ki hivyo nimekuwa natembelea bila kuwa member. Nimeamua kujiunga ili nipate kushauriwa kwani shida niliyonayo siwezi kushare na mtu ninaye mjua. Mimi ni mdada wa miaka 32. Ni mrembo sana yaani wale mnaoita 8 figure. Sijisifii ila...
  5. K

    Sikujua huu mziki ni kwa kina mama

    Baba pia ni muhimu. Mimi nilijua huu ni mziki kwa ajili ya lovers, 'god must have spent little more time on you?' nilidhani ina maana binti kaumbika. Sasa video imekuwa tofauti. Asante Nyumba Kubwa hawa wanamuziki nawazimia sana. Si hawa kina sijui JZee hamna kitu, kufoka tu. Afu ilo jina na...
  6. K

    How to use JamiiForums effectively

    I am happy to be JF member
Back
Top Bottom