Search results

  1. norbit

    Eti hizi ndio sifa 5 zilimfanya Membe apewe ajira TISS

    Katika uhai wake marehemu aliweza kugombania Urais wa Tanzania bila kupitia chama cha siasa ambayo ni kinuyume na katiba ya jamhuri ya Muungano wa Tanzania, na Serikali ilishindwa kushutukia hadi marehemu anaaga dunia.
  2. norbit

    Rais Samia: Hayati Mkapa ndiye bingwa wa Uchumi. Mifumo aliyoasisi ndio inayotumika sasa

    Kwa bahati mbaya Tanzania haikuwahi kupata raisi wa maana hata mmoja, tunalazimisha tu. Miaka 60 uhuru Hatuna maji, umeme, huduma za Jamii zote zero kabisa. Wakati nchi ina zaidi ya Utajiri halafu tunawatengenezea sifa, tueni serious Jamani.
  3. norbit

    Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

    Kama tunasema alikuwa juu ya mihimili yote (mahakama na bunge) vlvl hakujali hata katiba itakuwa makamo wa raisi ambaye kiutendaji hana mamlaka yyt.
  4. norbit

    Kesi ya Mbowe ilipikwa kipindi cha Hayati Rais Magufuli

    Case imepikwa na usalama wa taifa, polisi kushirikiana na jeshi wakiwa wamepata baraka zote za serikali ya awamu ya 5. Usifikirie Samia aje kujua ukweli within 2 days. Ukiangalia ile speech ya Siro, ushahidi ulioletwa na watu waliouleta mahakamani, unganisha na interview ya bbc na samia...
  5. norbit

    CHADEMA ni tawi tiifu la CCM

    Chadema ni CCM academy, Mengineyo tunavyoona ni usanii tu.
  6. norbit

    Alichofanya Tundu Lissu, ndicho alichofanya Zitto Kabwe, kwa Rais Samia

    Wanasema talk sense to a fool and he calls you foolish, hii ndio ZZK kwa Chadema. Chadema wakiomba msamaha kwa raisi, wakiomba kukutana na raisi etc, they call them selves hero, barbarian, undisputed or whatever lakini akifanya mwengine, he is traitor, defector, Judas, schemer or .... ...
  7. norbit

    CCM wakimpitisha Chenge kuwania Uspika, nitaamini kuwa Watanzania hatuko serious

    Watanzania hawajawahi kuwa serious tokea kupata uhuru
  8. norbit

    Tungekuwa wapi leo bila Rais Samia?

    Umeona ehh, lazima tukubali samia ametuokoa kiasi flan, watetezi wetu walikuwa wameshatukimbia wellah. na mwenda zake alikuwa anakuja na mitano tena. Mungu azidi kutulinda.
  9. norbit

    Job Ndugai alimuwashia moto Prof. Assad tarehe kama ya leo

    Bunge limepigwa tokea October 2020
  10. norbit

    Jaribio la kumtoa Spika Ndugai ni la hatari kuliko linavyochukuliwa

    Tena ananyofolewa kwa kidole cha kati kama nyama ya mkate tu.
  11. norbit

    Yes! Rais Samia mmemchokoza, sasa mtalinywa!

    Nachagua walidagaa kuliko walimwengu
  12. norbit

    Tetesi: Wazanzibari wengi wanautweza Utanzania, shida ipo wapi?

    Mkuu, nahisi mleta mada hakukusudia kisheria, amekusudia kipsychologia zaidi, Kwanini hii jamii ya watanzania wanapenda kujitambulisha kama ni wazanzibari na sio watanzania, tofauti na ndugu zao Watanganyika ambao wanafurahi kujitambulisha kama wa Tanzania. Ni kweli, na wala sio walio Uarabuni...
  13. norbit

    Rais Samia aiingiza Tanzania kwenye orodha ya nchi 10 tajiri Afrika 2021

    Tatizo wa mwazo ametuacha kwa U$411Billions, halafu tunajisifia
  14. norbit

    January Makamba, Lissu, Mbowe na Profesa Assad kwa akili walizonazo hawakupaswa kuzaliwa Tanzania

    Ni Januari mwenyewe na anajibeba kimwenyewemwenyewe 🤣😂🤣😂
  15. norbit

    Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

    2:) Siwezi kumpangia aifanyie nini elimu yake kwa vile sikumsaidia kuitafuta. 1:) Anachokumbuka yeye ni kuwa ana elimu zaidi yako hata uchanganye na kijiji chako kizima.
  16. norbit

    Mahakama yatupilia mbali kesi ya Kikatiba ya kupinga kuhojiwa kwa Profesa Assad na Kamati ya Bunge

    Halafu utakuta zuzu kama hili police wanaenda kulipa ubunge.
  17. norbit

    Askofu Gwajima kaufyata?

    Kuna Wakati alidai atakuwa meeting na watengeneza vaccine wa pfizer na Astrazeneca na Kila kitu watakacho zungumza ataiweka wazi. Itakua kikao haijaisha, tuvute subra atakuja tu.
Back
Top Bottom