Search results

  1. Mpendwa

    Barua ya wazi kwa Mkuu wa Wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na Afisa Elimu

    Barua ya wazi Kwa mkuu wa wilaya ya Ubungo, Mkurugenzi na afisa elimu. Sisi ni wazazi wa watoto wanaosoma shule ya msingi Msumi. Ndugu wakuu wetu tunahitaji Sana msaada wetu kuhusu upotevu wa pesa zetu ambazo tulichangishwa na Kamati ya makande inayosimamiwa na Kamati kuu ya shule chini ya...
  2. Mpendwa

    Unafiki wa Zitto Kabwe na suala la Posho - Lema

    Mbona sijaona Zitto akijibu hja tuhuma zidi ya kusema huwa hachukui posho.... Convince us man, mwenzio katoa points na naambiwa wewe ndo msomi zaidi, how comes msomi anashindwa kuongea points za msingi? Basi ni bora ungenyamaza tungeona Lema lropokaji tu. Maadamu umeamua kujibu, basi jibu hoja....
  3. Mpendwa

    Kifaa cha CHADEMA chakamatwa na watu 6 waliomvamia Dr. Mvungi

    Sijaona kuhusika kwa CHADEMA hapa. hizo kofia zinzuzwa barabarani tena 3,000/- tu. Mtu yeyote hata awe sisiemu anaweza kununua na kufanya hujuma. Pia si kila anayevaa kofia ya CHADEMA NI MWANA chadema, KAMA AMBAVYO WAPO WANAOVAA T SHIRTS za kijani lakini si wana sisiemu. Let us remember this is...
  4. Mpendwa

    Ponda: Serikali haiwezi kunifunga mdomo

    I can see the spirit of 'a devil worshipper' in this writter as it is in the said sheikh
  5. Mpendwa

    Mahakama ya Rufaa yamrejeshea ubunge wa Igunga Dr. Dalali Peter Kafumu

    Binafsi nilijua itakuwa hivyo kwani Hakimu kaajiriwa na Rais na Rais alisema kule IGUNGA kuwa ni nani aliyemvua madaraka Kafumu... Anamshangaa. NCHI HII!!!!
  6. Mpendwa

    Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

    Sasa CHADEMA imetoka wapi hapa??? me naona ni masuala yanayohitaji mabadiliko kiukweli hasa kwa mtu mwenye sound mind, sijaona hoja yako hata kidogo, be fact based man..........
  7. Mpendwa

    Napata wasiwasi na watendaji wa Rais!

    Serikali ya Mh JK inaonekana kushindwa kila mahali na katika sekta zote.... 1. Haiwezi kulipa waalimu 2. Haiwezi kulipa madaktari 3. Haiwezi kuwajibisha mafisadi, inaishia kuwatetea 4. Haiwezi kutetea wanyonge zaidi ya kuwasaliti na kuwatekeleza 5. Haiwezi hata kulitumia vema jeshi la polisi 6...
  8. Mpendwa

    Wanahabari wazalendo wako wapi.... Mbona mmenyamaza japo mwanahalisi amefungiwa?

    Kufuatia uzandiki huu kwa MwanaHalisi, ninawashauri wanahabari wazalendo wa Taifa hili wamlinde Kubenea na gazeti lake kwa kugoma kuandika mazuri yote ya Serikali kwani serikali inaingilia uhuru wa vyombo vya habari na haitaki kukosolewa. kitu ambacho nimekiona hapa ni kwamba mabavu ndiyo...
  9. Mpendwa

    CHADEMA yaendelea kuigalagaza CCM ktk chaguzi ndogo jimbo la Buchosa - Sengerema

    Watanzania wameamka sasa, tuendelee kuwahamasisha ndugu zetu, jamaa na marafiki walio mbalia wanahadaiwa na tshirts na kofia "Choose GWANDA or die in GAMBA"
  10. Mpendwa

    Tundu Lissu ashinda kesi ya kupinga ubunge wake

    Breaking news...........................Tundu Lissu ameshinda kesi ya kupinga ushindi huu ni ushindi kwa wapenda Demokrasia.
  11. Mpendwa

    Kauli inayomgharimu Hadji Mponda dhidi ya Madaktari

    Akitoe, asepe atimuliwe
  12. Mpendwa

    Majina

    siasa uchwara
  13. Mpendwa

    Dr. Dalaly Peter Kafumu amlilia Gaddafi

    Wapo wanaodai kwamba Gaddafi ni "shujaa" na ni "kamanda" na vyovyote vile ambavyo angeweza kuitwa! Sawa! Lakini lazima watambue kwamba kuna mambo kinyume na "sheria" na "kanuni" za kimaumbile binadamu akiyafanya anakosa "ubinadamu" na anakuwa kama "mnyama" na au zaidi ya "mnyama". Na wale wote...
  14. Mpendwa

    This is serious, si jambo la kufumbia macho vinginevyo tutajuta milele

    Mpaka sasa CCM wametuia yafuatayo ili kushinda igunga 1. Kumtumia rais mstaafu (Mkapa) 2.Usalama wa taifa 3.Polisi 4.Bakwata 5.Mawaziri 6.Rostam 7.kuhonga chakula kwa wanaigungai 8.Kuzuia wapiga kura wasio na vitambulisho kwa baadhi ya maeneo esp kwenye upinzani 9. Kutumia zaidi ya Tsh...
  15. Mpendwa

    Asante Igunga na watanzania-Dk Slaa

    Keep it up dr, tuko pamoja
  16. Mpendwa

    Mawazo yangu kuhusu chadema

    Ndg wadau mwenzenu nimetafakari na kuja na conclusion yangu juu ya CDM. ccm wanadai wameshinda lakini hebu cheki hili... 1. Wamemtumia rais mstaafu 2.Mawaziri wa serikali 3.Polisi 4.Usalama wa taifa (kama si uharibifu wa taifa) 5.Bakwata 6.Chakula cha hongo 7.Pesa za Rostam 8.Zaidi ya Tsh...
  17. Mpendwa

    Serikali na mishahara ya Septemba 2011

    Acha uhuni na wewe na kuudanganya umma, labda mmepewa ninyi makada wao, lakini sisi hatujapewa mpaka sasa
  18. Mpendwa

    Serikali na mishahara ya Septemba 2011

    Mpaka sasa watumishi wa sekta nyingi za serikali hawajalipwa mishahara yao, kitu ambacho si kawaida. Tumezoea kulipwa kati ya tarehe 22 - 25 ya kila mwezi lakini sasa tunaingia siku ya mwisho kabisa ya mwezi na hakuna hata dalili, napenda kujua wadau, AU NDO PESA ZETU ZIMEENDA IGUNGA? maana...
  19. Mpendwa

    Igunga: Kashindye wa CHADEMA afunika kijiji cha Matinje

    watoto huenda kushangaa/kucheza muziki na kuwaona orijino komedi
Back
Top Bottom