Search results

  1. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    we kilaza kwelikweli, yaani dah unajiaibisha, sasa haapo ndo umeongea nini? weka cheti chako hapa na mimi niweke changu halafu watu watwambie nani mjinga ? au Mod naomba tutungie mtihani wa kutest upeo mimi na huyu mnywa pombe ya mnazi hapa halafu nimweke begani ndo ataniheshimu
  2. kiwalanikwagude

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    we umesoma mpaka kiwango gani cha elimu? mbona unaongea pumba? hivi una nini wewe? umeambiwa hapa hatujadili picha bali hoja ya kubenea kununuliwa , we vipi bhana?
  3. kiwalanikwagude

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Naomba nikupongeze Mpayukaji hapo kisu kimegonga kwenye mfupa duuh! ni ukweli mtupu kuwa hizo tindikali alimwagiwa kwa kutembea na mke wa mtu tena very true alikuwa anafanya kazi Bakhressa company(jina nalihifadhi) na hii ndiyo sababu hawezi kuwataja hao anaosema walimwagia tindikali, pia huyu...
  4. kiwalanikwagude

    Nape atua studio za V.O.A, Afunguka kuhusu Rostam, Lowassa na Chenge

    hamna kitu hapo bure kabisa, akifika Newyork ntajitahidi nimvae uso kwa uso ili nimweleze jinsi anavyojidhalilisha
  5. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    Kwa kiongozi wa chama wa hadhi yako unapofanya mambo kama "hamnazo" lazima sisi wenye akili timamu tukuonye look hebu mkuu fungua akili yako ili iweze kusikia, kuchambua na kuelewa. Mwishoni nikupe onyo kali kuwa usikariri kuwa ni lazima ukanushe kila kitu kama unavyojaribu kufanya hapa...
  6. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    ndo umeongea nini wewe? nilikuwa nakuheshimu ila hapa umeniangusha sana! umeongea pumba kwelikweli, sisi tunachekwa hawa niggaz na baadhi ya wazungu wanatwambia we are doomed kuweka ofisi za chama tawala(kinawakilisha Tanzania nzima) kwenye car wash
  7. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    kazi kwelikweli, amekuja kushangaa maghorofa tu, atasoma nini? wakati anasema kuwa ameyapinga maisha kwa mbele si unamwona kitambi kinaongezeka tu, we hujui eenh kuwa hizi trip kila moja anakomba mkwanja wa posho TZS 2millions
  8. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    acha kutudhalilisha wewe , wengine tumekuja kikazi hapa USA tena so kazi unazosema wewe hizo, nipe email yako na contacts zako niwaambie waajiri wangu kuwa uje kama relative wewe na my wife na watoto kwenye annual visit mwisho wa mwaka, nitakutumia na viza, ingawa sibishi kuna baadhi ya wabongo...
  9. kiwalanikwagude

    James Mbatia: NBC kuniita mimi ni mbumbumbu kulitikisa ndoa yangu

    usiwe mpuuzi wewe, nilikuwa nakurespect sana ila umeongea pumba hapa. We vipi, unamjua mbatia au unamsikia tu?
  10. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    mkuu hapo kwenye blue sijakupata duu halafu unasema umezunguka nchi nyingi mmh labda arabuni
  11. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    wee mbona una mawazo mafupi sana?
  12. kiwalanikwagude

    James Mbatia: NBC kuniita mimi ni mbumbumbu kulitikisa ndoa yangu

    Pooooor mbatia! Haya sasa kanishtaki na mimin nimekuita masikiini
  13. kiwalanikwagude

    CCM Yatudhalilisha Watz USA; Nape Afungua Matawi Mpaka Car Wash!

    Sasa haya ni matusi lazima hatua kali zichukuliwe dhidi ya Nape Nauye kwa kitendo cha kutudhalilisha watz wa hapa Us na huko bongo, eti kaenda Huoston(wabongo kibao) kufungua matawi ya chama tawala(CCM) huku wamarekani wanatushangaa iweje ofisi iwe kwenye car wash? au vituo vya kulelea wazee? na...
  14. kiwalanikwagude

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Topic InformationUsers Browsing this TopicThere are currently 86 users browsing this thread. (21 members and 65 guests) Hoja Kwa Hoja Mag3 Mwalu Mzee2011 kamavipi mussamhando Mulugwanza Mzee Mwanakijiji Kiluvya2011 prince Jonathan Jombi Jombii muchetz Noti mpya tz Mwafrika Halisi FARAGY...
  15. kiwalanikwagude

    Absalom Kibanda: Kilichobaki ni Kuandika kitabu cha Maovu yako Samwel Sitta!

    [/I][/COLOR]Eeeh hapa ndo haswa nilikuwa napasubiri, sasa endelea mkuu mi ukiacha mnafiki kibanda wengine walionunuliwa corolla na kuchange!
  16. kiwalanikwagude

    MwanaHalisi yamshambulia Sitta

    Hoja yako hapo ni nini? we vipi bhana? we ni sokwe au kima, ukipata ntajua unajua! na hiyo avatar yako mmh! Niliitwa kiwalanikwagude mmenipa ban, sasa nimerudi tena Nasisitiza Mwanakijiji namjua kwasababu ni ndugu yangu Na 4 sure siwezi kuhama JF coz iz never boring! Signed 4rom New York, UsA
  17. kiwalanikwagude

    Tanzania yatumia zaidi ya shilingi bilioni 60 US ndani ya miaka miwili !

    mmmh nina shaka hapa kama kina Ambassador Mwanaidi Majar hawajapiga cha juu...mmmh au JK huyuhuyu, mi naona ufanyike uchunguzi, labda to put record clear Comrade Mwanakijiji upo hapo Detroit, je umeshafanya uchunguzi wowote? hatutaki tume ya bunge wala nini? wala macorps wetu, na mimi naanza...
  18. kiwalanikwagude

    PM Pinda sasa kufanya 'maamuzi magumu'...?

    Mimi sitaki hao mafisadi wadogodogo tatizo langu ni uhalali wa JK kuongoza dola uko wapi?
  19. kiwalanikwagude

    Gobless Lema; Jabali Linaloitikisa Serikali Ya JK ,Lajifananisha na Mwanamapinduzi Luther King Jr

    Kama ulidhani unachokisoma vitabuni kuhusu Mwanamapinduzi Martin Luther King Jr kilitokea hapa tu nchini Marekani basi ujue unajidanganya tena sana, hebu mwone huyo Mtetezi wa wanyonge hapo juu, mwangalie vizuri tu, si mwingine bali ni Gobless Lema. Huyu ndiye Lema anayemfanya JK akose usingizi...
  20. kiwalanikwagude

    Ripoti ya "ajabu" ya NAPE huko Houston...!

    Nimekerwa sana na kitendo cha huyu kijana Nape Nauye ambaye ni katibu wa Itikadi na Uenezi wa chama tawala huko home CCM, nashindwa kuelewa nini hasa kilimleta hapa Marekani? huku akijua fika kuwa maisha ni magumu hapa yeye kwa kuwatumia baadhi ya vibaraka wao wakatupotosha tukadhani huyu dogo...
Back
Top Bottom