Search results

  1. mchemsho

    Tetesi: Sabaya ashambuliwa kwa kuchangiwa na Askari Magereza

    What goes arounds comes around. KARMA.
  2. mchemsho

    Shujaa wangu wa Amani: Sheikh Hilary Kipozeo

    One day I will tell you sincerely how we are related. #Jemima.
  3. mchemsho

    2022 Qatar World Cup gone crazy! Wanaodhaniwa kushinda hawashindi, wanaodhaniwa kushindwa wanashinda!

    Wanaodhaniwa kushinda hawashindi wanaodhaniwa kushindwa wanashinda! He nchi za kiarabu na pacific (Japan) confidence imeongezeka coz psychologically wanachikulia Qatar as home ground? Just got the feeling will Arabs countries take Budweiser all beer stock should they win world cup? 2022 Qatar...
  4. mchemsho

    Tunaosubiri namba E tukutane hapa

    Me nasubiri T999ZZZ. [emoji12]
  5. mchemsho

    Ushauri juu ya Bati ya kuezeka ALAF

    Nomejifunza kitu hapa
  6. mchemsho

    FUN Game.Uzi wa kuunganisha majina tuone yapi yanaleta maana au kuchekesha.

    Kwa mfano Mimi muanzisha Uzi mchangiaji wa kwanza atakayeni"quote" mchangiaji wa pili atatakiwa ku comment Kwa kuunganisha jina langu na la Yule mchangiaji wa Kwanza, and the game continues, let's go..
  7. mchemsho

    Kifo cha pesa Beach Kidimbwi

    Karibu tujuane ndugu yangu, naishi Kitangiri.
  8. mchemsho

    Utafanya nini pale utakapomkuta mkeo yuko ndani kwako na jibaba anachakatwa mbususu?

    Hizi sio story. Haya mambo yapo, Kuna jamaa yangu yalimkuta mwaka mmoja uliopita.Jamaa kibarua chake ni safari mara nyingi. Mara paap dharula, jamaa karudi nyumbani kamamkuta msen*e mmoja red handed anakula mbususu ya mamsapu wake kwenye chumba chake ,Kitanda chake, nyumba yake, mchana kweupee...
  9. mchemsho

    Mada Maalumu ya Afya ya Akili

    Wakuu, Tukubali tukatae kwa sasa kumekuwa na matukio mengi ambayo sio ya kawaida Kama vile Kuuwana, kufanya vituko vya kujiaibisha na mhusika akaona ni sawa nk nk. Ukisoma machapisho kadha wa kadha mambo haya yakekuwa yakihusishwa na janga la Afya ya Akili. (mental health). Kwa bahati mbaya...
  10. mchemsho

    Nahitaji kuacha kunywa pombe

    Very useful thread. Nafuatilia comments, kuna mengi nitajifunza humu.
  11. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Huwezi amini mpaka leo every sitting [emoji631] President official phone yake ni back berry, for security reasons, WTF Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  12. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Mzee wa kujitutumua, Chezea kitu ingine [emoji23] Lmao. The rest is history Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  13. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Instagram sidhani coz wadada wengi ndo platform ya kuuzia nyago. Uwekezaji wowote kwa ladies always pays off. Hadi Mash*GA siku hizi IG ndo market place. Instagram is here To stay. Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  14. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Wazee wa Blackberry Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  15. mchemsho

    Nigeria: Wanafunzi Wamuua Mwanafunzi Mkristo na Kumchoma Moto Wakitekeleza Sharia ya Uislamu

    Tunajifanya wafia dini kuliko hata waliotuletea hizo dini, ULIMBUKENI. Kabla ya wazungu na waarabu Kuja Africa kueneza dini zao, Wafrika tulikuwa dini gani? Tuache Ushamba na ULIMBUKENI eti kwamba tunaijua dini kuliko hata waliotuletea. Tusichukiane. Killing or hating each other coz of religion...
  16. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    [emoji23] [emoji23] Mkuu JF itabaki kileleni daima. Kwani wewe ume reply kupitia forum ipi? [emoji12] Sent from my CPH2059 using JamiiForums mobile app
  17. mchemsho

    Tujikumbushe Teknolojia au Apps zilizokuja kwa Fujo na kufa Kibudu

    Heshima kwenu wakuu, Leo nimekumbuka jinsi Selfie Stick ilivyokuwa gumzo mjini. Slay queens na Ma brazamen ilikuwa kila weekend au kwenye event Full kukenua. Now it's gone unaonekana wakuja ulitumia hayo madude eti kushikilia simu ili kujipiga selfie. Je mdau unakumbuka Teknolojia ipi au App...
  18. mchemsho

    Car4Sale Magari Empire, wauzaji wa Magari

    Magumashi ya kwenye odometer yanawakoseshaga sana serious buyers.
Back
Top Bottom