Search results

  1. Beautiful Lady

    Late Sedekia kumbe alichukuliwa kimzimu

    Hivi watu mnapata wapi ujasiri wa kusingiizia watumishi wa Mungu maneno kama haya.? kama huyo mtu wa rfa hakutaja majina, inakuwaje unaconclude kuwa ni Sedekia na Mwakasege wakati mwakasege si mchungaji.? Msijitafutie laana kwa nguvu toka kwa Mungu.
  2. Beautiful Lady

    Mume kuitwa daddy na daddy aitweje?

    Na kumwita "baby" wakati mna watoto inakuwaje?
  3. Beautiful Lady

    Nauza magari haya

    Mkuu spacio old model bei gani?
  4. Beautiful Lady

    Nauza bbm 8525 mpya 250000/=

    bbm inauzwa..! makubwa.
  5. Beautiful Lady

    CHADEMA, matusi ya nini? Mtu akihama ina maana mna kasoro, jiulizeni kwanza

    Hivi kwani akina Juliana wamehama au walifukuzwa? why hizo kasoro za ukanda na ukabila hawakuziona hadi walipofukuzwa?
  6. Beautiful Lady

    Maajabu ya Kampala International University

    Labda Mtaala wa University ndio uko hivi.
  7. Beautiful Lady

    bila kuwaona hawa huwa siangalii bunge.wewe je?

    Shibuda mzee wa ujira wa mwiha humpendi?
  8. Beautiful Lady

    kijana tulikumiss

    Hapo kwenye rangi nyekundu ni lugha gani?
  9. Beautiful Lady

    kuna upendo hapo??

    fuata ushauri wa bibie Lara 1 hapo juu.
  10. Beautiful Lady

    if u were to choose a HUSBAND......

    Ndio chaguo langu katika hizo options zilizowekwa.
  11. Beautiful Lady

    Tukumbushane riwaya za kusisimua

    " MKIMBIZI'' huwa sichoki kusoma hii riwaya.
  12. Beautiful Lady

    Kunywa maji mengi

    Nenda hospitali kapime kisukari.
  13. Beautiful Lady

    Mkichagua upinzani hamtopata msaada na huduma kutoka serikalini.IT WAS UNFORTUNATELY.

    Hata ccm wana kauli tata nyingi tu. Kuna mwingine alisema wauaji wa maalbino wauawe.Nasari pekee asihukumiwe kwa hili ila wanasiasa wote wawe makini na kauli zao.
  14. Beautiful Lady

    Ahsante Mungu kwa kutupa Mh. Joshua Nassari

    Hivi Mh Pinda alivyosema wauaji wa maalbino nao wauawe nae alifunua TRUE COLOUR YA CCM....? , siasa bwana.....
  15. Beautiful Lady

    Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

    Wewe sio saizi yangu. Yeye ni Raisi wangu maana nilimpa kura yangu.
  16. Beautiful Lady

    Nimefarijika sana....Asante sana Dr.Slaa...

    Hata mimi natamani nikutane nae......!
  17. Beautiful Lady

    Je, hawa tu ndio CCM vyuo vikuu?

    kweli kabisaaa. mwandiko wa mabango yote unafanana. itakuwa kaandika mtu mmoja.
Back
Top Bottom