Adhabu ya fimbo au kipigo kwa iwe polisi au shule ni mbovu. Mwalimu kahukumiwa kunyongwa kwa kutoa adhabu isiyolingana na kosa kwani hata kosa halikuthibitishwa kama kweli limetendeka matokeo yake kaua mtoto. Polisi nao hutoa adhabu kali kabla ya mahakama kutoa hukumu na mara nyingi hizi adhabu...
Sijui kuhusu January ila ulichokifanya usishangae akikosa uwaziri asubuhi na wewe ukatafuta uraia kwasababu soon hutakuwa Mtanzania. Andaa vyeti vya kuzaliwa babu wa pande zote na bibi , baba na mama na wajomba .
JF great thinker - leta hiyo unayosema sio circumstantial au fact. Tundu Lissu hajajibiwa hata hoja moja. Lumumba wanatumia spinning tactics za 1940s. Jibu maswali ya msingi. 1. Nani aliamuru walinzi kutoka Lindoni ili wapiga risasi waingie kufanya yao. na Ziko records za CCTV na kwanini cctv...
Kupambana na someone very powerful usifikiri Ni mzaha
Yes kila kiumbe hai kinaogopa kufa.
Forces behind his assassination Hakuna ambaye asingeogooa. Hata hivyo Tundu Ni Jasiri Sana anampeleka muuaji kwenye Kona . Wanaanza kupagawa na kutenda mambo ya hovyo.
Tundu Lissu alipigwa risasi 38 kati ya hizo 16 zilimwingia mwilini na kuchana chana sehemu ya mwili wake. Alipelekwa Hospitali akiwa hoi bin taaban. Alisaidiwa katika Hospitali ya Dodoma na madaktari wetu walifanya kazi kubwa sana kuokoa maisha yake. Ni kweli kuwa Uwezo wa kuendelea kupatiwa...
Ila kuna movie za ajabu sana kwa nchi hii- Juzi Bashite na Gwajima walikuwa maadui mahasimu kweli kweli - makombaro yalikuwa sio ya nchi hii - Eti leo Bashite na Gwajima wamepatana tunatishiwa kuswekwa ndani kwa kuwalinda - Kua uyaone maajabu ya dunia.
Dr Slaa ni mwanasiasa mahiri- Alitangaza kuachana na siasa - ni mtu pekee kapewa kazi na Jiwe na alikataa kuchukua kadi ya CCM. Alimwambia Jiwe hataki kujihusisha na vyama. Majira na nyakati hugeuza watu. Ila kuna watu wachache sana duniani husimama na misimamo yao mpaka mwisho . Je Dr Slaa...
Serikali ni sisi na madeni tutalipa sisi au ikitokea wanaotudai wanachukua collateral ambayo sisi lazima tujue haya mambo wapi tunakopa kwanini ina faida au la.
Tuwaulize sirikali wanatuuza wapi kwa kuleta umeme wa maji wa bei nafuu? Wasije maliza ujenzi wenye fedha wakasema wanatuuzia umeme...
Wanasiasa ambao wanapata bahati ya kushika madaraka hasa waafrika mara nyingi wanafanya makosa makubwa ya kiufundi. Kuwafanya wanasiasa wenzao maadui zao hasa wakiwa vyama tofauti. Focus ya mwanasiasa anayepenya na kuwa mtawala inabadilika ghafla na kuanza kutesa wanasiasa wenzake kwa visa na...
Akiwa anajiamini kwa lugha ya utulivu amenukuliwa akisema 2020 Ni ikulu tu.
Katiba ya ccm inaruhusu mwanachama wake kuomba kura za wanachama kupewa ridhaa ya kupeperusha bendera kila baada ya miaka mitano ,,!
2020 mwenyekiti na Rais Magufuli atapata upinzani haitakuwa free ride Tena
Kina...
Nafikiri tatizo lako ni kuelewa - USA Demo hawawezi kumtuhumu Trump au Replucan kwani hawajazuia FBI kufanya kazi zao kila anayetaka habari anapewa habari sahihi hata kwenye tukio husika wapo waandishi wa habari na hawabuguziwi - hakuna hata dalili ya mbali serikali kutaka kuzuia upepelezi huru...
Nimesoma posts nyingi sehemu mbali mbali kwenye social media- Inayozunguka sana ni moja inasisitiza kuishi kwa kujificha - kutokuweka tena picha, na matumizi mengi ya smartphone ili kuwahepa watekaji na wanaowatuma.
Ni kitu kizuri sana kujihami ni vyema kujilinda na kuchukua tahadhari...
Mpo sawa wote mnaolaumu Diaspora
Ila msiwachukie nao ni WaTanzania walikwenda nje kutafuta ajira , iwe kubeba zege, kuogesha binadamu, kuosha vyombo, kusafisha barabara wanapata kipato halali kwa jasho.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.