Search results

  1. Mrigariga

    Kwanini mara kadhaa alipo Rais Samia huambatana na Rostam Azizi?

    Acha kupotosha mchana kweupe!!!
  2. Mrigariga

    Mwanamke na mwanaume waliosimamishwa kwenye mkutano na Makonda siyo wanandoa na wala hakuna anayewafahamu. Walitokea wapi?

    Hivi kazi ya Katibu Uenezi wa Chama ni zipi labda nisaidie. Ninavyofahamu kesi za ndoa zinatatuliwa Ustawi wa Jamii.
  3. Mrigariga

    Uzinzi huongezeka siku za sikukuu

    Nakumbuka kuwa ni watu wenye Elimu au utaalamu kusoma nyota kitu kama hicho. Astrologers.
  4. Mrigariga

    Naomba Ushauri: Nimempa ujauzito mke wa mtu ambaye ameachana na mmewe miaka miwili iliyopita bila talaka

    Ushauri bora kabisa kupata kuusoma ktk Uzi huu. Kama bidada amekuficha kuhusu kuzaa mtoto na ndoa iliyo shindikana. Vipi una uhakika gani hata huo ujauzito ni wa kwako? Ni wangapi atakuwa amewadanganya kama wewe? Ni kwa nini hataki ukajitambulishe kwao wakujue?! Msingi Mkuu katika mahusiano...
  5. Mrigariga

    Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

    Hii ngoma 'Night shift' aliitunga na kuimba msanii mmoja anaitwa Marvin Gaye ambaye pia aliimba 'Sexual healing' baadaye wakatengeneza kundi la wanamuziki wakajiita The Commodores' huo wimbo wakaurudia tena. Hata siku ya mazishi yake The Commodores waliupiga tena huu wimbo kwa heshima yake ktk...
  6. Mrigariga

    Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

    Rythim of the night - Debarge
  7. Mrigariga

    Wapenzi wa JUKE BOX tukutane hapa

    Ni Mac Band
  8. Mrigariga

    Mechi ya Azam FC Vs Kitayosce imemalizwa kabla ya muda baada ya Kitayosce kubakiza wachezaji pungufu uwanjani

    Hii timu ilisafiri kwa mafungu (Batches) Nini? Iweje timu inaingia uwanjani haijatimia?!!
  9. Mrigariga

    Harmonize na Kajala wazidi kurushiana maneno kwenye mitandao ya kijamii

    Wote wamepingukiwa Hilo ni tatizo la kitaifa. Hali ni mbaya sana na watu wanaona ni poa tu. Siyo hao tu...
  10. Mrigariga

    Tushaachana na kaniblock sahivi kapoteza funguo anaomba nimsaidie

    Duuh pole sana. Hii game bado mbichi kabisa. Huenda kagundua alichemka kufikia maamuzi yake ya kuachana nawe. Ama huko aliko kutegemea jamaa kamtolea nje.
  11. Mrigariga

    Huyu dada leo kanichana ukweli

    Hii kali sana ila bei kubwa pia. Siyo chini ya 150K.
  12. Mrigariga

    Lissu familia ameiacha Ulaya halafu anahamasisha maandamano ya Wanyonge?

    Acha kupotosha More Mugabe ni Mkurya na siyo Mkerewe.
  13. Mrigariga

    Wewe ni handsome au gentlemen?

    Hahahaa asante sana. You are not very far from the truth.
  14. Mrigariga

    Wewe ni handsome au gentlemen?

    Ameeleza sawa sawa ingawa very short.
  15. Mrigariga

    Wewe ni handsome au gentlemen?

    Handsome ni mwanaume/ mvulana mwenye haiba nzuri inaweza kuwa sura yenye mvuto au hata mwili wa mazoezi au vyote viwili yaani sura yenye mvuto na mwili pia. Gentle man ni mwanaume/mvulana mwenye tabia ya kistaarabu au mwenye huruma kwa watu wanao mzunguka. Mfano anaweza kutana na watoto wadogo...
  16. Mrigariga

    Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

    Happy New Year to you too. Hivi ni kweli mwaka huu hatujaonana humu kweli?!! Are you in Dar or ....?
  17. Mrigariga

    Kisa nilicho kutana nacho huu mwaka katika kutafuta ajira

    Hata sikumbuki ni lini nimemsaidia demu in anticipation or in exchange of sexual pleasure. Kwangu huu nao ni ukatili wa kimtindo. Kwanza ukimsaidia vizuri yeye mwenyewe anaweza aka appreciate and that's enough.
  18. Mrigariga

    Umewahi kutana na Mpenzi kichefuchefu wa namna hii?

    Hao wapo wengi sana yaani hiki kizazi tumefeli sana unasubiri pesa ya kupewa wakati mtu una uwezo wa kufanya KAZI na ukapata pesa yako menyewe!!
  19. Mrigariga

    Mke wangu mtarajiwa hataki mtoto wake aliyempata kabla hatujakutana atumie ubini wangu

    Ingawa kwas kiasi kikubwa kuna ukweli katika hoja yako ila single Mother ameshindwa kuiwasilisha hoja yake kwa staha Kwa mwenza wake. Kitendo cha mpaka kuchana madaftari hakikubaliki kabisa. Yaani amemjengea picha mbaya kwa mtoto kama Baba huyu si mwema mpaka hakustahili kupokea zawadi yake...
Back
Top Bottom