Search results

  1. flovans

    Dada zangu hebu wekeni magari yenu katika unadhifu....!

    Jamini si lakini nilikubakishia mafuta nearly half tank lol :smile-big:
  2. flovans

    Dada zangu hebu wekeni magari yenu katika unadhifu....!

    heheheh, kuna mtu aliniazima gari yake niende nayo misele siku anaifuata ilibidi angoje kama robosaa niondoe item zangu alibaki anatingisha kichwa kwa mshangao cause hiyo ni siku moja cjui angeniachia kwa wiki moja ingekuwaje :A S 39:
  3. flovans

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    sasa ukiwa na relationship au mme kama huyu anayepapatikiwa na kila mtu utaacha kuwa na gubu punde ageukapo!!! :A S-fire1:
  4. flovans

    Mwanamke: Vitu ambavyo vinaweza kumfanya mwanaume asikuone una mvuto pamoja na uzuri wako...

    Uuuuuwi hapo kwenye kucha sasa :disapointed: mimi hupenda kula kucha zangu so zinakuwa fupi and I cant paint them cause they look funny :disapointed:
  5. flovans

    Najihisi kuchanganyikiwa....

    Damn that heartless man :disapointed: If I were a boy ........Beyonce Beyonce - If I Were A Boy (Lyrics) - YouTube
  6. flovans

    Special kwa wadada wa mmu wenye mambo haya

    uuuuuuwiii umeniumiza weye na maneno yako, jamani nilipumzika mwezi sasa. I think I have to go back :disapointed:
  7. flovans

    faida na hasara za kuolewa na mzungu kwa binti wa kiafrica

    Unaona Mlivyo na fikra potofu, na mtazidi kuacha hapa na dadazenu wakachukuliwa na hao wanzungu:- -Nani alikwambia Mtoto wa kike ana kwao? -Nani alikwambia maendele ya nyumbani kwao na mtu yanategemea yeye kuolewa? -Nani alikwambia mdada kuolewa nilazima atembelee kwao mara kwa mara hata kama...
  8. flovans

    faida na hasara za kuolewa na mzungu kwa binti wa kiafrica

    Una Experience au unatoa ushahidi kutocana na movie ? Tukijumuisha kuwa wanaume wote wa kibongo ni wabakaji wa watoto wao itasaundi vizuri? usijumuishe wazungu wotwe kwa maneno ya kusikia, Ninachojua Wazungu wengi wa wingereza sikuhizi wanatafuta Waafrica au Russian women kwasabu Atleast we...
  9. flovans

    faida na hasara za kuolewa na mzungu kwa binti wa kiafrica

    Kaka zetu wa kibongo acheni kuwakatisha tamaa wenzenu kwavile mnanyang'anywa matonge yenu, mkiongelea ubaguzi mbona hata hapa upo, marafiki zangu kibao wanalalamika wanavyonyanyapaliwa na wakwe zao eti kisa mke ni msukuma na mme ni mchaga, au Mke ni mhaya na mme ni mmasai. Love doesnt judge...
  10. flovans

    kublock no ya simu

    yangu haina ni Samsung GT-S5300 hat muuzaji alishindwa jinsi ya kublock, kunalimtu linabip hadi usi wa manane,sijui halilali !
  11. flovans

    Kidume nimetokwa na machozi mbele ya wife

    hihihihi kama ndoa ndo hivi natamani sasa kuingi
  12. flovans

    Morning SEX !!

    Kuprivent mimba zisizotarajiwa ofcoz
  13. flovans

    Morning SEX !!

    Me love it too bad I....God help me get a husband who love it too amen
  14. flovans

    Ulishawahi kumpenda mtu kwa kuvutiwa na jina lake?

    Bora umetoka ndukiiii ungekiona cha moto hihihihihi
  15. flovans

    Niblock vipi namber inayonisumbua kwa kutumia Samsung S5300?

    NasDaz hii Samsung S5300 haina hiyo option mwenye aliniuzia nimpelekea pia anashangaa kwanini haina.
Back
Top Bottom