Search results

  1. Tumsifu Samwel

    Machi 2023 mwisho wa kutumia akaunti ya mtu mwingine Netflix

    asante kwa kushare hii kitu... iko vyema sana
  2. Tumsifu Samwel

    Supakasi ni internet isiyo na kikomo na iliyosambaa zaidi, Vifurushi 115K wengi hatuviwezi. Nashauri kuwe na vifurushi vya elfu 60 ikipendeza elfu 50

    Nimetoka Ofisi za voda nimeiona hii... wanaita Vodacom Supakasi Unlimited ambayo inaanzia 50k kwa gb24.6 na 85k nimesahau gb ngapi wanatoa... Hii wameweka bonus na ili upate huduma hii ni hadi line yako iombewe uwezo wa kujiunga na vifurushi hivi ... ukimaliza hizo gb speed inashuka unaendelea...
  3. Tumsifu Samwel

    1001 Movies You Must See Before You Die

    Shughuli zangu zinahusiana vipi na uzi huu mkuu.... Sent from my SM-J701F using JamiiForums mobile app
  4. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu umekuwa ukinitenga sana.. Nimekuomba link ya gcam y samsung j7 neo android 9
  5. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Mkuu nilikuomba port ya Samsung J7
  6. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Naweza kupata hiyo link ulipo download mkuu
  7. Tumsifu Samwel

    Google Camera: Camera bora zaidi kwenye simu yako

    Nimejaribu kudowload kwenye Samsung J7 Neo inagoma kuinstall, naweza kupata link ya itakayonifaa tafadhali
  8. Tumsifu Samwel

    Vodacom Hawajitambui.

    Hicho cha tigo unakipata kwa menu ipi ndugu
  9. Tumsifu Samwel

    Wale wenzangu wapenzi wa Gb WhatsApp, Yo WhatApp, WhatsApp Plus hali ni tete!!!

    Usiseme hivyo mkuu, jana tu nimetoka kuchezea Ban ya masaa 20 hadi nimerudi Gbwhatsapp baada ya update yao mpya ya jana
  10. Tumsifu Samwel

    Mkutano wa Baraza Kuu CHADEMA - Agosti 03, 2015

    Kauli ya Mbowe kwa tafsiri nyingine ni Kwamba Dr.W.Slaa amesusa, labda uko mbeleni akijisikia kuungana nao atafanya hivyo.... Kwa mtizamo wangu ni kwamba Dk.slaa ameweka slaa chini kwenye uwanja wavita na vita yenyewe ikiwa ukingoni kabisa.. Ni watakie kila la kheri CHADEMA tuko nyuma yenu.
  11. Tumsifu Samwel

    Kulingana na meta info. Picha ya myika kuwepo kwenye mkutano ni uongo.

    kwa nyie wageni wa technolojia ni shida sana, inawezekana camera haijasetiwa time n date so inasave kwa mwaka wakutengenezwa hiyo camera mkuu. Na wabongo wengi kuset mda na tarehe kwenye camera hawana huo mda
  12. Tumsifu Samwel

    Dr. Slaa: Uongo ni dhambi na siko tayari kuishiriki!

    Niliposikia tetesi za Dr.W.Slaa kususa nilidhani niuzushi tu, la kwa uzi huu nashawishika kuamini Dk.Slaa ameamua kujitenda na chama rasmi.. Ni jambo gumu na la kuumiza sana kuona haya yanatokea wakati huu, hama kweli siasa ni zaidi ya tunavyoielewa wengi wetu.
  13. Tumsifu Samwel

    Msaada, blackberry yangu inanisumbua

    Pole ndugu, BlackBerry tour ni kwamba inatumika kwa teknolojia mbili , cdma na gsm , huko ilikotoka ilikuwa inatumika kwenye CDMA kama Verizon wireless n'k so ina configuration za cdma , kuziona piga ##000000 utaona pop-up window . Sahau kuhusu mpesa menu ,salio au kuweka salio kwa ussd kama...
  14. Tumsifu Samwel

    Ujio wa 4g tigo

    Ndio mkuu ni majirani haswaa ,bila shaka ukiwa pande hizo una enjoy 3G ya tigo.. shifonisha dede mbee/kyaa
  15. Tumsifu Samwel

    Ujio wa 4g tigo

    Mkuu tigo pekee kijijini kwetu Machame Nkuu Sinde ndio wana 3G na speed ya ukweli. Kwa upande wa kaskazini tigo wamewekeza sana, isitoshe waangalia wepesi wakurudisha gharama zao za uwekezaji wa hiyo mitambo ya 3G kumbuka siyo vijiji vyote vinaweza kupata hiyo huduma kwani baadhi ya vijiji...
  16. Tumsifu Samwel

    OGwhatsapp ndio basi tena?

    Still inapiga kazi kama kawaida but kama unayo mda mrefu kwa simu... maana yake niki uninstall na kurudisha tena itagoma kuwa activated, hivyo kwa wale wapya ni vigumu sana kuweza kutumia OG kwa sasa.
  17. Tumsifu Samwel

    Channel ten na TBC live katika simu.Kwa nini ITV mnasuasua?

    Na huo ndio ukweli wenyewe. Sasa changamoto ni kuwa wao wanaingiza kipato kipi kupitia hii app hadi waweze ku-upgrade server zao maana inahitaji pesa mkuu
  18. Tumsifu Samwel

    MSAADA: Blackberry Torch 9810

    Mkuu simu yako inahitaji kureload OS upya , fanya hivi connect simu yako kwenye pc ukiwa umeconnet internet, na uwe na bundle lisilopungua 300Mb hivi . Fungua blackberry desktop manager, kama hauna google na udownload. Baada ya BDM kufungua itakuja msg ya kukuambia simu yako haitambuliki...
Back
Top Bottom