Search results

  1. comfort

    Mafuriko mwezi ujao (September 2012)

    Kama wajumbe wa Mungu muumba wa mbingu na nchi wapo basi na wajumbe wa ibilisi wapo. Hakika upo kazini!
  2. comfort

    Haya maandishi ya kwenye nguo sasa yamepitiliza.

    Jamani ni kweli maandishi mengine yanakera, niliwahi kuona kijana mmoja kavaa T-shirt imeandikwa IM PREGNANT IM NOT STUPID
  3. comfort

    Mdahalo Star Tv: Nape, Jussa na Marando

    Jamani mbavu zanguuuu!
  4. comfort

    Ngasongwa, Sumaye, Mkapa na Angel Hurst Industiries

    Jamani sasa hawa watu nadhani wanahitajika kuchwapa bakora za chuma, inaniuma sana mimi hv watz tunadanganywa kiasi hiki! Kumbe ndio maana mr. prezidenti ameogopa kukanyaga huko wakati akiwa ziarani iringa. Sasa tunaelekea kubaya jamani. Mungu atuokoe na huu ufisadi mwe!!!
  5. comfort

    **Mwanza City Gallery**

    Kha umenikumbusha home sana, hasa mitaa ya nyakato sokoni, national. gedeli primary school mpaka Buswelu secondary nilikopandishia vidato vyangu vinne. Nasikia siku hizi imekuwa shule ya serikali. Nitafurahi kama nitapata picha hizo. Jiji limekuwa kweli na linapendeza. Aaahh mwanza inogile...
  6. comfort

    Kitandani kwetu...

    Eeeh anakuja kufanya nae matusi kwenye kitanda chenu ili awe anavuta hisia za mapenzi ambayo hupewa na mkewe then ana compare. Heeeeeeeey wanaume hatari!!!!!
  7. comfort

    Kitandani kwetu...

    heee ningekuwa mie hata sirudi hata aje anatembelea mikono!!
  8. comfort

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Ya kale hayo si kitu, kinachozungumziwa hapa nilichokielewa mimi ni kuwa na uhusiano tena uchumba halafu mmoja anakuwa cheater na si mambo ya zamani sbb hayo yalishapita. Na kama ni suala la kuangalia bikira basi tungeziuliza na zenu wanaume tuwatambueje kuwa nyie hmjawahi fanya hayo mambo...
  9. comfort

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Njowepo, Umemshauri ampe probation ya mwaka mzima akimtazama mwenendo wake, hivi unadhani atakuwa na kazi hiyo tu ya kumfuatilia mtu mzima na akili zake? Pia kumbuka sisi wanawake ni wajanja sana, anaweza akamfuatilia nyendo zake na huyo bibie akaendelea na watu wake na huyo bwana asigundue...
  10. comfort

    Mchumba 'angu amemegwa halafu ka confess

    Ndugu yangu, kwanza kabisa mshukuru Mungu kwa kukufunulia hayo. Kwa uamuzi wa kumsamehe umefanya vyema sbb Mungu ametufundisha kusamehe 7x70 hapo sawa lakini si kuwa uendelee nae mimi binafsi sikushauri hivyo hata kama unampenda kiasi gani. Binafsi yaliwahi kunitokea na muhusika akaomba...
Back
Top Bottom