Search results

  1. Avater1971

    Addicted to "Bar Maids"

    mmh hizo addiction zitakufanya nawe uwe bar maid maana ukitaka kuondoka nae mpaka usaidie kukusanya viti vya baa kama wahudumu
  2. Avater1971

    Rafiki wa mume wangu ananitaka

    hii nayo ni kali ebu angalia uhusiano wake na huyo mumeo yawezekana na mumeo ametafuna wa kwake sasa anataka lipiza kisasi kazi kwako mtunzie heshima mumeo na uache kabisa mialiko sehemu hatarishi maana hapo ulipopewa miadi unapajua na wajua kuna nyumba ya kulala wenyeji na wageni sasa mke wamtu...
  3. Avater1971

    Huyu jogoo ananitia aibu!!!!

    Umemwogopa sana huyo Demu na umempa thamani ya juu sana na hivyo huamini kama amekupa. Tulia amini ni mwanamke kama wale uliokutana nao then kamata kitu. pata valuu au viceroy kidogo utashangaa matokeo yake
  4. Avater1971

    When You Kiss Me

    gaga kweli maana ya kiss kiasilia ni kuonyesha mapenzi ya kweli kwa umpendae lakini SASA kuna Kiss nyingine za kuingiliwa mifukonia au kutaka kitu kikishapatikana umeliwa busu huhama sasa kazi ni kutambua aina ya Kiss upewalo
  5. Avater1971

    Nimefunguliwa kwenye kifungo cha hofu na mashaka

    Hongera sana Gazeti sasa ubadili Tabia. Lakini hujatuambia kama hukukwenda Samunge kupata kikombe kikakupa ujasiri.
  6. Avater1971

    Mtoto wa nje ya ndoa

    Yaani ni wazi kwa Tabia ya wanaume wengi habari hiyo ikimfikia ndoa hakuna. Bora kukaa kimya kama waitaka ndoa yako otherwise kupanga ni kuchagua kupoteza mume.
  7. Avater1971

    Nasikia Malalamiko Kanda ya ziwa

    Usinichekeshe maana nakumbuka siku jengo la NSSF Bukoba (Jengo pekee lenye lift mkoa wa Kagera ambako asilimia 70 ya maprof wametokea) wali walivyoshinda kwenye lift kwenda juu na kutelemka bila kutoka mchana kutwa. Kweli kanda ya Ziwa yahitaji Mabadiliko. Ni kanda ambayo madukani huwezi kuta...
  8. Avater1971

    Kabila gani, watu wake wanaongoza kuwa Facebook!?

    bado kidogo mtaanza na Dini gani. hiyo research ya PHD gani?
  9. Avater1971

    Mtoto wa nje ya ndoa

    mama unachotakiwa ni kukaa kimya na kwa hali yoyote huyo mzinzi mwenzio hata kuja kumfuata mtoto kwani kwa kufanya hivyo hilo ni fumanizi na kama ni mtu anayejiheshimu hawezi ingia kwenye kesi ya Fumanizi. Siwezi kukulaumu kwani yawezekana ulikuwa na sababu ya kumweleza huyo mwizi kuwa...
  10. Avater1971

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Ndugu ushauri kula vizuri mboga mboga, matunda ukiweza tumia matoke zaidi kama mlo, mazoezi ya kutosha punguza au ondoa mawazo epuka kuoga maji ya motoa usivae chupi za kubana acha kuendesha baiskeli kama unafanya hivyo. ukshindwa kabisa pata dawa waweza cheki dawa moja ya kihindi inaitwa...
  11. Avater1971

    Kamanda Nzowa ajitokeza, ataja mchungaji anayejihususha na dawa za kulevya

    Mi napata shida sana kuamini maneno ya polisi kwa sababu ni wabambikizaji wazuri. Angalia sakaka la Mwanza askari kurushiana makonde wakigombea Madawa ya Kulevya (Mirungi) ilivyopotezewa.
  12. Avater1971

    Kikwete 'awapakazia' viongozi wa dini biashara ya madawa ya kulevya

    aah huyu ****** katuchosha na majungu yake anatengengeneza Bomu ajibiwe then aanze fitina zake za udini
Back
Top Bottom