Wahalifu wanaishi katika jamii, ni uwazi kabisa kwamba yeyeto anayechukia uharifu anawajibu na haki ya kuuzuia uharifu kwa kushirikiana na polisi.hivyo ni sahihi kabisa kwamba kama Pengo au mzalendo mwingine yeyote anajua wauaji/ muuajia aliko awajulishe Polisi.Kwa kweli huo ndiyo uzalendo na...
Kwanza ni heshima kwetu kutembelewa na kiongozi wa Taifa kubwa kama china, lakini pia ni fursa ya kujitangaza kama taifa na kutangaza rasilimali zetu na hivyo kupata nafasi ya kutafuta namana ya kuvuna na kusindika rasilimali ili ziyo uongeza kipata cha ingie katika masoko ya walaji na...
Jamani kama mnavyojua matokeo ya kidato cha nne hayakuwa mazuri kwa wadogo zetu.Nimeamua mdogo wangu asome certificate na baadaye tafanya dip na kuendelea badala ya kulist.Sasa naomba ushauri kozi gani inaweza ikampa unafuu katika ushindani wa soko la ajira au kumfanya ajiajiri mwenyewe kati ya...
You must have something wrong.It is better you Evaluate yourselves.However if it is possible ,you could give me your email or phone no for detailed information
Mimi sitetei wala si shutumu mtu yeyote kwa vile sina vielelezo.Il ninachosema vitendo viovu vya aina hiyo havifanywi na viongozi wa dini tu, bali watu mbalimbali ndani ya jamii bila kujali nyazifa zao.Na hivyo niwajibu wa jamii kuwaadhibu na kukomesha maovu yote kwa njia za kisheria bila...
Nashukuru kwa kutukumbusha kukagua daftari za watoto.Aidha napenda nitoe ushuuda kuwa vyema na very Good pamoja na Excellent nyingi kwenye daftari za watoto si mara zote zinaashiria maendeleo mazuri kwa watoto, kwani mara nyingine ni vichocheo kwa wazazi wazidi kutoa Ada kubwa hasa katika baadhi...
Nani yuko juu ya sheria na hata asihojiwa kwa jambo linalotiliwa mashaka?Je, kuhojiwa na vyombo vya dola ni hukumu?Yeyote atendaye au anayeashiria kutenda jinai ni bora kuhojiwa kwa maslahi ya Taifa na watu wake, yaani mimi na nyinyi nyote na wao pia.
Sheria haina dini.Mimi nadhani siyo sahihi kuhusisha makosa na dini, wala kauli kuwa sheria inapindishwa kwa dini fulani pia siyo sahihi hususani kwa Great Thinkers.Uharifu ni tabia ya mtu bila kujali ni wa dini au dhehebu gani.Bila shaka yeyote atakayebainika na ushaidi ukapatikana dhahiri...
Binafsi nawapa pongezi vijana wenzangu kwa vipaji vyao na umahiri wa kutumia vipaji vyao kwa faida ya watanzania.Mhe.Jk ni muwakilishi wa Watanzania, anabeba dhamana kubwa kwa ajili ya watanzania wote, bila shaka vijana hawa wanaujumbe kwa watanzania wanapenda kuutoa kupitia kwa Rais wetu.Aidha...
Hakika Mungu ndiyo mwenye mamlaka ya na nguvu za kufanyika lolote apendalo liwe.Hapa naona alipenda akuumbue ili ujifunze kutokana na vijimambo vyake.Hata hivyo inakupasa uendelee kumtumikia yeyey BWANA muweza wa yote maana amekuokoa kutoka kwenye kiaama.
Aidha nakupongeza kwa kusema ukweli...
Napenda kuwapongeza Airtel kwa jitihada zenu za kueneza mawasiliano kwa wananchi wa mijini na vijini.Jana nilibahatika kupewa kadi za bure kabisa na kijana mfanyakzi wenu hapa Dodoma, akieleza wazi kuwa kampuni imeamua kugawa kadi za simu bure.
Lakini nashangaa leo tena kuna kija amefika...
Ni vyema uchunguzi ufanyike kwa makini, na ikibainika hatua sahihi zichukuliwe kwa husika.Aidha ikumbukwe kuvaa sare za jeshi kwa mtu ambaye siyo askari ni kosa la jinai,pia photo faking ni kosa.
Nimekuwa nikisikia malalamiko ya watu wengi juu ya kushindwa kuelewa namna pesa zao zinavyo isha bila kuleta manufaa ya msingi wakati wakiwa makini katika matumizi ya kawaida.
Aidha nimesoma post ya mwanaJF mmoja analalamikiwa kuwa watu wengi humkopa kila mara.
Sasa naomba kujua kutoka kwenu...
Great Thinkers habari.
Jamani naomba maujuzi namna ya kuziokoa kisha kuzitumia picha hizi ambazo zipo kwenye digital camera.Tatizo nikuwa picha hizi zinaonekana ukiziview kwenye kamera lakini nikitoa memory kadi na kuweka kwenye PC yangu picha hazifunguki badala yake yanakuja mafaili short...
wengi wao wanajikweza sana, wanajiona miungu watu, hawapendi kukosolewa hata wanapombolonga, mm wananikera sana sitaki hata kuwaita jina hilo tukufu la mama( Mzazi pekee mwenye uhakika wa kutuzaa).Naomba nieleweke siyo wote.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.