Search results

  1. K

    TAHADHARI ya Mvua Kubwa Tanzania

    Nasindwa kuelewa mamlaka hii! siku mvua ikinyesha tu DAR ndo mkurugenzi wao anatoka kwenye TV, redio n.k kutabiri hali ya mvua hapa nchini! kwa nini asitabiri kabla mvua haijanyesha!!!!!!!!! utabiri wenyewe huwa ni uongo mtupu!, mara sunami hiyo inakuja mara mvua kubwa siku kadhaa n.k! Hivi...
  2. K

    Uozo stendi ya Ubungo

    Hiyo ndiyo Tanganyika, hakuna anayewajibika, kila mtu na kiwazo chake tu cha kupata ugali wa leo! maendeleo tutayasikia tu labda mtume arudi kutuokoa...
Back
Top Bottom