Search results

  1. sifongo

    Akaunti za Benki za Mtandao wa Watetezi wa Haki Binadamu Tanzania (THRDC) zimefunguliwa baada ya kufungwa kwa takribani miezi 8

    Hili ndio swali la msingi, sio account zinafunguliwa halafu hazina coin.
  2. sifongo

    Anayejua Rais Samia Suluhu anatupeleka wapi atuambie, naona kama tunapotea

    Ukiambiwa Walimshauri akakataa ushauri wao utasemaje?
  3. sifongo

    Zitto na Nondo wanaenda speed sana kupush agenda za Kigoma

    Wanaaamini ni wakati wao wa kuongea, wanaamini ni wakati wao wa kusikilizwa, sioni ubaya wa kutetea ndugu zao ikiwa wao angalau wana nafasi ya kusikilizwa zaidi.
  4. sifongo

    Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

    Jiaminishe hivyo wewe ambae sio bure, unaweza kuelekezwa vigezo ni vipi lakini usiwe navyo hivyo vigezo......mara ngapi unasikia kuna nafasi ya kazi lakini kigezo uwe na uzoefu wa miaka kadhaa, lakini kwa vile huna hivyo vigezo kazi unawaachie wengine.
  5. sifongo

    Kumuenzi Hayati Magufuli, mkoa wa Chato uitwe Magufuli

    Madam President kwa speech ya leo ni wazi atapiga chini hilo wazo la kuifanya Chato Mkoa, ile kauli leteni mapendelezo tuyapitie, imetosha kabisa kwamba hakuna tena cha Mkoa wa Chato.
  6. sifongo

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Watu wa CCM kuasi ni jambo la kawaida baada ya makundi yao kushindwa, ninachofahamu for sure pamoja huo uasi unaosema lakini busara ilitumika kumpa ubalozi badala ya kumfukuza kutokana na umuhimu wake ndani ya Chama.
  7. sifongo

    Aliyekuwa Rais wa Tanzania, Hayati Dkt. John Magufuli azikwa Chato mkoani Geita

    Mimi nilidhani ule ulikuwa mfuniko baada ya kumaliza kuweka mwili mfuniko ukasogezwa kuziba shimo, sikuwa na namna ikabidi kujiaminisha hivyo.
  8. sifongo

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Nikweli Chief, surprise kwa CCM ni mambo ya kawaida kabisa, unaweza kushangaa Mwigulu anapewa shavu wote tukabaki mdomo wazi.
  9. sifongo

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Kama mzee Mangula ni lazima apige vema basi sioni kikwazo kwa Nchimbi maana hao ndio walikuwa CCM kindakindaki, wanakijua chama na wakati wa uongozi wao hapakuwa na hizi habari za ukanda na MATAGA PRAISE TEAM.
  10. sifongo

    Zimebaki siku nne tu kwa mujibu wa katiba kumtangaza, kuthibitishwa na bunge na kuapishwa kwa Makamu wa Rais

    Binafsi nilikuwa namuona January kwenye hiyo nafasi ila tangu wadau wanitolee macho kuwa jamaa haitawezekana kutokana na dini, basi karata yangu nairusha kwa Nchimbi, hata nikititazama utendaji wake alipokuwa kiongozi wa UVCCM na jinsi anavyokijua chama, hapo naona kabisa anaweza kupata nafasi.
  11. sifongo

    Rais Mwinyi aka wa Mzee Ruksa ni muungwana sana. Kumbukumbu zaanza kumuacha

    Kabisa Chief, kila mtu akasahau machungu kwa muda.
  12. sifongo

    Rais Mwinyi aka wa Mzee Ruksa ni muungwana sana. Kumbukumbu zaanza kumuacha

    Nilicheka sana hapa nikaona meza kuu wote hoi, Mungu aendelee kumtunza, raha sana kuongea na wazee kama hawa, full busara.
  13. sifongo

    Rais Mwinyi aka wa Mzee Ruksa ni muungwana sana. Kumbukumbu zaanza kumuacha

    Mzee Mwinyi amejua kunifurahisha aisee, japo hotuba yake inakwama kwama lakini kaongea kama mtu mzima, huyu ni babu wa Taifa, full utani kila mtu kicheko.
  14. sifongo

    Mbowe, mkanye Lissu

    Ajifunze kwa Mbowe huyu huyu mliyesema mlevi mpaka akavunjika mguu, leo hii mnaomba Lissu aandike mapambio baada ya kumdhihaki Nchi haiwezi ongozwa na mlemavu. Acheni hizo wakuu, tumalizeni msiba salama. JPM apumzike tumpe mama Samia nafasi ya kututoa hapa tulipokwama.
  15. sifongo

    TANZIA Rais wa Tanzania, John Pombe Magufuli afariki Dunia kwa ugonjwa wa Moyo hospitali ya Mzena jijini Dar

    Chuki za Kimaskini, wewe una utajiri gani ndugu yangu muda huu upo huku unaandika vijembe, sio kila anayekosoa kitu ana roho ya Kimaskini au ni mfuasi wa Lissu na CDM, watu wanashauri maana haileti picha nzuri, JPM alikuwa ni Rais wa TZ.
  16. sifongo

    Mbowe, mkanye Lissu

    Povu Kisado.......😂😂
  17. sifongo

    Waliozuia Biashara kariakoo ni chombo si wahuni, alichofanya RC nimaelekezo toka juu

    Dizaini kuna sintofahamu ndani ya CCM, inaonekana kuna kakikundi kanapima upepo kaone kama kataweza kufanya wanayotaka, ngoja tumalize msiba bila shaka tutasikia mengi.
  18. sifongo

    Godbless Lema ahoji alipo Waziri Simbachawene

    Hapana Mkuu, kuvaa barakoa ni kuzuia vumbi.
  19. sifongo

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama alisema pale Ikulu kwamba tufutane machozi, it means tuanze upya, yaliyopita yamepita, aliongea kama kiongozi na bila shaka watu wamejitokeza kuonyesha kwamba tumekusikia mama, tunamuaga Rais wetu tuanze upya......binafsi nashauri yale majigambo na kejeli kwa wengine viachwe, turudi kule...
Back
Top Bottom