Search results

  1. M

    Majeraha ya risasi ya Mwandishi Ufoo Hayamfanyi asiwe mshukiwa

    Kiutalamu mleta mada ana hoja na ndio tunatakiwa kufikirisha vichwa vyetu
  2. M

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    nape nakuona kama unataka kuwakomboa watanzania lakini huwezi kuwakomboa ukiwa ccm! maana ccm ndio imetufanya tulivyo kaka
  3. M

    Mzee Wassira shule yako dawa tosha!

    nape najua wewe ni mchapakazi mzuri sana lakini nashindwa kuelewa kwanini wewe sio muumini wa ukweli! nilitaka niseme njaa inakusumbua lakini najua uko vizuri. acha kuusaliti ukweli! tunaoipinga ccm hatuna maana kwamba cdm ni wazuri sana la asha! tunaipinga kwasababu imepanda mfumo mbaya kwenye...
  4. M

    naombeni msaada wa apps za samsung B7320

    wana jf naombeni munisaidie appsza samsung B7320 zinazofanana na whatsapp yaani za free na nitazipataje?
  5. M

    jinsi ya ku instal whatsapp kwenye sasung B7320

    jamani nina samsung yangu nataka kuwekawhatsapp inanizingua na windomarketplace imegoma,naomba msaada
  6. M

    Katiba mpya itamke mji mkuu wa Tanzania ni Dodoma na raisi ataish Dodoma

    wana jf,nimekaa nikawaza jinsi ya kupunguza msongamano jijini dar na jinsi ya kusambaza maendeleo nchi nzima na nimekuja na mawazo yafuatayo; 1.katiba mpya itamke bayana kua,mji mkuu wa tanzania ni dodoma na raisi wa tanzania ataishi dodoma 2.makao makuu ya wizara yatakua mikoani...
  7. M

    Urafiki wa Tanzania na Msumbiji wa kinafiki

    ninachowaomba watanzania tuwe wazalen do,kwa kukosa kwetu uzalendo ipo siku mtu ataukataa uso wake,kisa mbaya! tunacholal amika ni kupigwa,kuporwa,kuzalilishwa na vyombo vya dola vya msumbiji.suala la mtu kuhonga mwanamke dola 300 ni suala binafsi,lakini askari kuchukua paspoti na...
  8. M

    Urafiki wa Tanzania na Msumbiji wa kinafiki

    wengi mmeshauri turudi hm,sijakataa lakini ikumbuke tulitangaziwa na marais wote wawili kwamba tubadilishane uzoefu ndio tukachangamkia.bongo kweli ni fresh lakini ukiwa na capital,mikopo benk mpaka uhonge ndio maana tunatafuta,bongo yeny ewe ajira hamna mpaka uwe na ubini wa mwanasiasa...
  9. M

    Urafiki wa Tanzania na Msumbiji wa kinafiki

    jamani mimi nipo msumbiji,kinachotupata huku watanzania mungu ndio anajua.tunavuliwa nguo na poli si,tunanyang'anywa pesa na paspoti na wengine wamepigwa risasi.jambo hili haliitaji uchunguzi,wewe jifanye tu unakuja msumbiji kupitia mtambaswala au mtwara yatakayokupata utajuta
  10. M

    kitabu au mapenzi.

    imekaa vizuri!
  11. M

    Aiseh, Ni kaazi kweli kweli

    mimi nilichoona ni kwamba,dada yetu amebeba mdoli
  12. M

    hodiiii

    nimerudi jamani,nipokeeni
Back
Top Bottom