Search results

  1. Candy kisses

    Nafasi za Ajira za muda za Makarani na Wasimamizi wa Sensa ya Watu na Makazi ya mwaka 2022

    Tunasubiri malipo mpaka leo kimya Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  2. Candy kisses

    Naweza kupata control number Kwa ajili ya kulipa makadirio ya Kodi ya biashara

    Mamlaka za maji wanatuma bill na control number kwa sms nini kinashindikana kwa TRA kutuma control no. kuepusha usumbufu Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
  3. Candy kisses

    Namshauri Malinzi ajiuzulu Urais wa TFF ili amalizane na Jamhuri

    Safi sana ukiwa mtu unayependa haki hukubaliani na figusi za namna hyo hata Mimi simtaki ila tumtoe kwa njia nyingine
  4. Candy kisses

    Namshauri Malinzi ajiuzulu Urais wa TFF ili amalizane na Jamhuri

    Safi sana, Hakuna uchaguzi mpaka uamuzi wa swala lake upatikane kama ndo ilikuwa ndo mbinu zenu tafuten nyingine
  5. Candy kisses

    TANGAZO: Mkutano mkuu wa wazi wa CHADEMA hapa JamiiForums

    Mwenyekiti tuendelee na kikao muda ni Mali
  6. Candy kisses

    Hotuba za Rais Magufuli za kichwani zinakera, asome hotuba anayoandaliwa

    kingine ninachokumbuka kwenye hotuba za mkapa ni washikadau
  7. Candy kisses

    Wadada: Acheni mahusiano na waume za watu

    Siungi mkono wadada kuutoka na wanaume wa watu;ila kila tatizo lina pande mbili!Wanawake wenye ndoa zao wanatakiwa wasimame kwenye nafasi zao na kutunza waume zao wasitoke!! Unakuta mwanamke anaongea sana, wengine ni wachafu hajikeep smart kwa ajili ya mume wake .Na wengine mapenzi na attention...
  8. Candy kisses

    Tunapofurahia mazuri ya Magufuli, tufurahie na mabaya yake pia.

    hao wakina Donald T walishabomoleana nyumba zao zamani sana so sirahisi kukuta kwao mtu anajenga kwenye bonde la mto au open space madhara ya kujenga kwa open space ni kushindwa kupata njia rasmi kupita gari kwa ajili ya mgonjwa zima moto watu wa namna hii ndo wananikwaza zaidi kujibinafshia...
  9. Candy kisses

    Kuanzia Januari 2016 wasanii kulipwa na Redio na Televisheni zitakazotumia nyimbo zao

    upo sahihi mkuu labda TBC ndo watakaowalipa nyimbo za bure na zenye quality zipo ukapige wimbo wa kulipia naona underground wakienda kupotea kabisa wanahitaji kufanya tafiti za kutosha kwenye nchi ambazo wasanii wananufaika kwa kazi zao ama pengine hajajua wanataka nn
  10. Candy kisses

    TANESCO yawasimamisha kazi Maofisa 7 kutokana na makosa mbalimbali, wizi na ubadhilifu

    Hauhitaji uchunguzi wala ukaguzi kumtimua Mramba kama ana busara ni bora aresign Hata Magufuli.alipokuwa Arusha kipindi cha kampeni alisema Tanesco ina muhujumu pole kama.ni shemeji
  11. Candy kisses

    Ratiba yangu ya tarehe 25 october.

    Mkuu usinywe juice ya ukwaju itakutia hasira af utiki nje ya box kura iharibike,mi nashauri kunywa urojo au supu ya pweza unatiki kipemba bila kutumia nguvu nyingi.
  12. Candy kisses

    Natafuta Mchumba

    Maisha ya maana ni yapi? Tuanzie hapo
  13. Candy kisses

    Unakumbuka salamu ya MAMBO na majibu yake?

    Duuuh mie huyo enzi hizo niko mafundisho ya kipaimara,utantaka??? Kijana akisogea tu...mambo???? kwa yesu,fashion kuokoka,ujanja kuingia mbinguni....naongea bila breki.Chaa nimekumbuka mbali.
  14. Candy kisses

    Unakumbuka salamu ya MAMBO na majibu yake?

    Hahahahahahaha mambo??Byee
  15. Candy kisses

    Ushauri: Anafanya tendo la ndoa na mme wake kwa kutimiza wajibu tu, lakini hajisikii

    Anaishi mbugani??Maana mjini mpka uone wanyama wanapandana ni adimu mno!
  16. Candy kisses

    The 10 Smoothest Things You Can Do When Living With A Woman

    I didn't write that because of what I've been put through by "some dude".I have my ways of relieving pain and anger...and I haven't expressed that anywhere in this thread! I just wrote what I thought is true in response to the topic.
Back
Top Bottom