Search results

  1. L

    Tido Mhando awa bosi Al-Jazeera Kiswahili!

    Fundisho kwa wengine,Mungu si mwanadamu na ukifika huko sijui watakufanyaje,naamini roho iko juu watu ni bora aombe apate kazi ili akatimize ndoto
  2. L

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Tanzania kisima chenye maji huria ya kuchota,karibuni
  3. L

    Rostam Aziz aachia ngazi CCM

    Jamani c rahisi kufanya hivyo haya wenye midomo tafuteni la kusema
  4. L

    Mambo 7 ambayo CCM ikifanya yaweza kujiokoa; vinginevyo...

    Asante kwa mtazamo wako wenye mlengo mmoja umeanza vizuri ila umemaliza vibaya sana ukaonesha itikadi yako wazi,nasi hatuangalii umeanzaje bali unamalizaje
  5. L

    Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM

    <br /> <br /> Hujui hiyo ni yuniform na mabango ya matangazo wewe vipi,hizo si kama bendera ndugu yangu hata hivyo zinamvuto kuvaa unafikiri yangekuwa yale magwanda ya mgambo angevaa tuko kazini tunajua maana ya Marketing ndugu
  6. L

    Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM

    <br /> <br />wewe hao ni watu wanampongeza kwa kuona mbali.
  7. L

    Hongera Simon Tyosela Diwani wa Urugu kwa kuhamia CCM

    Kila mwenye mtazamo wa mbali atakuwa anaweka mipango yake sawasawa kurudi CCM,Murrah sasa kiwekwe nini clear na specific kama huamini si nenda Iramba ukaone.Hongera Simon mana hutajutia uamuzi wako.Ng'ara CCM ng'ara ni wakati wa kung'ara zaidi watu wanahaha mpaka wanaanza kugomea sheria...
  8. L

    Mbowe ashikiliwa Central Police

    Pasitoshe kwani yeye hakujua umuhimu wa kujitokeza,sheria na taratibu mbona ziko wazi anakuwa kama haelewi mbona mwenzak alikimbilia mahakamani?
Back
Top Bottom