Search results

  1. T

    Dk. Mwele Ntuli Malecela ametoa somo kubwa kwenye vyombo vya usalama

    Sasa uhuru wa mahakama utakuwa wapi kweli Tanzania tuna vilaza wengi
  2. T

    Mamlaka ya Mapato Tanzania(TRA) yakusanya shilingi Trilioni 1.15 Mwezi Oktoba

    Mapato yameongezeka kama ni kweli serikali iongeze idadi ya watoto watakaopata mikopo kwa ajili ya elimu ya juu
  3. T

    Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Aisee kuhusu Lugumi hajawahi tamka kitu aisee na hiy kitu wameiua kimya kimya
  4. T

    Sakata la Wabunge wa CCM kuhongwa: Mbowe aongea na wanahabari

    Haiwezi kubainika kwasababu waliogawana hizo fedha ndio wangepaswa kubaini ukweli kama upo
  5. T

    Imani ya wa Marekani kwa Wanawake ina Mipaka

    Katika hali ambayo haikutarajiwa na wengi Donald J Trump ameibuka na ushindi wa kutosha dhidi ya Hilary Clinton aliungwa mkono na Rais wa sasa na baadhi ya marais wastaafu. Kwenye uchaguzi huu kuna mengi nimejifunza hasa kuhusu wanaharakati wa haki za wanawake kwenye nchi za kiafrika. Wanawake...
  6. T

    Rais Magufuli ampongeza Mshindi wa Urais Marekani, Donald Trump

    Naona kuna grammatical Problem nadhani alisahau ku edit kabla ya kupost.
  7. T

    Je, umehawahi kupata kazi kupitia tovuti hizi, Brighter Monday na Grab your job?

    Mkuu kazi yangu ninayofanya sasa niliapply kupitia zoom taznania
  8. T

    CCM wametoa ratiba ya vikao kwa siku ya leo tarehe 10 Julai, 2015

    Tutarajia kupata mgombea kwa Vikao vya dharura.
  9. T

    Unyama na ukatili wa Waarabu wa Oman kwa wafanyakazi weusi wa ndani ya nyumba (Housemaids)

    Huu ukatili umewahathiri sana watu weusi hasa kutoka kenya sikujua kuwa hata watanzania nao pia wanafanya kazi za ndani Oman. Suala hili la huyu binti linatusikitisha wote na ni vyema wanaharakati, vyombo vya habari na dola vikafuatilia jambo hili. hata hivyo nitoe angalizo kuwa hao wanaofanya...
  10. T

    Watoto 147 wakutwa misikitini Kilimanjaro

    Hapo nao taratibu tuanaanza kuwandaa Boko haram, Seleka, alcqaida na Al shabab
  11. T

    Kwa nini Muslim University of Moro hawatumii Central Admission Syst (CAS)

    Hawa jamaa vitu vyao vyote ni 100% substandard kuanzia sekondari zao kama bondeni arusha, seminari zao hadi madrasa yao Kuu (MUM)
  12. T

    Haya ndio mafanikio ya CHADEMA toka 1992. What a shame!?

    kumbe ukiguswa unaumia?
  13. T

    Maana halisi ya Rastafari

    Umejaribu kueleza kwa kiasi ila kuna mengine unatakiwa ujifunze zaidi Tunatambua uwepo wa Kristo (Messiah) kama alivyotabiriwa katika kitabu cha Nabii Isaya na tunafuata mafundisho yake ila sisi hatumsubirii arudi mara ya pili kwa sababu Alisharudi kama Ras Taffar Mackmanon- Emperor Haile...
  14. T

    Kwanini watu wanaotokea mikoa ya Mbeya,Mara,Arusha,huwa ni watu wa misimamo na vigumu kuwapelekesha

    Azimio la Arusha lilizaliwa Arusha ila Watu wa Arusha walikuwa wapinzani wakubwa wa Ujamaa. Nyrere alimpendelea Chifu Dodo Kugombea ubunge kupitia Tanu. Wananchi wakamkataa wakasimamisha mgombea binafsi Chief Sarawat na akaibwaga TANU. ni misimamo tu
  15. T

    Ugaidi Kenya - Picha kutoka eneo la tukio WestGate

    Tunaamini Mungu Yupo atawaponya waliojeruhiwa na kuwafariji waliopoteza ndugu zao. Taarifa za hivi punde zinasema barabara karibu na Westgate zimefungwa, watu wanaoishi karibu na eneo hilo wametakiwa kuchukua hatua za tadhari huku milio ya risasi ikisikika kutoka ndani
  16. T

    CHADEMA,dhambi hii itawatafuna katika uhai wenu,mwanaisasa huyu amewakosea nini?

    Dhambi ya Usaliti kuanzia ndani ya chadema, na kwa wanambozi haitamuacha mwapamba hadi ajinyonge kama Yuda
  17. T

    Ridhiwani Kikwete, thibitisha au kanusha

    Siyo dhambi akimiliki ilimradi tu awe amemiliki kihalali
Back
Top Bottom