Search results

  1. N

    Mkurugenzi Wilaya ya Ilala akata mishahara ya Walimu mwezi November

    Kwa mm nifikiriavyo siyo kweli kuwa walimu hao wamekatwa mishahara yao kwa sababu ya kutokuwa na history sheet na/au vyeti vya kuzaliwa.Lakini huyo aliyetoa taarifa kuwa wamekatwa mishahara hiyo kwa sababu tajwa hapo juu ni nani? Hii inaonekana kulikuwa na taarifa in advance. In connection hawa...
  2. N

    Mgomo wa chakula CIVE-UDOM leo novemba 29,2015

    Hebu jaribu kutoa suluhisho la tatizo hilo maana ke viongozi wanapotuambia kutoenda kula cafteris then tunakula wapi? Mikate asbh,mchana na usiku
  3. N

    Mishahara: Halmashauri ipi tayari?

    Acha uchuro wewe usitusemee bwana km umetumwa ushindwe na ulegee
  4. N

    Tutakaposhindwa iondoa CCM mwaka huu, Watanzania tuiuwe miradi yao ya vyama

    Sina cha kuongeza hapo naona woote mnamawazo ya namna moja probability Sikh zote huwa ni moja tu ikiwa ccm itashinda basi UKAWA watakuwa wameshindwa na kinyume chake
  5. N

    Majina Ya Waliochaguliwa Vyuo Vya Ualimu

    majina ya ualimu bado hayajatoka hii ni kutokana na kuongezwa kwa muda wa kuomba na Leo tar.18.09.2015 ndo mwisho wa kutuma
  6. N

    Shilingi ya Tanzania kuporomoka kwa zaidi ya 100% endapo Magufuli/CCM watashinda?

    uchumi tengenezee mwenyewe jamaa ameeleza vzr sana hapo juu kuwa determinant wa dollar ya US dhidi ya Tsh.ni demand and supply so acha kuleta siasa hata kwenye mambo ya kitaalam
  7. N

    Hotuba ya Dr. Slaa kwa Watanzania toka Hoteli ya Serena - Tarehe 1 Septemba, 2015

    Mzee huyu amefunguka kwa evidence na kwa kujiamini sana.Dah! Kazi ipo mwaka huu cc yetu macho na masikio na offcourse yote kwa yote turudi kwenye sifa za mtu kuwa rais wa nchi hii.
  8. N

    Muongozo na ushauri kwa wanafunzi udahili vyuo vikuu 2015/16

    Mimi nimekuwa nikifanya applications za ualimu ngazi ya ordinary diploma in primary education malipo tayari nimeshalipa nikafungia email halafu nikaanza kuapply kilichonishangaza hapo ni kwamba kila Niki click continue with applications naambiwa "the email you provided already exist in our...
  9. N

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Dah! Nimekupata mkuu na maelezo yako ya kina kbs
  10. N

    Hivi mradi wa DARTS aliubuni nani? Was it the best/cheaper option

    Dah! Nimekupata mkuu na maelezo yako ya kina kbs
  11. N

    Nini hasa kinachosababisha Serikali isione hili la Waislamu kukashifu dini zingine?.

    Kwa mtazamo wangu nadhan kuna haja ya kuwapeleka watu semina.kwa nionavyo mm tujifunze dini zote mbili hlf from utachambua pumba na mchele.nasema hvyo kwa kuwa mleta uzi yawezekana akawa anauelewa wa dn yake na akawa hana kbs uelewa wowote juu ya dn ya upande mwingine ndy maana ahahc kuwa upande...
  12. N

    Lengo la waziri wa JK kubadili dini ni nini?

    Jaman jaman! Mm binafs naungana na wanaomponda mleta maada yapo mambo meng 2 yanayolisibu taifa hl ambayo yanatakiwa tujadili humu.
  13. N

    Nilichoambiwa kuhusu ajira za walimu awamu ya pili mpaka leo.

    Dah! Ama kwel hii bongo upungufu wa walimu ni 26,000
  14. N

    Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

    ni kwamba kwa kuwa kumekuwepo na malalamiko mengi khsu ca kwa pc necta pia imetoa mwongozo kuwa watahiniwa wa kujitegemea yaan pc watafanya paper mbili ile ya school cand.ambayo itatumika km ca na ile ya kwake itakayotumika km final exam(fe) REJEA RATIBA YA NECTA F.4 MWAKA 2014 GPA HIZO...
  15. N

    Mfumo wa gpa kutumika kuchakata matokeo ya kidato cha nne 2014 na kidato cha sita 2015

    Baraza la mitihani la Tanzania NECTA linatarajia kuanza kutumia mfumo mpya wa upangaji matokeo ya mitihani ya mwisho yaani FE kuanzia mitihani itakayofanyika NOVEMBER,2014 na kidato cha sita MAY,2015. Kwa mujibu wa kaimu katibu mtendaji wa BMT CA itachangia alama 30 na FE alama 70.Source barua...
  16. N

    Mitihani inayoendelea kidato cha sita

    Plant geo ilifutwa uliambiwa au hata kwenye syllabus imefutwa?
  17. N

    Wahadhiri vyuo vikuu kugoma

    mwanzisha thread sijakupa vema.ni wahadhir wa chuo gan?
  18. N

    Wanafunzi 11 wa chuo kikuu cha Mwenge-Moshi wamesimamishwa Masomo kwa sababu za kiimani!

    MM siungan na wenye mawazo ya kubeza iman za watu kila mtu amuheshimu mwingine ndiyo upendo. Mm ni wa din nyingine kbs tofaut na ya wasabato lkn madai yao yanamsing wangepewa muda mwingine wa kufanya.Ukichunguza xna utakuta huyo lecturer ameathiriwa na umagharib hvyo haon umuhimu wa dn
Back
Top Bottom