Search results

  1. K

    Amina Mollel ashinda kwa kishindo viti maalum ubunge kupitia walemavu Arusha

    yap ni mlemavu ndugu kasoma tumaini university now iringa university-jornalism
  2. K

    Huduma ya kutotoresha mayai

    Je una mayai lakini huna mashine ya kutotoresha na unaishi maeneo ya kanda ya ziwa hasa karibu na kahama. Huduma hii inapatikana njoo na mayai ili upate kutotoreshewa. Hii ni kwa ajili ya watu waishio maeneo jirani na mji wa kahama na hata kanda ya ziwa kwa maelezo zaidi piga 0755466011. Usipate...
  3. K

  4. K

    Incubator Mwanza

    Karibu kaka sisi Tupo kahama kama utakosa hapo mwanza huku tuna toa huduma ya kutotoresha mayai piga 0755466011
  5. K

    Vifaranga vya kuku

    Wanajf habari zebu nawaleteeni habari njema kwa wale wanaopatikana kanda ya ziwa kuwa tuna pokea order za vifarnga wa kuku wa kienyeji, chotara kienyeji, layers, broilers. Karibuni sana 0683111101
  6. K

    Natafuta Clearance agent Urgently

    0754270650 Mpigie huyo mzee Yukon pia sana mr Tesha
  7. K

    Nelson Mandela University wameita watu kwenye usaili?

    Yaani wa eita watu kibao kwa position moja after all sio wao wanaofanyisha interview bali ni psrs interview imefanyika tarehe 13sept written na oral leo tarehe 15 sept
  8. K

    Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

    kaka uko sawa kabisa halafu ukifuatilia watu kama hawa watakuwa ni walewale mafisadi type komaa na kazi unayoendelea nayo ya kufungua matawi sisi tupo nyuma yako.
  9. K

    Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

    i dont think kama masters yaweza kuwa kifezo cha mtu kugmbea ubunge take an example of kagame ana elimu gani watu waliotulete auhuru wana elimu gani the issue hapa ni management na siyo elimu wala nini. je huyu mtu atakeye jitokeza is it real ana faa au ni mtu anataka sifa tuuuuuuu......
  10. K

    Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

    kaka hapo juu umenena kwa ufasaha na ukweli kabisa ni kweli kwamba huyu kijana anatakiwa aje mapema lakini aangalie vizuri chama kitakachomtoa fresh, mimi mwenyewe nina uhahakika wa 100% kugombea ubunge na wa kushinda kwa asilimia 100 wasiwasi wangu ni kwamba kama watu kama mimi tupo wengi hebu...
  11. K

    Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

    aweke namba zake hapa tunze mapema kabisa kumchangia maana kamchakato huwa kagumu sana pia kama kasalio kanasumbua na watu kama hawa ndo tunawataka ila asije akawa kibwangai ni hayo tu his contacts pls but observe ....
  12. K

    Busanda baada ya kabuzi CCM imepoteza mvuto, vijana litazameni jimbo hili lipo wazi!

    mmmh bagosha au ndo nuaso anakuja maana haya mambo ya kutupa mawe gizani twaweza rushiana nani huyo kabuzi junior
  13. K

    interview ABG graduate programme

    jamaa kasoma saut-mwanza education
  14. K

    interview ABG graduate programme

    kuna jamma yangu mmoja kanipigia simu usiku yeye pia aliapply na akasema ametumiwa email sms kwa ajili ya interview ambayo itaanza tarehe 26 kama siku tatut hivi mwezi huu.
  15. K

    Natafuta kazi ya kufundisha

    kaka unapatikana wapi
  16. K

    Anayefahamu taratibu za kusajili NGO

    kusajor mkuu nenda ofisi ya makamu wa raisi kwa upande wa ngo, lakini kama ni cbo wilayani ofifi ya maendeleo ya jamii anamaliza kama unahitaji kuandikiwa katiba tupo wataalamu na inachukua si zaidi ya siku moja au mbili kupata gamba lako ila tu uwe na katiba ambayo ipo freshi.
  17. K

    Tujaribu,kujiajiri jamani, tusifikirie kuajiriwa tu

    tatizo ni culture haipo katika jamii zetu.
Back
Top Bottom