Search results

  1. MALUNGU

    Mbatia: CHADEMA wakivimba kichwa kuwa UKAWA ni CHADEMA watatandikwa vibaya na CCM

    Hongera sana Mbatia kwa kusema hayo maneno. Unajua fika kuwa bila UKAWA ushindi haupo na umepiga dongo kwa hawa mbuzi maCCM kuwa Ukawa unaenda kuchukua nchi. Kiu yako ya kuona Ukawa ukiwa umesimama ndiyo kiu ambayo amekuwa nayo kamanda mkuu wa anga kamanda Mbowe. Nafarijika sana kwa kauli hii ya...
  2. MALUNGU

    Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

    Marando hawezi kueleweka kwa washabiki, wanachama na kundi tiifu la Lumumba Book 7 FC tu kwani kauli hiyo ni kifo kwao. Wamezoea kuchakachua matokeo na lazima tuwapige mapema sana kwa kushinda zile Big zones! Nilikuwa naangalia takwimu kumbe mikoa kama singida kwetu wapiga kura ni laki saba tu...
  3. MALUNGU

    Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

    Kama kutoa matangazo ya matokeo ni siri inakuwaje mawakala wa vyama wanapewa nakala za matokeo? Mwaka huu mtazisoma namba kama katika chaguzi ndogo ambako matokeo hupatikana kabla ya hiyo inayoitwa tume kutangaza. Halafu kumbuka Wakili Marando amesema atajitoa MHANGA hivyo elewa maana ya mhanga.
  4. MALUNGU

    Marando: Nitatangaza Matokeo kabla ya Kuchakachuliwa

    Wakili Maarufu na shushu aliyebobea tangu enzi za Mwalimu JK Nyerere amesema mwaka huu atajitoa Muhanga kutangaza matokea ya Urais kabla ya matokeo hayo kuchakachuliwa. Hii ni ishara ya wazi kuwa Watanzania mwaka huu hawatakubali kuburuzwa na tume ya watawala. Chanzo: Gazeti la Tanzania Daima
  5. MALUNGU

    Jimbo moja tu salama Njombe na Iringa

    Mzee Tupatupa hali hiyo ni nchi nzima. Kumbuka kuwa Mkoa huo wakati huo ukiwa Iringa bila ya Njombe mliufanyia sherehe kwa kuwapa kura nyingi ninyi mwaka 2005? Wananchi wanabadilika ila cha ajabu ni hao viongozi wako hawaoni, hawasikii na wala hawataki kupapasa ili kujua. Andika hiyo ripoti...
  6. MALUNGU

    Nimeshuhudia mwenyekiti wa CHADEMA akitukanwa na wananchi mkoani Dodoma

    Simiyu Yetu hivi 2/3 unaizungumzia kwa kuwa imetangazwa kuwa imepatikana? Hebu jiulize dhambi ambayo Sitta anaipata kumpigisha kura bi Shida Salum ni ndogo? Hii dhambi ya kuwasingizia waislam ambao wanatoa fedha zao kwenda kuhijj Makka kuwa wamepiga kura siku hiyo itawaacha salama? Unakuja na...
  7. MALUNGU

    Nimeshuhudia mwenyekiti wa CHADEMA akitukanwa na wananchi mkoani Dodoma

    Usipende kujitoa ufahamu kijana. Habari yako naifananisha na mwanaume anayekojoa kichakani halafu akiwa anatazama nyuma. Utaachaje kupiga picha ya tukio hilo halafu wewe uanze kupiga picha gari! Vijana wakiwatolea lugha kali mnalalamika ila haya mnayataka kwa kujitoa ufikiri wetu kwa kile...
  8. MALUNGU

    Baba anatuchonganisha?

    Baba ambaye ukoo wake umeshindwa kumwelewa maana kila wakati amekuwa akiwaambia wanandugu muwe na akili za Mbayuwayu yaani za kuambiwa changanya na zako. Baba ambaye hajui kukemea watoto wake katika ukoo.
  9. MALUNGU

    Watawala Wapya UKAWA 2015 na Ndoto za Wananchi

    Spina hii combination umeitoa wapi mkuu maana vijana wa Lumumba hapa wapo chooni mchafuko wa tumbo hapo
  10. MALUNGU

    My last confession CHADEMA imekosa road map

    Unamzungumzia Zitto wa mwaka 2006 alikuwa anaendana na mtazamo wa chama. Ndiyo maana katika hizo unazojifanya kumnukuu hazungumzii mimi. Anazungumzia chama kama chama. Lakini alipopata umaarufu akavimba bichwa kwa kuvimbishwa na hao aliokuwa akiwakosoa. Wewe kwa sasa ni Mwanachama wa CCM jaribu...
  11. MALUNGU

    Ndesamburo akabidhiwa fomu ya kugombea uenyekiti wa mkoa wa Kilimanjaro

    Katika watu ambao wanawafundisha vibaya hapo ninyi Misukule ya Lumumba na ACT ni N.a.P.e n.A.u.Y.e. Mmejengwa katika kutukana na kudharau uzee! Hakika malezi ya uoande mmoja ya mzazi ni shida sana. Mwenge nao mnaushabikia wakati ndyo uliosababisha azaliwe kupitia ofisi za shule katika mikesha...
  12. MALUNGU

    Siri ya Kikao cha Diallo na Deus Mallya chavuja movie ya Kifo cha Chacha Wangwe

    Huu upuuzi wa CCM nimeuchoka sana! Hivi ile familia ya Wangwe na ndugu mnaikumbusha nini? Wakati mwingine hebu kuweni na utu jamani na heshima pia kwa ndugu zetu waliotangulia huko akhera. Utu ni zaidi ya pesa.
  13. MALUNGU

    Msigwa: Nina ndoto za urais!

    Ameweza Kikwete atashindwaje Msigwa? Msigwa amejilinganisha na Kikwete akaona anao uwezo mkubwa wa kuongoza kuliko Kikwete na ukitaka kuamini angalia uwezo wa watu jimbo la Chalinze na Iringa Mjini.
  14. MALUNGU

    CCM Sasa Ni Wakati wa Accomodations & Reconciliations!!

    Mbona watu husema mtoto wa nyoka ni nyoka? 1993 mzee wetu ambaye ni babako alisimamia show ya serikali 3 kama vijana wanavyopenda kuita alikuwa hajielewi? Au wewe sio mtoto wa nyoka? Unamdhalilisha mzee punguza perepere za mtandaoni Willy
  15. MALUNGU

    Kumekucha Dodomaaaa hatariii!

    Mbona hamjiandiki majina tuwajue ni kina nani?
  16. MALUNGU

    Kikundi cha watu kilitumiwa kupiga kura ya aina ya muundo wa muungano katika vituo mbalimbali

    Maccm bana hadi mnatia hasira! Hivi akili za kawaida mmezihamishia wapi? Kutoa maoni kwenye tume hamkwenda ili mtoe hayo maoni yenu ya serikali mbili. Wametoa maoni wa serikali tatu mapovu yanawatoka. Hata wewe hukutoa maoni kwani hats utaratibu wa kutoa maoni hukuujua. Pia wanzanzibar sio hiyo...
  17. MALUNGU

    CHADEMA ijibu haya

    Wanajukwaa wenzangu ni siku nyingine tena ya kutafakari hatima ya nchi yetu kupitia siasa zetu za kivyama. Binafsi ni mwanachama wa CHADEMA na pia ni kiongozi katika chadema CHASO. Ni muda muafaka sasa kwa chama changu kujibu mapigo kwa chama cha mapinduzi (CCM) kwa mambo ya kihuni na kipumbavu...
  18. MALUNGU

    Yaliyojiri Kalenga: Uchaguzi wa Ubunge - Machi 16, 2014

    Hili suala wananchi kusikitika baada ya MATOKEO ndugu yangu linaletwa na vitu viwili tu 1.uliwaona wakisikitika wengi wao hawana shahada ya kupigia kura hivyo daftari la wapigakura lirekebishwe 2. Mazingira ya uchaguzi hasa ubabe wa viongozi wa serikali name CCM wakati wa kampeni pamoja na...
  19. MALUNGU

    CDM kufanya Mabadiliko Makubwa kwenye safu ya Uongozi

    kamanda nayashangaa haya magamba kuwa kama waganga wa kienyeji. Someni katiba ya chama kwani uchaguzi ni lini? propaganda at work mkuu
Back
Top Bottom