Search results

  1. Wakuvanga

    Nape, Mwigulu, Juliana na Mwampamba ndio wanaokidhalilisha na kuitia aibu CCM!

    Ndo kwanza wanaendelea kujipa moyo kuwa CCM itatawala milele, hapo kwa A town mmefika na moto huo unaenda kusambaa mikoa mingine kwa kasi ya ajabu! mtakuja kustuka 2015 mpira uko golini huku Chama pinzani kikiendeleza ushindi wake wa 4-0! Tuwakumbushe CDM ni mpango wa mungu baadhi ya makada...
  2. Wakuvanga

    CCM bado tupo imara!

    Mzee Tupa tupa vp ile kata ya Sombetini Arusha ikitangazwa tena uchaguzi wake mtaenda kujaribu bahati yenu tena kama chama? Na je bado kama kawaida Mwigulu ndo atakuwa Meneja kampeni wenu akiambatana na wale vijana wake 2?! Lakini kwa suala la kujipanga kwa CCM najua unadanganya nyie ni sikio...
  3. Wakuvanga

    Godbless Lema: Mungu tunakushukuru, Arusha asanteni sana

    Kwanza kabisa Kamanda Lema nakushukuru kwa maneno mazito uliyoyaandika hapo juu, kiukweli najua unapitia wakati mgumu sana katika maisha yako ya ubunge hapo Arusha mjini lakini umeendelea kujipa moyo katika kuwapigania wanyonge lakini kubwa kabisa umekuwa ukimtanguliza na kumtumainia mungu kama...
  4. Wakuvanga

    Ushari: CDM tulipe fadhira Arusha

    Kaka paraghaph yako ya kwanza na pili imenitoa machozi!!!. Mi binafsi nashindwa kumuelezea Kamanda Lema kwa namna alivyo lakini itoshe kusema kuwa naungana na wewe katika haya uliyosema "nichukue nafasi hii ya pekee kutoa pongezi kwa kamanda LEMA kwa jitihada, mikakati,mbinu zilizofanikisha...
  5. Wakuvanga

    Matokeo Arusha sio mazuri kwa mabadiliko

    Unaweza kuwa sahihi lakini kulingana na joto la Arusha lilivyokuwa Chadema walihitaji kushinda hata kwa tofauti ya kura 1 tu kama wewe ni mgeni kwenye siasa za Arusha CDM wana next step inayotakiwa kufuatwa baada ya kushinda viti vyote 4 (i.e issue ya meya feki) Aidha ukumbuke kuwa kwa siasa...
  6. Wakuvanga

    Godbless Lema: Nimemaliza Arusha sasa nashuka Mtwara

    Ki-ufupi naweza kukubaliana kuwa mtu kama Lema ni mpango wa mungu kwa magumu yote ambayo umekuwa ukiyapitia kiukweli hadi sasa naona umepungua kamanda pole sana kwa majukumu mazito ya kuwatetea wanyonge ipo siku historia itakukumbuka na hakika ushindi wa leo unaonyesha ni kwa jinsi gani ulivyo...
  7. Wakuvanga

    Live Updates: Uchaguzi wa Kata nne Arusha tarehe 14 July 2013

    Kweli leo ndo nimekubali Lema ni kichwa kumbe chadema ilikuwa makini kumuweka kuwa mjumbe wa kamati kuu, ni kamanda pekee alieongoza mashambulizi ndani ya Jimbo lake katika kipindi chote cha kampeni leo tunaona matunda ya kichapo cha 4-0. Na hii ni heshima kwa ndugu zetu marehemu waliotangulia...
  8. Wakuvanga

    CCM na CHADEMA mnafanya siasa kweli!

    Mzee Tupa tupa Arusha utaenda wewe>>>???!! Chezea Lema wewe, kaamua kuachia posho zote bungeni halafu wanaLumumba wote wamehamia Arusha kwa mategemeo ya kupata walau kata moja. Waambie jamaa zako kuwa hata hao wananchi wanaofika kuwasikiliza kwenye mikutano yao wanawaenjoy mwisho wa siku...
  9. Wakuvanga

    Wilfred Lwakatare: Mrejesho kutoka mahabusu Segerea

    Aisee kamanda pole sana kwa yaliyokuta kweli siku 92 ulizokaa selo ni darasa tosha, lakini usichoke wala kuwatumikia watanzania ambao bado wanahitaji ukombozi wa fikra hasa huko vijijini na zaidi ya yote tunapaswa kujua kila kitu ni mpango wa mungu CCM siku zao zinahesabika baada ya watu kuanza...
  10. Wakuvanga

    Ngereja achafua hali ya hewa Sengerema

    Uwakilishi wake Sengerema unahesabika 2015 baada ya kusikia kamanda Tabasamu katangaza nia nafikri kajipanga tena kutumia mamilioni ya shilingi kuhakikisha anarudi lakini makanda walishamwambia "wakati yeye anapita Busisi Makamanda wanakatizia Kamanga". Hapo Nyampulukano labda ununue shahada za...
  11. Wakuvanga

    Ngereja achafua hali ya hewa Sengerema

    Uwakilishi wake Sengerema unahesabika 2015 baada ya kusikia kamanda Tabasamu katangaza nia nafikri kajipanga tena kutumia mamilioni ya shilingi kuhakikisha anarudi lakini makanda walishamwambia "wakati yeye anapita Busisi Makanda wanakatizia Kamanga". Hapo Nyampulukano labda ununue shahada za...
  12. Wakuvanga

    Aliyekuwa KATIBU WA BAVICHA/chadema MKOA WA MWANZA AHAMIA NCCR

    Bora hata umeondoka ameondoka kwa sababu wapiga kura wa Jimbo la Sengerema hawakuridhishwa na hatua yake ya kuhongwa na William Ngeleja pesa ya kutosha na kuamua kukosea kwa maksudi kujaza fomu ya mgombea na kuwekewa pingamizi. Pia tunajua umeamua kujitoa baada ya kusikia Mhe. Tabasamu katangaza...
  13. Wakuvanga

    Mama yake Zitto avamiwa

    Mmmh kweli nimekubali CDM ina mtandao kutokea Ikulu hadi kwa Mwenyekiti wa kitongoji! Lakini njama zote hizo hazitakaa zifanikiwe kwani mungu ni mkubwa kwa majaribu yote chama kiliyoyapitia tungekuwa tunaongea mengine. Mzee wa Vuta Nkuvute upo! Kazi ya Lumumba kwa kushirikiana na TISS na mwaka...
  14. Wakuvanga

    Bajeti ya wizara ya maji kujibu hoja binafsi ya Mh. Mnyika?

    Unapoandika uwe makini inaonekana wewe uko nje ya nchi labda, kwa faida yako kama Mhe. Mnyika aliwasilisha hoja binafsi kuhusu tatizo la maji Ubungo/dar ikatupwa afanye nini by the way si kazi ya Mbunge kuleta maji kazi yake ni kuisimamia serikali ili itatue tatizo hilo na kama hawataki awachape...
  15. Wakuvanga

    CCM: Kiti cha Spika kimeinyima nafasi CCM!

    Vuta Nkuvute:Bado unasimamia uamuzi wako wa kutoenda Arusha kwenye ule mnyukano wa kata nne za udiwani? (maana ile ya tano ya Kamanda mawazo Lumumba wamechakachua!) Unaweza kututonya nani atakuwa kiongozi wa kampeni huko? Waambie Lumumba huko watapigwa kipigo cha mbwa mwizi ni wazuri wakakubali...
  16. Wakuvanga

    CCM tupo katika mwanguko mkubwa

    Kweli inatia uchungu! Nashundwa kuelewa kwenye vikao vya Chama kama kweli huwa wanajadiliana mambo haya. Lakini wanapaswa kuelewa kuwa watanzania wa leo si wajinga na wanaona kwani unaweza kumdanganya mtu kwa miaka 100 lakini hutafanikiwa kumdanganya siku zote. Tunaamini mungu ni mwema ipo siku...
  17. Wakuvanga

    CHADEMA: Usalama wa Taifa unatengeneza Ushahidi katika kesi ya Lwakatare

    Kwa aliyoyasema Lissu nina imani CCM mnahitaji kujipanga upya. Chezea Chadema wewe kwa mambo ya Intelijensia ni zaidi ya TISS. Ukiona unapata misukosuko mingi ujue ushindi unakaribia tumeanza na mungu na tutamaliza na mungu. Wao wana dola si tuna mungu!
  18. Wakuvanga

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Ok ngoja tusubiri hayo maamuzi yao, ingekuwa Tz tayari hukumu ingekuwa imeshavuja!
  19. Wakuvanga

    Kenya Election 2013 Petition...Uhuru and Ruto's victory upheld.

    Ni kweli lakini sitegemei kama majaji watatengua hayo matokeo pamoja na kasoro zilizojitokeza. Ok ngoja tusubiri kitakachoamuliwa na majaji.
  20. Wakuvanga

    Mshahara wa Mbunge wa Tanzania ni shilingi ngapi?

    Ukijumlisha posho ya jimbo na makokoro yote kama mafuta, refreshment inafikia 7m kwa mwezi.
Back
Top Bottom