Search results

  1. Kelema

    Kinana aivua nguo Serikali ya CCM!

    Sangarara hembu tuambie maneno gani hayo aloyasema, hata kama tukibaki midomo wazi, sawa tu, maana sana sana inzi wataingia midomo ikiwa wazi, ila tutakuwa tumejifunza kitu.
  2. Kelema

    mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

    Unajua kwa nini inakuwa hivyo kaka? Wakati mko njiani kuna maongezi na mambo mengine yanapita anajisahau kidogo. Sasa akifika kwenye tukio lenyewe, akiona umati wa watu ndio kama katoneshwa kidonda vile, lazima aangue kilio cgha nguvu. Hiyo ni asili tu. Wachache sana wenye moyo mgumu wa kijasiri...
  3. Kelema

    mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

    Unajua kwa nini inakuwa hivyo kaka? Wakati mko njiani kuna maongezi na mambo mengine yanapita anajisahau kidogo. Sasa akifika kwenye tukio lenyewe, akiona umati wa watu ndio kama katoneshwa kidonda vile, lazima aangue kilio cgha nguvu. Hiyo ni asili tu. Wachache sana wenye moyo mgumu wa kijasiri...
  4. Kelema

    mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

    Hapo inategemeana na jinsi mnavyoishi. Kama unachezea pesa ovyo na malaya, unanirudia sb unasema huna pesa, unategemea nini?
  5. Kelema

    mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

    Wanakawia kufika kileleni ambapo wanaume wana uwezo wa kufika mara wanapotaka, iwe mapema au wakawie, wanaamua wenyewe. Kwa mwanamke hafiki haraka hata kama anataka afike haraka. Na ukifika wakati huo, hana uwezo wa ku hold, inabidi kitu kitoke tu wakati huo.
  6. Kelema

    mambo 10 ambayo wanawake wanawazidi wanaume

    Wana hisia za haraka kuliko wanaume. Kama ni kitu cha huzuni machozi yanawatoka haraka sana, kama ni cha kufurahisha watacheka kwanza.
  7. Kelema

    Happy mother's day!!

    I would dedicate the song: Mama wa Africa-By Hellen Gupta.
  8. Kelema

    Marekani yatufunza kupunguza gharama za kampini Uchaguzi Mkuu

    Hakika, Marekani wametuonyesha mfano BORA! Fikiria uwezo wa kifedha walionao, na misaada nayotoa duniani, lakini bado wanabana matumizi. Sisi tulio na uhaba wa pesa uliokithiri, tunataka kufanya kampeni za kifahari. Mimi nauliza, hivi sisi ni nani aliyeturoga? Na ukiangalia kwa undani utagundua...
  9. Kelema

    Mkutano wa Afya na Mali (Muhimu sana)

    Wana JF, salaam sana. Karibuni kwenye mkutano wa Afya na Mali, utakaofanyika tarehe 7/7/2012 Holiday Inn, saa 7 kamili mchana na kuendelea. Upande wa afya, magonjwa sugu kama kansa, kisukari, pressure, ukimwi, ugumba, n.k. yanapatiwa ufumbuzi wa uhakika, si wa kubahatisha. Upande wa Mali...
  10. Kelema

    Azam Orange Juice

    Kumbuka, tunaishi katika siku za mwisho mwisho wa mfumo wa maisha tulionao 2Timotheo3:1-5. Ukiweza kuzitambua nyakati hizi, utakuwa na amani. Hutajiuliza sana maswali mengi, kwa kuwa utakuwa unaelewa nini kinachoendelea. Ishara nyingi ambazo Yesu kristo alizitabiri kuwa zitatokea katika siku...
  11. Kelema

    Azam Orange Juice

    Pole sana kwa yaliyokupata. Siku hizi, kadri hali za maisha zinavyokuwa ngumu, ndivyo watu wasio waaminifu wanavyozidi kugundua mbinu za utapeli. Hata maji ya kunywa yanachakachuliwa. Inabidi kuomba Mungu sana, pia tuwe makini tunaponunua bidhaa za chakula. Halafu bora ukawapelekea watu wa...
  12. Kelema

    Soma hii kwa usalama wako

    Kwa kweli nampa hongera aliyechora katuni hii. Kwanza kasema UKWELI, pili kaonyesha uhalisi wa bei katika mahitaji muhimu kama mafuta, na vyakula kuwa bei juu wakati kipato ni kidogo. Wenye uwezo kifedha, ambao ni wachache ukilinganisha na wasio na uwezo, wao hawaoni uchungu sana kwa vile...
  13. Kelema

    Hospitali ya Muhimbili yapata Mkurugenzi Mpya...Dr. Njelekela

    Mama asivunjike moyo, sababu kuna mengi kwa mwanadamu. Wengine wataponda, wengine watasifu. Akaze boot tu!! Kwa sbb wanawake tunaweza. Pia katika utendaji, kuna wasaidizi wenye uzoefu, akimtumaini Mungu tu na kujipanga vizuri, TUTAFIKA SANA!! Ngojeni mwone makali yake. Kama ni Rizi 1 na Mama...
  14. Kelema

    Hospitali ya Muhimbili yapata Mkurugenzi Mpya...Dr. Njelekela

    Hongera sana kwa mama yetu huyo. C.V. yake inaonyesha HAKIKA anastahili. Tunamwombea Kwa Yehova Mungu, ampe Hekima, Upendo na Imani, ili aendelee kutumika ifaavyo. Amen.
  15. Kelema

    Mgongo kuuma wakati wa "HEDHI"

    Pole sana dada. Kuna sababu mbalimbali za kuumwa mgongo kabla na baadaya hedhi. Ukiongea na Daktari bingwa wa matatizo ya wanawake, anaweza kukusaidia. Ila kama unataka kujaribu msaada wa kwanza "first aid', nunua unga wa majani ya mlonge, unakunywa kijiko cha chai kutwa mara tatu. Unachemsha...
  16. Kelema

    Du hawa watoto ni wakali

    Hakika ni wakali!! Ila nahofia wasije wakadharau masomo sbb ya kubobea ktk hip hop. Inabidi kuwe na uswaziko. Mnaojua walipo, tafadhali washaurini sana. Hakika kipaji wanacho.
  17. Kelema

    Wanawake mnisaidie, elezeni kuhusu hili

    Wana Jf, nawashukuru sana kwa mawazo yenu katika kumsaida mwenzetu juu ya swali hilo. Kifupi, badala ya kuumiza sana vichwa, kwa nini tusitumie kanuni za Muumba wetu? Mke mmoja/mume mmoja tu!!! Simple. Mtamaliza butcher, nyama ni ile ile. Kwa nini dhamiri yako ibaki ikikushtaki??? Kuna faida...
  18. Kelema

    UMAFIA wa CCM Mpaka lini?

    Wewe Mbopo, unahusika??? Mbona umeumwa sana na comment ya Igunga??? Hakika, damu ya watu waliouawa isivyo HAKI, haiwezi kupotea bure. Penda usipende, za mwizi ni arobaini. Tutnamwomba mhusika azianike picha hizo. Au ikibidi awape watu wa CHADEMA ki siri siri kwa usalama wake. Nasi tunamwombea...
  19. Kelema

    Maana Ya Kuwajibika - Waziri wa Ulinzi UK Ajiuzuru - Mkulo unasubiri nini

    Hakika hii ni nzuri, japo inauma. Tatizo Rais wetu ana huruma sana!!! Huruma zake zinawafanya hata wale wanaotakiwa wawajibike kujikausha tu kama kauzu. Hembu fikiria uchungu wa vifo vilivyotokana na aksidenti ya meli "Spice Islander"!!!!! Hakika tulitegemea mtu/watu fulani kujiuzulu. Maana...
  20. Kelema

    Maana Ya Kuwajibika - Waziri wa Ulinzi UK Ajiuzuru - Mkulo unasubiri nini

    Hakika hii ni nzuri, japo inauma. Tatizo Rais wetu ana huruma sana!!! Huruma zake zinawafanya hata wale wanaotakiwa wawajibike kujikausha tu kama kauzu. Hembu fikiria uchungu wa vifo vilivyotokana na aksidenti ya meli "Spice Islander"!!!!! Hakika tulitegemea mtu/watu fulani kujiuzulu. Maana...
Back
Top Bottom