Search results

  1. A

    Huu ukimya unaashiria nini kwa Wapinzani hapa nchini?

    Naomba elimu kidogo,hivi suala la ukosoaji na upingaji wa uvunjifu wa katiba kama upo ni kazi ya wapinzani tu sisi raia wengine haituhusu?
  2. A

    Uchaguzi 2020 Shilatu: Lissu ana maswali ya kutujibu kwanza Watanzania

    Kabla hatujajibiwa na unaye mtaka atujibu,uwe wa kwanza kutujibu. *Haya unayo yataka leo Lisu ayajibu yalitendeka chini ya serikali iliyo kuwa ikiongozwa na chama gani? *Je leo serikali inayo taka tuipigie makofi licha ya kuto tupatia hata kile ilicho tuahidi wakati ikijinasibu kuyashughulikia...
  3. A

    CCM hakuna demokrasia. Kama Mwenyekiti anakuwa na maamuzi kuzidi wajumbe majimboni haina maana ya kura za maoni majimboni. Mwenyekiti ana watu wake

    Kama huoni tatizo basi hili liwe mwendelezo kwa ngazi zote na kila hatua itakayo onekana kughubikwa na udanganyifu wa aina hiyo
  4. A

    Spika Ndugai: Wabunge watoro warejeshe fedha zote walizolipwa kuanzia Mei 1-17 jumla ya Tsh. Milioni 110

    Hapa kwa kweli hata me bado sijaelewa. Au ni warejeshe hata walizo kwisha zitumikia? Sent using Jamii Forums mobile app
  5. A

    Nisawa kumuuliza mwenza wako anapenda mtu wa aina gani katika mahusiano

    Uliza swali hili na mengineyo yenye mlengo huo kama mlijikuta kwenye mahusiano kibahati mbaya tu!
  6. A

    Lavalava ni bundi aliyetua WCB.

    Ama hii yote ni kwa sababu ktk mahojiono flani aliyo wahi kufanyiwa Kiba alimkubali yeye ktk WCB nini!!? Sent using Jamii Forums mobile app
  7. A

    Ni upande upi unahusika na uandaaji mikataba kati ya serikali na mwekezaji?

    Wanajukwaa kheri? Naomba nianze moja kwa moja kwa kujikita katika suala hili la uandaaji mikataba baina ya serikali na mwekezaji. Hii inatokana na haya yanayo jili kila uchao na uchwao inapokuja issue ya upande mmoja wapo kutoafikiana na kitendekacho kuhusiana na shughuli kazi uliyo tiliwa...
  8. A

    Robert Francis Lowassa (Bob) Afikishwa Mahakamani na Wafanyakazi wa Radio 5 Arusha

    Hivi kuna walio kwisha fahamu sababu za hao wafanyakazi kufukuzwa kazi mpaka ionekane kwa mjibu wa thread hii wameonewa ilhali hata maamzi ya kisuruhishi hata hayajatolewa? Post sent using JamiiForums mobile app
  9. A

    Robert Francis Lowassa (Bob) Afikishwa Mahakamani na Wafanyakazi wa Radio 5 Arusha

    Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao? Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  10. A

    Robert Francis Lowassa (Bob) Afikishwa Mahakamani na Wafanyakazi wa Radio 5 Arusha

    Hivi wlio tuhumiwa kuwa na vyeti feki na wengine wakiwa wako ktk harakati za kustaafu utumishi wao kwa mjibu wa sheria,wao wemesha/watapewa haki zao? Sent from my TECNO-C9 using JamiiForums mobile app
  11. A

    Magufuli na Mt.Petro: "majabali" Wawili katika enzi tofaiti.

    Basi sawa. Tujivune taifa letu limebarikiwa sana mpaka tumepewa Petro wa pili hapa kwetu. Hakika tutatukuka dunia nzima nayo mataifa mengi kama si yote yatajengwa juu yetu.
  12. A

    Ili Magufuli aibadilishe Tanzania, ni lazima awe Rais kwa zaidi ya miaka kumi

    Nimebaini kuna baadhi ya member huwa wanafungiwa kimakosa. Mtu unaweza jikuta unachangia kwa lugha isoyo kuwa ya staha kutokana na mada husika kukuchefua ama kuwa ya kukinaisha kiasi kwamba badala ya kufikiria huenda uelewa tunatofautiana ama ni mtu kafanya maksudi kabisa kwa kile aonacho yeye...
  13. A

    Ujumbe kwa viongozi wa upinzani na wote wanaotaka mabadiliko

    Nakubaliana nawe kwa 100% lazima penye kushindwa patashindishwa kwa namna yoyote na kuwaacha wachache sana kwa kivuri cha uwepo wa upinzani nchini kwa mataifa ya nje hasa makubwa.
  14. A

    Kigoma: Polisi wang'oa TV iliyowekwa maeneo ya wazi na Mbunge wa CHADEMA (Maagizo toka juu)

    Aliye kusanya kodi yao kwa miaka zaidi ya 50 hadi wa leo ameshindwa nini kuwapelekea?
  15. A

    Ripoti ya pili ya mchanga itamuacha uchi Tundu Lissu

    Aliye tupoteza njia kwa maksudi ama kwa interest zake anao wajibu mkubwa wa kuturejesha kwenye njia iliyo sahihi na malipo ya ziada kwa kutupotezea mda kuliko yule aliye/anaye shauri njia ipi sahihi inastahili tuipite. Naye huyu aliye tupoteza hastahili kupewa pongezi kede kede kama inavyo...
  16. A

    Waziri Mwakyembe: Msanii anayetaka kuzungumzia siasa, akagombee ubunge au udiwani

    Msanii ni kioo cha jamii. Jamii inamambo mengi ambayo yanaizunguka ikiwemo siasa. Msanii anafurahisha na kuelimisha{kufundisha} 1}Je siasa si sehemu ya maisha ya jamii? 2} Wanasiasa ni malaika kiasi kwamba yote wayafanyayo ni sahii na wanajua kila kitu hawahitaji kukosolewa wala kufundishwa...
  17. A

    Binti hajawahi kuniona uso kwa uso ila ananiomba hela

    Huwezi jua mkuu,anaweza kuwa si kama umdhaniavyo ama udhaniavyo. Cha msingi wewe mtu mzima pima toka muanze mahusiano anamwelekeo upiI{character} ingawa si kipimo saaana. Si wote wanakuwa wapigaji kama udhaniavyo. Mimi hapa ni shahidi wa hili. Wife tulijuana kwa njia ya simu tu na tukafanya...
  18. A

    Moshi: Yaliyojiri Mei Mosi 2017, Rais Magufuli amwaga ajira Elfu 52, madaraja kupanda....

    Angesema leo kuwa kuna ongezeko la mshahala utekelezaji wake ndiyo ungekuja bajeti ijayo. Sasa kama hayajasemwa sijui yatafanyikaje. Anyway ngoja tungoje kama usemavyo huenda mtateta pembeni
  19. A

    Waziri Angela Kairuki: Uhakiki wa vyeti haujafanywa kwa Viongozi walio katika nafasi za kisiasa!

    Kuna wanasiasa ambao kabla ya nafasi zao za kisiasa waliwahi kuwa waajiliwa kabla na hasa serikalini. Walilipwa kwa pesa zetu kama mshahala na stahiki mbalimbali. Leo hii wanaepushwa na uhakiki kisa tu wako kwenye nafasi za uteuzi ilihali ikijulikana kabisa kuwa nafasi wanazo zihudumu si za...
Back
Top Bottom