Search results

  1. P

    Hivi ni kweli UCHUMI wa TZ unakua kwa 7%

    Raisi kikwete alisema watanzania wanamiliki simu mbili za kichina ujue uchumi umekua
  2. P

    Ina maana wachumi hakuna Tanzania

    Suluhisho tukaichukue inchi yetu pale magogoni inchi imeoza hakuna wachumi hapa mnashindwa na kinchi kidogo cha comoro, "pesa yake ina nguvu, faranga 50 sawa na uero 1
  3. P

    TBC Vipi?

    tido yupo kenya kachukuliwa na aljazira-swahili sisi hatujui thamani yake
  4. P

    Rais umenisononesha kwenye BBC News

    Tulianzisheni hata leo mimi nipo tayri
  5. P

    Mgogoro wa Madiwani wa CHADEMA Arusha: Lema anahusika

    Mie kwa ushauri madiwani wasiutishe uongozi fukuza wote ambao hawataki kufuata matakwa ya chama tuludi ktk uchaguzi naamini watu wa arusha wanajua kinachoendelea
  6. P

    Usalama wa taifa na uhamiaji mwajua hili??

    Tatizo usalama wa taifa wa nchi hii wako kwa ajili ya kuzibiti wapinzani hilo ndilo wanalijua, nilikwenda congo mwaka kikazi nilikaa miezi nane wako makini kuanzia unapoingia kibali cha kazi, wanafuatilia unavyoishi muda wote sio kama hapa tz
  7. P

    Rwandair kuleta ndege 2 za b737/800 aug/sept 2011

    Mnaonaje tukachukue nchi yetu kule kivukoni maana nilikuwa congo ukipandisha bei ya mkate mpaka raia watake sio sisi unaamka nauli juu, kisa mafuta soko la dunia wakati d'saalam kila kituo cha mafuta bei kipanga chenyewe, bila kukimbizana hatuheshimiani.
  8. P

    Dr Slaa atarudi Bungeni? Sasa Shibuda basi

    Nafikiri ni mapema mno kujadili suala la ubunge wa igunga kwa dk nafikiri cdm inawapiganaji wengi tu, tumwache kwa ajili 2015 agombee tena urais
  9. P

    Kuzimika Kwa Taa Neshno: Serikali Imehuzunishwa Sana

    Ipo siku watamkatia umeme ikulu harafu wataunda tume
  10. P

    Mke wa Dr Slaa avamiwa na majambazi

    Duh nashukuru kwa taarifa huku m/nyamala km hatuna umeme
  11. P

    KWAKO JK a.k.a MJOMBA! SOMA USHAIRI HUU ILI TUONE UTAAMUA NINI!!!

    Tuwasiliane mzee ww ni msanii ili utoke
  12. P

    Safari za Rais Jakaya Kikwete tangu aingie madarakani 2005

    Wenzake kenya, uganda, ethiopia wanahangaika jinsi ya kutengeneza pesa na sudan kusini sisi tunahangaika na umeme na wizi ipo siku atalipa madhira yote haya
  13. P

    Edward lowasa amebadili dini na sasa ni mlokole

    Ulokole hautoshi kumfanya awe msafi aludishe vyetu alivyoiba, najua anahangaika tu.
  14. P

    Shirika la umeme la marekani kujenga mitambo Dodoma...kuna siri gani?

    Navyoona mimi wameamua kuwekeza huo umeme dodoma mapema target uranium
  15. P

    JK anahangaika kutafuta nchi ya kuishi, akipata atajiuzulu

    Tukimkosa sasa tutalishitaki hata kaburi lake magamba wakiondoka
  16. P

    Aliyegombea ubunge na zitto atiwa mbaroni, ccm wameanza visasi

    waheed una mawazo kama yangu nchi inavyoendeshwa mambo yanavyokwenda naona giza
  17. P

    Kuanguka kwa Dr Slaa

    hivi humu tunajadiliana na kula kulala mnatuboa wengine tunahudumia familia ujadili ukiwa unajua maisha yalivyo
  18. P

    Kwanini Lowassa anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2015

    Nyie mnaomsifu lowasa mnapata posho, lowasa mrafi toka siku nyingi ila ni mwigizaji mzuri hana lolote ktk kututumikia wananchi
  19. P

    Lema avuna wanachama ndani ya sherehe ya harusi

    Tumuunge mkono popote kutangaza sera iwe sokoni, ktk daladala, bar, ktk sherehe kama mh. Lema hata vituo vya daladala saa ya ukombozi ni sasa
Back
Top Bottom