Search results

  1. R

    SOLD: Nauza Speaker ya gari, dishes, Majiko, amplifier, Feni n.k.

    Mkuu nimelipenda kochi ila punguza kidogo. Nakupigia!
  2. R

    SOLD: Kiwanja kinauzwa (Chanika) kwa malipo ya awamu nne

    Mkuu mbona umetuletea offer ya Ajabu namna hii? Hakika umeangalia mazingira halisi ya mtanzania. Nitakutumia namba ya dogo langu aje kukiona kesho na ikiwezekana mmalize biashara kama vipi...
  3. R

    Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Ndio maana nikasema inahitaji block nyingine
  4. R

    Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Ndio moshi kwa sababu ya kutanuka block
  5. R

    Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Mkuu kabla ya kununua si unajiridhisha mwenyewe... Chombo bado kipo vizuri tu.
  6. R

    Kumbe! Kujenga si kazi ngumu kama unavyohofu

    Somo zuri mkuu. Kinachorudisha nyuma wengi kwenye ujenzi ni kusubiri mpaka pale ambapo watapata pesa ya kutosha kujenga Nyumba nzima. Kumbe nyumba hujengwa pole pole tu, kwa kile kidogo kinachopatikana hata kama ni elfu 50
  7. R

    Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Mkuu sijawahi kuhangaika na matengenezo ya block. Fundi alivyosema block imekufa nikamwambia kijana aipak
  8. R

    Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Sijawahi kuuliza bei yake lakini unaweza pata majibu kwa urahisi maduka ya vifaa vya pikipiki
  9. R

    Pikipiki aina ya Boxer BM150 kwa Tsh. 500,000

    Aina: Boxer BM150 Tatizo: Block imetanuka, inahitaji block nyingine. Bei: Tsh. 500,000 Mahali ilipo: Kijichi, Dar Mmiliki: Ni Mimi mwenyewe Mawasiliano: 0712518886
  10. R

    Eneo la biashara linauzwa

    Nadhan bado anaota
  11. R

    Njoo tukuchimbie kisima kwa gharama nafuu

    Gharama nafuu ni kiasi gani? Elfu 6, laki 1 ama?
  12. R

    Njoo nikutangazie bidhaa unazouza instagram

    Page ina jina gani?
  13. R

    Bushiri is getting much

  14. R

    Bushiri is getting much

    Hii product alishaikana si yake na alitoa angalizo la matapeli wanaotumia jina lake
  15. R

    Uzi Maalum kwa wanaouza na wanaohitaji kununua Ardhi

    Mkuu upimaji wilaya ya Mkuranga mko vizuri pia?
  16. R

    Soya, mbaazi, mahindi, ni mazao yanayotupa umaskini sababu ikiwa ni serikali.

    Unaweza attach picha ya aina ya soya uliyo nayo?
  17. R

    Soya, mbaazi, mahindi, ni mazao yanayotupa umaskini sababu ikiwa ni serikali.

    Kilo moja kwa Tsh. 100 ni wapi? Mbona bei iko chini sana. Na je ni mbaazi za mavuno ya mwaka huu? Quality yake ikoje, japo kwa picha! Kama quality ni nzuri tunaweza kupata soko la nje.
Back
Top Bottom