Search results

  1. Ballerina

    Je Ingekuwaje.........What If...........??

    The Boss huishi vituko wewe.......teh teh teh ........mi nahisi wakati wakuanza mapenzi huwa kunakuwa na "kufake" kwingi. ............tunafake mpaka lugha..............(chui mvaa ngozi ya kondoo) Wakati wa kuachana tunakuwa kwenye uhalisia wetu..........na lugha tunarudi kwenye asili yetu...
  2. Ballerina

    Mradi wa Viwanja vipya - Kinyerezi

    Ndio Tanzania yetu yenye AMANI!???,tuendelee kujivunia amani na utulivu wetu!
  3. Ballerina

    Msaidieni mke wangu jamani, anateseka.

    Niliwahi kuwa peer councellor(uzazi wa mpango na STDs) siku za nyuma kidogo........japo tulipata training ya njia zote za kupanga uzazi.............sikuwahi hata siku moja kumshauri binti yeyote kutumia njia nyingine zaidi ya njia ya asili(kalenda) na condom kwani njia zilizobaki kila moja ina...
  4. Ballerina

    Namuheshimu mama yangu lakini simpendi

    Mimi ninachokiona ni kwamba enzi za uhai wa baba yake episode alikuwa ameegemea upande wa baba yake ie hakuwa akifurahishwa na aliyokuwa akitendewa baba yake...............na taratibu akajikuta akijenga chuki na mama yake na kucreate distance kati yao. Baada ya baba kufariki..........hana tena...
  5. Ballerina

    Msaidieni mke wangu jamani, anateseka.

    Ana umri gani?Mara nyingi wanawake huwa hawafiki kileleni kutokana sababu zifuatazo; 1. ......alianza sex kabla ya ndoa huku akiwa na dhana kichwani kuwa afanyacho ni dhambi........hivyo hufanya huku akiwaza kuwa anatenda dhambi na ni vigumu kufika kileleni. 2. Umri...kuna umri ambao wasichana...
  6. Ballerina

    Siri nzito;sali usiku wa leo kukemea kikao cha freemassons kesho

    Ni kweli hao frmson nimeawahi ona jumba lao la ibada lipo hapo nyuma ya kempiski......ukitokea IFM....mkono wa kulia.....lakini tulikaa hapo chuoni 3yrs hatujawahi ona anayeingia wala kutoka ndani ya jumba hilo.........tulikuwa tukisikia tu ni jumba la ibada kwa wanaomwabudu shetani.Nje...
  7. Ballerina

    Namuheshimu mama yangu lakini simpendi

    Hapa nimekukubali mkuu.......... First born....mwanaume.........unalia machozi!??.........mwanaume kamili hutafuta ufumbuzi wa matatizo na si kulia Umejiita masikini.......Umeridhika na hali uliyonayo!??.............yaani.....wewe si mlemavu......una akili timamu.....kwanini unashindwa kufight...
  8. Ballerina

    Nimedondokea kwa kaka niliekutana nae facebook

    teh teh teh ......................mtogole ya Ghana labda ni sawa na masaki ya Tz............imagination nazo bwana..........teh teh teh
  9. Ballerina

    Nipeni pole..,niko frustrated naombeni ushauri na faraja

    Hii kali.............teh teh teh ..................kweli nashida zake zisubiri pia. Mi nashangaa sana wasichana wengine..............we mwanaume humpendi na inaonekana wazi huna plan naye ya leo wala kesho..............halafu vyake unataka....................kama una hali ngumu kiuchumi si uwe...
  10. Ballerina

    Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

    Suala si kujua tu zuri na baya.............................ni kujitambua na kutambua thamani yake kama kijana,kutambua lengo la uwepo wake hapa duniani kama mwanadamu.....kuweza kizikabili changamoto zinazomzunguka kama kijana............................. Peter mi nimegundua wewe ni kijana...
  11. Ballerina

    Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

    Kupima hata mahospitali ya binafsi yanapima....................ila kwa kutoa ushauri wengine hawana hata muda......utafikiri anakuambia ukapime malaria................nimemshakumbana nao kama mara mbili...................sipendi kuzitaja hizo hospitali. Yaani unamwambia docta,mimi ningependa...
  12. Ballerina

    Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

    Halafu ikumbukwe kuwa ukimwi uligundulika nchini miaka ya 80 mwanzoni..................(uligundulika.....sio ulianza). Kuna wale waliozaliwa miaka hiyo na wazazi waathirika...............ambao walizaliwa wameathirika.................................. Wapo ambao immunity zao ziko juu na wanaishi...
  13. Ballerina

    Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

    Litakuwa jambo la busara sana..............mshauri naye aombe likizo ili peformance yake isishuke...................... Pia usimsisitize kwenda kupima kwa sasa.....................unahitaji kupata ushauri wa kumrudisha kwenye normal state kwanza.......... alafu ndio aanze kushauriwa...
  14. Ballerina

    Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

    Nashindwa kumlaumu huyu dada kwa kuwa; .........hatujajua kama walipima kabla ya mahusiano .........hatuna hakika nani kamwambukiza mwenzake Pengine..............walianza mahusiano blindly...........dada hajijui na kaka hajijui..............baadae dada kupima akajikuta...
  15. Ballerina

    Amegundua vidonge vya ARV's chumbani kwa mpenzi wake

    Dah!..................kweli inachanganya sana... 1. Wewe kama rafiki wa karibu.......zidisha ukaribu kuliko mwanzo.............rafikio yupo kwenye shida kubwa sana. 2. Sina hakika kama walipoanza mahusiano walipima vvu kabla ya kujamiiana.....kwa hiyo hakuna wakumlaumu mwenzake 3. Kama ambavyo...
  16. Ballerina

    Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

    Magulu.................leta mawazo yako bana.......................kijana Peter anasubiri............
  17. Ballerina

    Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

    Umemshauri vizuri..............ila kwa kuwa hajasema kama ameshindwa kabisa kuendelea kusubiri.................si sahihi kumsindikiza huko uzinzini kimawazo/kiushauri................kutumia kinga ni last option kwa kijana wa aina hii.Ajitahidi kuendelea kusubiri. Homonies zinapochemka si lazima...
  18. Ballerina

    Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

    Kwa kuwa wewe ulishindwa kusubiri ndio unataka kumpotosha mwenzako?Wewe uliyewahi mpaka leo umeshafikisha wangani?.....na umepata faida gani?(Kama ni ufahari......orodhesha true list yako hapa)..........ninachoona kwako ni kuwa ulikosa ushauri kwa wakati muafaka. Kama unaona ni jambo...
  19. Ballerina

    Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

    Aliyekwambia mzazi/mlezi lazima awe amezaa ni nani?..............Tunaposema watoto wa siku hizi hawana maadili tumewazaa? Am aged enough kuitwa mlezi......na nimeelimika vizuri kuhusu vijana/ujana na malezi........................so karibu kwa ushauri hata wewe ukipenda!
  20. Ballerina

    Uso kwa uso na msichana kwa mara ya kwanza ni fanye nini?

    Namshauri kama mzazi au mlezi.....................na nitasimamia hapo!
Back
Top Bottom