Search results

  1. JOMBAAA

    Kauli za viongozi wakuu wa CHADEMA kuhusu 'Waraka wa siri' uliosambazwa kumhusu Zitto Kabwe

    ni vigumu sana kuelewa ukwel uko wapi kwa swala kama hili.
  2. JOMBAAA

    Akina mama Mwanza wamekusanyika kuliombea Taifa na wamelia sana!!!

    Amani ya nchi hii kila simu inapotea kwa ajili ya CCM, chama hiki hakiko tayari kuachia madraka kwa njia ya amani ndio maana nguvu kubwa zaidi za kijeshi zinatumika kujaribu kuua upinzanini.ila CCM inabidi itambue kuwa kila kitu kina wakati wake.muda wa CCM kuwa madarakani umekwisha. :yell:
  3. JOMBAAA

    Tafsiri na uchambuzi wa matokeo ya udiwani

    ni kwel sana juu ya matokeo haya. CDM wanapaswa kuongeza nguvu kwa kasi zaidi kuelelekea 2015.kwani watanzania walio wengi wanahitaji elimu ya uraia zaidi.
  4. JOMBAAA

    MKOBA azushiwa kusaini kitabu cha mahudhurio

    aliyeandika hii post anamaanisha nini maana MKOBA hafundishi au alikuwa na agenda ya siri. watu kama hawa sio wa kuwavumilia maana ni mawakala wa watu husika.ni vema kuweka taarifa zilizo sahihi hususan katika mambo muhimu kama hili la mgomo wa walimu. MGOMO WA WALIMU ARUTA KUNTINYUWAAAA. MARA...
  5. JOMBAAA

    Mgomo wa Walimu Tanzania: Ripoti toka Maeneo mbalimbali ya nchi

    Walimu endeleeni kugoma mpaka kieleweke na napenda kusikitika juu ya wanafunzi wa ilemela juu ya kuwafungulia kesi walezi wao badala ya serikali yao dharimu.
  6. JOMBAAA

    Makala kwa wahitimu udom 2011

    MAKALA KWA WAHITIMU UDOM MWAKA Ndugu watanzania wenzangu tunayofuraha kubwa kusema kuwa leo tarehe 26/11/2011 chuo kikuu cha Dodoma(UDOM) kimesherekea mahafari ya pili tangu kuanzishwa kwake mwaka 2007 na kutimiza takribani miaka ninne (04).Mimi binafsi ninayo furaha kubwa kwa kuhitimu shahada...
  7. JOMBAAA

    Elections 2010 Uchaguzi Igunga 2011: Uchukuaji fomu na kampeni kuelekea uchaguzi mdogo

    Jamani CCM ni chama ambacho kimekuwa kikishinda si kwa ubora WA SERA zake bali ni kwa propaganda za maneno na si kwa SERA za ukweli kwa chaguzi zote za vyama vingi. Sasa wananchi wameelewa maana na tofauti kati ya SERA na PROPAGANDA ndio maana hali yao ya kisiasa imebadilika sana kipindi hiki...
  8. JOMBAAA

    Waheshimiwa Wabunge kulala Bungeni: Je ni kutafakari au kusinzia?

    Dah! Kweli huyu mzee kachoka jamani
  9. JOMBAAA

    Waheshimiwa Wabunge kulala Bungeni: Je ni kutafakari au kusinzia?

    huyu ni waziri wa nchi ofisi ya rais (mahusiano na uratibu) wa serikali ya jamhuri ya muungano ya tanzania akisikiliza bunge la bajeti ya serikali ya mwaka 2011/12.wassira ndie alieachiwa shughuri za serikali bungeni na waziri mkuu baada ya mh.waziri mkuu kupata uzuru kwa siku ya jana.
  10. JOMBAAA

    Kwa nini matatizo vyuo vikuu tanzania hayatatuliki?

    Kwa sababu viongoz wetu si wasema ukwel,hawatekelezi haadi zao kwa wanafunzi.mfano. Udom waliaidiwa watakwenda fied lakini viongozi wamewadanganya. Hatima yake ni kuwarudisha kwa wazazi wao.kwel viongoz wa namna hii wanatufaa watanzania?
  11. JOMBAAA

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Kiongozi yeyote yule mwenye akili timamu hazez kuwafukuza watu wanaodai sehemu ya majukumu yao.wanafunzi wa udom walikuwa wanadai masomo kwa njia ya vitendo. "wakuu cheo dhamana"
  12. JOMBAAA

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Tatizo si kutoiunga ccm mkono kwan mambo ya elimu ni faida kwa umma bali ni upeo mdogo wa kufikili wa waliowafukuza hao wanafunzi.
  13. JOMBAAA

    Hatimaye wanafunzi wote wa UDOM kitivo cha sayansi na jamii wamerudishwa nyumbani

    Hiyo ndo serikali ya ccm inayo wafukuza wanafunzi wanaodai sehemu yao ya masomo ili kukamilisha shahada yao. Bila field kweli utafanya nini kazini. Miaka 3 unasoma theory tu hii sio haki kitaaluma jamani.
  14. JOMBAAA

    Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

    Au ndio anajibu ultmutum ya masaa 48 kijanja?
  15. JOMBAAA

    Rais Kikwete na mipango ya uchumi kwa Tanzania miaka 5 ijayo

    Hivi anautubia kuhusu bajeti wakati muda si mrefu itasomwa bungeni! anajaribu kuwashawishi wananchi na wabunge waipitishe! kwa nini asisubiri isomwe kwanza?
  16. JOMBAAA

    Iam looking for business partners

    Am a business expert with degree holder in such field and experiences in works for 2 years. We can share much in your idea. Let me ask you one question;Is your business plan already be in written document?
  17. JOMBAAA

    Tuhuma za rushwa BAVICHA zipelekwe TAKUKURU - Zitto

    Yap. Wote waliohusika na rushwa wafikishwe ktk vyombo vya sheria na si vinginevyo.safi sana...............bro. Zitto.
  18. JOMBAAA

    CCM yafunika Mpanda

    Mkuu labda wafunika kwa kuvaa nguo za aina moja na rangi moja na si vinginevyo!
  19. JOMBAAA

    CCM yafunika Mpanda

    Hao watu hawazidi 150 pamoja na kuhamasishwa na t-shet na kofia. Maana si mbali sana naona gari nyuma yao kama mita 20 tu. Haibu hiyo. Ccm wamebaki viongozi tu! Hakuna wanachama huo ndo ukwel! Hata mkikata mara 100000.
  20. JOMBAAA

    AJABU: Chenge aitetea DOWANS ilipwe!

    watu kama yeye nchi za wenzatu hukumu yao ni............................. ....................................utamajilia from JOMBAAAAAAAAAAA
Back
Top Bottom