Sema nilichogundua humu wanaotetea hii ishu ni wajeda sema wale wajeda ambao vyeo viko kwenye mikono wale na ma private wenye vyeo kuanzia mabegani wamenyuti tu [emoji3]
Hii story ina mambo mengi sana nyuma ya pazia
Inaweza kuwa exaggerated sana
Kama ni kweli nashauri viongozi wakuu wa jeshi wakae na wananchi kawe kwa ajili ya ku solve hii ishu
Habari natumaini wakongwe mko vizuri
Nina mpango wa kuanzisha kampuni ya usafirishaji nikiwa na mpango wa kusafirisha mizigo kutoka nchini kwenda nchi jirani kwa maana DRC, Zambia, Burundi, Rwanda n.k
(Transit)
Katika kuuliza uliza nimekutana na mawazo makuu mawili ambayo yamekuwa yakinipa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.