Lis ckushauri utafute kujinenepesha! Me camin kama ni kwel haupendezi, na kama ni kwel labda tatizo linaweza kuwa ni uchaguzi wa viwalo! Me nakushauri utafute fashionist akupe guide ya kuvaa nguo zinazoendana na mwili wako!
habari zenu great thinkers!
Nataka 2jadili hili suala la kukataa posho! Me kwa upande wangu nimeona CDM wako sawa ila tatizo ni kuwa zile hela walishatengewa wao kwa ajili ya posho zao. Tatizo linakuja je wana uhakika gani hizo pesa walizokataa zinarudishwa hazina na zinapelekwa kwenye mirad...
ni kwel nampenda sana na haya yote yameanza baada ya kumuonesha waziwazi jinsi ninavompenda kwan hapo mwanzo nlikuwa nikimuuliza ki2 kama hicho anajibu fresh bt now fulu kuringa!
Habari zenu wanajamvi!
Naomba msaada wenu wa mawazo katika hili!
Nina GF wangu yuko Arusha me nko Mwanza, huyo binti 2likuwa 2naelewana sana na ofcourse alikuwa anaonyesha kunipenda na pia kunijali lakin kulikuwa na tatizo kuwa mara nyingi nikimpigia nakuta simu iko busy na nilivomuuliza...
Wanasema neva stop for less bt 4 da best! Huihitaji kuumiza akili sana au kuandika barua wala nini we kama kwel unampenda tafuta cku umwambie ukwel face 2 face!
Wat mataz ni m2 unaempenda? Je ni m2 ambaye unaweza kuishi mkaelewana na kujenga familia bora? Ngono c suala la msingi kiivo kwan ni nusu saa kati ya masaa 24 ya kuishi kwa siku! Kabla ya kufikiria kumpata anaejua kufanya mapenzi jiulize kwanza uko tayari kuish maisha yasiyo na aman kwa masaa 23...
Lowassa co fisadi ila ni tajiri! Kujiuzulu ni kwa kuwa 2 kama kiongoz mkuu alikubali kuchukukua msalaba ulosababishwa na uzembe wa waliokuwa chini yake! Hii ni sifa ya kiongoz bora japokuwa kwa Tanzania alitakiwa aendelee kwa kuwa alikuwa mchapakaz na kiukwel m2 mchapakaz ndo anayehtajika kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.