Search results

  1. b4theg

    Vifurushi vya intaneti 'visivyo rasmi' kwa kampuni za simu

    Inawezekana kutumia line iliyomo kwenye router ya Airtell kwenye smartphone? Kama inawezekana kwa settings zipi? Nimejaribu kuweka naona hailete internet, wakati ina kifurushi cha mwezi.
  2. b4theg

    Uchambuzi wangu Simba sc 1-1 Azam fc

    Ndo umechambua hapo?
  3. b4theg

    House4Rent Tunapangisha nyumba, Vyumba Mbezi Beach Dar es salaam

    Kodi haiendani kabisa na hali za hivyo vyumba
  4. b4theg

    Kipi kilisababisha uachane na mtu wako wa maisha?

    Ulikaa bila yeye kwa muda gani? Ni yeye ndo aliomba mrudiane? Na mm imenitoka hiii. Mdada kasema kachoka nikajibu sawa. Mwezi wq nne sasa kila mtu na mishe zake.
  5. b4theg

    Cheki injini hii mtanikoma

    Tuliza mzuka huo.
  6. b4theg

    Ni muhimu Sana kupata mwanamke anayekusikiliza nafikiri kusikilizwa inatakiwa ndio iwe sifa kuu

    Rebound relations huwa hazidumu. Éti ili umsahau inabidi uchukue demu mwingine? Anatakiwa afanye maamuzi kama ni ku sort matatizo yao au kumuacha. Na akimuacha akae si chini ya miezie mitatu bila kua na demu mwingine akijitafakari na kumsahau.
  7. b4theg

    Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

    Kwa sababu ni mambo yanayo mgusa kila mtu. Wachache sana walioko kwenye mapenzi yaliyo nyooooka. Wengi wetu tunapitia haya yaliyo msibu jamaa alafu kabla ya kujua tatizo na kupona tunajikuta tumesha ingia kwenye uhusiano mwingi ili kupoza machungu matokeo yake ni kuumiza wengine.
  8. b4theg

    Nimeachwa na nimekubali, ingawa naumia moyoni

    Acha kukaza fuvu pokea Upendo. Amejifunza ndio maana amerudi. Mm imenitokea hiyo. Hua inaumiza sana. Muhimu kubalianeni kupeana muda wa kujitafakari kama bado mnahitajiana au lah
  9. b4theg

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Sio kweli. Umepuyanga
  10. b4theg

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Zipo nyingi za vitengo.
  11. b4theg

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Kwa injini hiyo hiyo niliweka full tank Puma mwenge 33l nimefika nayo Arusha na kuzunguka kidogo mpaka taa imekuja kuwaka ilikua 621km. Juzi kuamkia jana nikaweka hizo hizo zimenifikisha Dar na bado ninayo. Na hapo kati nilikilmbizana mnoo na LC 300 kwanzia mwanga mpaka mombo. Ashukuriwe huyo...
  12. b4theg

    Gari kutetemeka ukikanyaga accelarator

    Hili tatizo hata mm ninalo gari ni ya manual, hutokea zaidi katika RPM kubwa. Bado natafuta ufumbuzi. Nimesha fanya mambo kadhaa yaliyo taja bila mafanikio. Na ubaya ni kwamba mafundi wengiii hawajui huo ugonjwa.
  13. b4theg

    Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Kama ni leseni ya latra 1. Nenda Polisi utapewa control number utalipia alafu utaenda kwa Veco Atakagua gari alafu ataandika report. 2. Nenda kwenye website ya latra attach hiyo report ya polisi na kadi ya gari 3. Utapewa control number utalipia 4. Nenda ofisi ya latra ukaprintiwe leseni...
  14. b4theg

    Gharama ya LATRA kupata kadi ya taksi za mtandaoni

    Una manisha kadi au leseni kutoka latra inayo hitajika bolt na uber?
  15. b4theg

    Wazee wa ‘Road Trip’ mpo?

    Wadau tutegemee mafuta kushuka au kupaaa zaidi?
  16. b4theg

    TTCL fiber na Voda Supakasi ipi yafaa kwa matumizi ya home intaneti?

    Natafuta ile huawei au tp link pocket wifi 4g ya mitandao yote. Napata wapi na bei gani hata ikiwa used
Back
Top Bottom