Search results

  1. Lago di Fimon

    Polisi yaendelea kumsaka Nanyaro Mwenyekiti Bavicha mkoa wa Arusha

    Kweli nimeamini jinsi hawa jamaa wanavyocheza na akili za watu na Sao wanakuwa busy kujadili pumba mean mpambanaji ni Nanyaro mwenyewe hapa anatuma thread kama Matungwa mwingine kabisa na watu wanakuwa busy kujadili. Siku zote unapokuwa na viongozi wa mamma hii ni Gagarin sana kwa Taiga kwani...
  2. Lago di Fimon

    Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

    Kwa hiyo kitu gani kitatokea kama mahakama itaamua otherwise baada ya kuangalia mfumo mzima uliotumika kuwafukuza ikizingatiwa kuwa hawa wana ridhaa ya wananchi pia? Kingine kwa maelezo ya watu wa karibu na Mb. Lema wanasema hili ni dili au zengwe linalojengwa na yeye kwa sababu anaogopa...
  3. Lago di Fimon

    Madiwani waliofukuzwa kwa nini watetewe na serikali?

    <br /> <br /> Lakini Dr Msomi kwa taarifa hawa madiwani mlifukuza tarehe 7/8 na na unasema barua ulipeleka kwa MD tarehe 8/8 ambayo ni siku ya mapumziko. Ni lini mliwajulisha hawa madiwani kwa maana ya kuwapa barua zao za kuwafukuza uanachama? Pamoja na mambo mengine kama unataka kusema ukweli...
  4. Lago di Fimon

    Diwani Nanyaro

    Kamanda gani huyu uchwara, kwa taarifa za uhakika Nanyaro alishiriki katika hatua zote za muaafaka tangu kwa Mkuu wa Wilaya tarehe 15/04/2011 na ndio waliotoka na mapendekezo yaliyofikiwa na madiwani wote tarehe 20/6/2011. Muulizeni alitoa mchango gani katika kupinga wakati alikuwa na nafasi ya...
  5. Lago di Fimon

    NAPE: Tumetuma Vijana wapeleke mashambulizi mitandao ya kijamii

    Hivi hii lugha ya piiiiiiiiiiiiiipooooooooooooooziiiiiiiiiiiii wanajua maana yake? Warudi darasani wakajifunze na kuangalia historia ama yanayotokea na yaliyotokea kwenye nchi za Misri, Tunisia na kwingineko najua wanajua maana ya people's power inavyofanya kazi then ndo wawatume hapa :whistle:
  6. Lago di Fimon

    BOT Kutumia Mil 500 kupiga picha za vigogo ilikuaje??

    Kweli hii nchi imeisha, sasa wapi tutaponea watanzania kama kila mtu anakula bila huruma. Familia zao zina raha kweli kwa vilio vya waTZ?
Back
Top Bottom