Search results

  1. Kingvictor87

    Say no to baby mama drama

    Hahahahahaha mkuu asante sana tupo pamoja
  2. Kingvictor87

    Yaliyojiri kwenye Mkutano wa Lowassa wa kutangaza nia ya kugombea Urais - Arusha

    Kwa jinsi nilivomuona Leo mheshimiwa waziri mkuu mstaafu nikiz8angalia na zile picha za kukimbia jogging sipati jibu
  3. Kingvictor87

    New Release Diamond ft Mr. Flavor

    This is what we call bubble gum music hii ngoma hit life yake haizidi miezi 6,hongera zake though kwa kazi yake mpya, Binafsi nitaendelea kubaki kuwa muumini mzuri was mipini ileee ya miaka ya Giza ambayo iliutambulisha muziki wetu wakitanzania na afrika kwa ujumla. Ngoma kama marashi ya...
  4. Kingvictor87

    Msichana kaning'ang'ania, nifanyeje?

    Aiseee!!! Mkuu mwaka wa uchaguzi huu jipange hakikisha hurudii makosa yalee ya kumpigia kura mtu usiyemjua matokeo yalipotoka unashangaa tena!!,Fanya hima tuwatoe hawa watu wa mtaa lumumba then am sure muda huo wametoka hata huyu msichana mtakuwa mshajuana so utamuoa vizuri tu
  5. Kingvictor87

    Kanali mstaafu wa JWTZ analipwa Pensheni 22,000/= na Jenerali analipwa 50,000/=

    Ehhhh us dollars Ama madafu? Nimesoma heading tu!!!weekend mood IPO ON baada ya kumaliza kikao kawe!!!
  6. Kingvictor87

    Tanzania kuipa Comoro Msaada wa Ndege

    Hahaha duuh hii ni kweli??? Nakumbuka juzi mh mkosamali alisema serikali imezidiwa akili na wakurugenzi wa makampuni binafsi kama presicion na fastjet so serikali ikayaaombe haya makampuni binafsi kupeleka ndege zao comoro
  7. Kingvictor87

    Juma Nkamia: Ipo haja ya kukaa chini na kuangalia benchi la ufundi la Taifa Stars

    Duuh nyemo FM ndo ya wapi? Ama ndo muheshiwa karudi jimboni kondoa kuwasubiri UKAWA
  8. Kingvictor87

    COSAFA Cup, leo 18 Mei 2015: Tanzania vs Swaziland

    mhhh hali yetu ni mbaya saaana ila ukiwasikia viongozi wetu wa TFF na mipango yao utasema wana stars wanakwenda kombe la dunia urusi
  9. Kingvictor87

    COSAFA Cup, leo 18 Mei 2015: Tanzania vs Swaziland

    hivi ni kweli wakuu unampa vipi john boko acheze 90 minutes? kwa hali hii sidhani hata chan tutaweza toboa ni hali mbaya sana tuko nayo kwa sasa
  10. Kingvictor87

    COSAFA Cup, leo 18 Mei 2015: Tanzania vs Swaziland

    hivi huyu kocha kweli amekosa striker kwenye ligi kuu nzima ya tanzania hadi amchukue john boko?
  11. Kingvictor87

    Kawagombanisha ili aolewe yeye na ameolewa

    RTD miaka hiyo ya giza mama na mwana baada ya hadithi kama hii swali linafuata,"hadithi hii inatufundisha nini?"
  12. Kingvictor87

    Nyimbo mbovu zinazofanywa zionekane nzuri na bora..

    daah kuna hii moja katoa mtu mzima GK pamoja na promo kibao bado wananchi wamegoma aisee!!! katika hiyo list yako mkuu watoe weusi - safari na ben pol then king crazy gk na hili song lake jipya. ngoma ya mwisho kumuelewa GK ni ngoma ile ya Sister Sister baada ya pale ni masihara tu
  13. Kingvictor87

    Mkapa, Mwinyi na Magufuli mambo safi

    na mzee mkapa anakumbuka JK Nyerere alivowatoa nishai wale washkaji wawili waloutaka urais mwaka 1995
  14. Kingvictor87

    Maoni: Je, matembezi ya kindoa yaruhusiwe katika jela zetu?

    inawezekana na idea nzuri saana ambayo nchi zilizoendelea zinafanya ila kwenye nchi hii ambayo miaka 50 ya uhuru bado wabunge wanaomba visima na hata hao askari magereza wanakaa kwenye mbavu za mbwa bado. Nijuavyo mimi visitation ya namna hii inahitaji zijengwe nyumba ama vyumba tofauti na...
Back
Top Bottom