Kupandisha bendera kwenye vijiwe sio maana yake hiyo, ila ni ishara ya kukubalika zaidi, kama unabisha kaweke ya kwenu.
"mikataba minono ya kibiashara na wageni nje", umetumia maneno mengi kufikisha ujumbe wako, kwa ufupi; mmekosa wale wateja wenu kuwauzia nchi.
Naomba msaada wa kueleweshwa: siasa vyuoni inakatazwa na sheria gani?
Inakataza to what extent (inakataza nini hasa)?
Na haki ya kiraia ya kushiriki kwenye siasa kwa wanavyuo wanaipata vipi?
Napenda kuelewa zaidi na hakika ntajitahidi suala hili lifike panapoweza kulipatia ufafanuzi zaidi na kuwa msaada kwa wanawake wahanga wa namna yangu, ili iwe sehemu ya ukombozi wa Mtz wa kike.
Leo nlienda dispensary, nikiwa nahisi maumivu makali kwenye kipofu, nlihisi ni UTI (sijui kitaalam), baada ya kumweleza doctor tatizo langu aliniambia nivue nguo zote kisha nipande kitandani. Kilichonikera zaidi ni kwamba alivaa gloves, na kuniingizia vidole kwenye uke, kimsingi alikuwa...
Binafsi nachukia sana kuwa chumba kimoja na mtu anayekoroma akilala, Karibuni kila nikilala na mtu chumba kimoja, analalamika kuwa mi nakoroma sana. Nini hasa sababu ya kukoroma usingizini?
Ni bora kupigania haki yako Bongo mpaka kieleweke, kuliko kwenda kubeba mabox kwa watu. Tz ni ya umma wa waTz, na hao viongozi wanafanya hivyo kwasababu tumewaruhusu. LET WE JOIN OUR PAIN AND SAY NO TO MISUSES OF OUR RESOURCES (MALI YA TANZANIA NI YA WATANZANIA NA SIO YA VIONGOZI WAO) HAPA HAPA...
Upofu wa fikra ni mbaya kuliko upofu wa macho, Kuwa kibaraka kunasababisha ugando wa mawazo. Kwa mantiki yako vyuo vyenye matawi ya CDM ni vya kanisa. Fikiria Tz ukiwa kwenye jukwaa kama JF. Na vyuoni ndipo hasa pa kufanya siasa, kwasababu wanatakiwa kuwa na wigo mpana wa kufikiri na kufanya...
Katibu mkuu wa ccm, Wilson Mkama, amesema serikali ilikosea kutowapeleka katika mazoezi ya vitendo wanafunzi wa vyuo vikuu, kwa kuwa hiyo ni haki yao ya msingi. Mkama aliwaomba radhi wanafunzi hao kwa upungufu huo na kutaka waipe Serikali mwaka mmoja ili ibadili mfumo unatumika sasa...
Mkuu sio sahihi kufikiri hivyo(penye red) kwanza ni kujizarau na kutokutambua uwepo na utambuzi wako, hata sisi tunaweza ni suala la kuamua, na kuamua ni kuwa na viongozi ambao wapo kwa ajili ya hii nchi. Hakika tunaweza kama we ulivyoweza kutambua tatizo pia jaribu kufikiri na kufanyia kazi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.