Search results

  1. Mh SAMBALA

    CHADEMA, hapa Lwakatare alikuwa anamaanisha nini?

    Haki ya nani nchi tuanenda kubaya sana niliwai kusema siku moja kuhsu utekaji wa ulimboka nikatukanwa sana
  2. Mh SAMBALA

    Diwani wa Kata Ya Mondo Kondoa Dodoma asema ALOMTEKA DR. ULIMBOKA NI SHUJAA

    Hoja ipo wazi kabisa huyo bwana ni shujaa kamaliza mgogoro na kuokpoa mamia ya masikini wasife
  3. Mh SAMBALA

    Nape Nnauye: Toka moyoni mwangu

    Mimi ndio Thambala mwenye hiyo Post Na niliyeuliza hayo Maswali kule TANURI LA FIKRA...
  4. Mh SAMBALA

    Lowassa kuweka kambi Arumeru Mashariki kupangua mikakati yote ya CHADEMA

    HABARI ZA KUAMINIKA TOKA ARUMERU. EDUARD NGOYAYE LOWASSA AJITOSA RASMI KWENYE KAMPENI ZA SIOI. Mbunge wa Monduli na Mjumbe wa NEC CCM Amejitosa rasmi kwenye kampeni za ubbunge Arumeru Mashariki. Habari za kuaminika zinasema leo ni siku ya Tatu tangu mzee Lowassa ajitose kwenye...
  5. Mh SAMBALA

    Naibu Waziri Adamu Malima aibiwa kila kitu hotelini Morogoro!

    Pole Mh Waziri kwa hilo Tukio....
  6. Mh SAMBALA

    Wanachuo SAUT wajiunga na CUF

    yangu macho
  7. Mh SAMBALA

    Pendekezo-baraza la mawaziri la chadema 2015

    Litakuwa baraza kivuli kwa sababu CCM watashinda uchaguzi...tena 2015
  8. Mh SAMBALA

    Naomba Kuuliza:.....CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL) TANZANIA Ni kina nani....?

    Nimesema ofisi yangu mimi mwenyewe leo na kesho nafanya wdc ktoa maamuzi....
  9. Mh SAMBALA

    Naomba Kuuliza:.....CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL) TANZANIA Ni kina nani....?

    Naomba Kuuliza.. CONCERN FOR THE ELDRLY (COEL) TANZANIA. Ni kina nani hasa hawa...? Leo amefika mgeni Ofisini kwangu toka NGO ya COEL (DICKSON ISRAEL SWAI) Kijana huyu anadai kutumwa na NGO hiyo kuja kutoa elimu kwa wananchi wangu. Juu ya haki ya Vikongwe. Na pia amekuja...
  10. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    ..... Haya umesinda wewe na udaku wako.... Siwezi jibishana na mtu ambaye hana data
  11. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    Tete teeee heeeee teeeheeeee
  12. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    .... Mademu gani waliwahi kuwa na Inbox zangu...? Nyie kweli vilaza na wala hamjui mtendalo... Poleni Vilaza wa Udaku nyie....
  13. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    ...Kijana za LEO LEO WE KWELI KILAZA..... Umejigamba unakuja kumwaga ukweli hapa mbona hujaja na huo ukweli na pc ulizodai za Ufisadi wangu.. Nina mashaka na uelewa wako... Na inawezekana una matatizo ya akiji...
  14. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    .... Ha haaaaaaa Haaaaaa
  15. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    .... Huna ujualo wewe Za LEO LEO....
  16. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    .... Za leo hujui hata mimi ni diwani wa wapi kuonyesha kuwa wewe ni mwanaudaku.....
  17. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    Hahahha udaku huo taja mwaka wangu wa kuzaliwa... Na pia lete doc ya mimi kula pesa za watu... Na pia toa data zangu naishi wapi nafanya nini na zaidi eleza unavyonifamu..... Ila umeingia choo cha kike huna ujualo.... Juu yangu zaidi ya umbeya na udaku....
  18. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    ... Za leo leo hunijui hata siku moja we umekutana na mimi Humu JF... HAYA MWAGA MAOVU YANGU....
  19. Mh SAMBALA

    Uvccm-------->2012

    Kufa na Kupona kwa CCM..
Back
Top Bottom