Search results

  1. R

    Msimu wa kilimo

    Habari za mapumziko ya Pasaka Wana JF, Kwa wale wenye twakwimu embe tuwekeeni hapa ili tuweze kujua vipindi vya kilimo kila mkoa na aina ya mazao yafaayo kwa kilimo ili tuzione fursa na kuzikamata
  2. R

    Lipumba Amtembelea Askofu Gwajima

    safi sana Kiongozi
  3. R

    “Askofu” Gwajima umewafanya waumini wako ndondocha kwa kupindua maandiko ya biblia takatifu

    sikubaliani na wewe hata kidogo kwasababu moja muhimu huna ushahidi wa hayo lakini unaemsema anazidi kuendelea na kusonga mbele lakini pia sidhani kama kutongoza wasichana ama wake za watu mimi sidhani kama inahitaji kama uwe mtumishi au Bishop ndo uwapate nasema hivyo kwasababu mm nishatembea...
  4. R

    Audio: Alichosema Askofu Dkt. Josephat Gwajima kwa Kardinali Pengo

    Gwajima Kwanini hukuogopa?1SAMWELI1:14-16 Daudi akamwambia, Jinsi gani hukuogopa kuunyosha mkono wako umwangamize masihi wa BWANA? Ndipo Daudi akamwita mmoja wa vijana, akamwambia, Mwendee, ukamwangukie. Basi akampiga hata akafa. Daudi akamwambia, Damu yako na iwe juu ya kichwa chako mwenyewe...
  5. R

    Kwanini katika Nchi zote Afrika, ni Kenya tu!

    wataalamu wanasema hivi mtu ni average ama wastani wa hali za marafiki zake watano,hivyo basi maendeleo yetu sisi yanaweza yasitofautiane sana na wastani wa maendeleo ua Nchi tano zinazotuzunguka,ndo maana maendeleo ya Nchi nchi nyingi yanaenda kikanda
  6. R

    Nina Tshs 150,000/= nifanye kitu gani ili niizalishe?

    umeipata wapi hiyo 150000?kuwa na hela bila kujua chanzo chake ni vigumu kupanga matumizi yake,kwa mfano: Kama umeokota na wakati huo wewe unakitu kingine cha kufanya basi matumizi ya hiyo hela yaweza kuwa tofauti na mtu aliyeokota wakati yeye anaishi na familia. Lakini kinachonitia shaka ni...
  7. R

    Jifunze kuhusu PLACEBO na ufanikiwe Maishani!

    Yote sawa lakini kwenye kuungua na moto hiyo kidogo sijaielewa mi nafikri ina apply sana kwa wagonjwa
  8. R

    Tweets za Binti wa Anna Tibaijuka

    maisha yake yapo hatarini tunamtafuta
  9. R

    Business Plan

    Somebody pls attach here
  10. R

    CHADEMA yailaumu CCM baada ya kuangukia pua

    Poleni inawauma toeni na nyie matamko yenu yenu basi
  11. R

    UKAWA tumestuka msitake kutuburuza

    Upo ushahidi wa kutosha ndg zako kule kijijini wamezoea mlo mmoja kwa siku ni rasilimali gani hizo unazozisemea?inaonekana umesahau kama serikali yako ya ccm isha uza aridhi kwa watoto wa wafalme?nimesahau kukuuliza hivi umetumwa na nani?
  12. R

    Ikishindikana leo

    January Wawakilishi wa wananchi watakutana tena Jan 2015 na hapa tunajua wazi Serikali inatakiwa kuja na taarifa ya utekelezaji wa Maazimio ya Bunge silaha pekee ni kura ya kutokuwa na imani na serikali yani waziri mkuu by the way mwanasheria katangulia sawali litakuja kwanini Rais ameridhia...
  13. R

    Slaa: Kikwete akipuuza nchi haitatawalika

    Bila shaka wewe una undugu na Kikwete vinginevyo umetumwa
  14. R

    Uchina ndiyo Nchi ya mwisho Kufanikiwa, Tufanyeje?

    Namna pekee ya kujikwamua kutoka katika umaskini ni kwanza kujua maana ya UMASKINI na hivyo niabze kwa kuleta maana sahihi ya umaskini kama ifuatavyo:Umaskini ni hali ya ukosefu wa mahitaji ya binadamu ya msingi kama vile chakula, maji masafi, huduma za afya, mavazi na nyumba kutokana na kukosa...
  15. R

    Kwa uimbaji wa nyimbo za injili, wasabato wameweza kusimamia maadili

    Kwa nje wanatunza maadili lakini muda wa makambi ukifikaaa!!ni hatarii tuseme ukweli yanayotokea kwenye kwaya za hawa jamaa kipindi cha makambi ama wakati wa mazoezi(....)kama unabisha mtafute mwimbaj yeyote hafu mwazime cm yake yenye watsap then come back here
  16. R

    Ile idea ya Freeman Mbowe ya ku-invest kwenye people's mind niliipinga ila sasa naanza kuikubali

    Nikweli huu ni wakati wa kusema ZIDUMU FIKRA ZA MBOWE ZIDUMU FIKRA ZA Dr.SLAA,Walipotoka ni mbali walipofika panatia moyo na kunawapa moral ya kuongeza umakini kimkakati zaidi,kama mwanachi mzalendo mpenda maendeleo tuaungane pamoja kuwatia moyo watu hawa zaidi sana kuwapa pongezi kwa hapa...
  17. R

    Expert na sheria za Tanzania

    lakini hivi hata store keepers lazima wawe ma expert? sales & marketing lazima awe expert? nafikiri si sawa,kuna maeneo tunahitaji experts lakini kama vile serikali imewafumbia macho sana hawa wageni,kuna mahali nimeenda nimekuta mtu wa IT ni expert,binafsi mimi naona hii sio fear play
  18. R

    Messi moto; Aweka rekodi mpya UCL

    Mchezaji bora hukaa na team Bora
Back
Top Bottom